Ujenzi Jangwani unaleta umasikini mikoa ya Pwani

Ujenzi Jangwani unaleta umasikini mikoa ya Pwani

bwakya

Member
Joined
Mar 3, 2026
Posts
96
Reaction score
111
Watu Sasa wanashindwa kujua wafanye Nini, si mvua kama ilivyotabiriwa Bali ni jua Kali sana naw joto la tanuru. Na tunakoelekea kutakuwa na milipuko mikubwa sana ya magonjwa, hii itasumbua sana uchumi wa wakazi wa maeneo haya maana watu wazima na watoto watakuja sana kutokana na hari hii.

Kusema kweli daraja tunalipenda lakini maisha na afya za watu ziwekewe mkazo. Kwamba mvua inakimbia tu yenyewe, hapana. Na tunajua tabia za hao wachina na mvua ni paka na panya. Sanaa zimekuwa nyingi, taralila nyingi lakini hakuna anayetaka kusema ukweli ..haya mazingaombwe yanahatarisha maisha ya binadamu kwa Sasa.

Viongozi nyie Wala si shida zenu maana tunajua ofisi zenu Zina viongozi, magari Yana viyoyozi hadi majumbani kwenu ila karaha na shida wanazipitia wananchi wa kawaida ...maisha yamekuwa ni ya taabu sana kana kwamba tunaishi jehanamu. Hapana, hapana ..maituue kisa madaraja na barabara
 
Umesema nlitaka kulisema! Sasahivi ndio WANAWEKA nondo pale panapopitaga maji so hawawezi ruhusu mvua kuonyesha! Wanarushaga na chicals angani huko usku kuzuia mvua
 
Tuseme wameloga mvua? Huo ni ulozi wa hali ya juu!! Wazee wetu nao wajitokeze! Tatizo wamejikita kwenye hozi dini zilizokuja kwa meli na kusahau jadi yao. Wachina huwaambii kitu kuhusu jadi yao!!
 
Back
Top Bottom