Ujasusi ndani ya Boeing

Ujasusi ndani ya Boeing

Kabla hujarudi naomba unisaidie kufahamu ni nani aliyekuwa akipiga picha ndani ya ndege ya Ethiopian wakati ikiwa katika msukosuko na hatimaye kuananguka u wakati matukio ya ndege zingine hajarekodiwa kama ile na rubani alikuwa wapi maana kwenye cockpit hakuwepo??
Ndani ya ndege kuna Camera ambazo zipo connected moja kwa moja kwenye control rooms, walifunga hizo Camera kwa ndege zote za kisasa ili kufuatilia matukio ya utekaji yakitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa namzungumzia uchambuzi wangu binafsi juu ya uwezekano mkubwa wa kampuni ya Boeing kuhujumiwa na mahasimu wao kibiashara, excuse kwamba eti kupata hitilafu engine ni kitu cha kawaida, haikubaliki Kwa sababu zifuatazo.
1.Engine ya ndege ni lazima ifanyiwe regular check up kabla ya kui verify sokoni
2.Boeing wametengeneza zaidi ya ndege 200 aina ya 737 MAX 8 na kuzipeleka sokoni na zote zilizoruka zimeanguka Kwa tatizo hilo hilo
3.Ni nani aliruhusu na ku verify hizo ndege ziruke na kisha kuuzwa? Hakuona tatizo?
4.Kwanini tatizo la ajali linafanana?
Maswali ni mengi ,Boeing imehuhujumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan titanic haikufanyiwa verification kabla ya kuzama kwake na kuonekana no meli bora ,
Samsung miaka ya karibu kuna series ya S walitoa ilikuwa na tatizo LA kuburst unahis hakukuwa na verification unayoisema kwenye Boeing!?
 
Back
Top Bottom