Mkuu nitaliongea hilo Kwa kina Part 2,hujuma hufanywa popote ambako mlengwa ana maslahiMkuu tatizo la kuanguka kwa ndege tajwa siyo engine......
Ni kufeli kwa mfumo komputa (computer system)wa kuongozea ndege kwenye ndege husika......
Kingine mshindani mkubwa wa boeng Ni Airbus Kama ulivyo eleza.... Ila wote Airbus na Boeng(wao huwa wananunua engine) wanatumia engine za Rolls Royce ambazo zinatengenezwa UK.....
KWA HIYO KULINGANA NA NADHARIA YAKO KUWA SHIDA BOENG MAX 737 Ni engine basi Hata Airbus haziko safe............
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!Kampuni kubwa ya kutengeneza ndege Duniani ya Boeing yenye makao makuu yake Illinois Chicago Marekani imekumbwa na msukosuko wa ndege zake toleo jipya kabisa aina ya 737 MAX 8 kupata ajali mara tatu.
Kampuni ya Boeing imeajiri wafanyakazi zaidi ya 153,000 na gross profit yake kwa mwaka ni zaidi ya $Bil 25.
Washindani wa kampuni ya Boeing kibiashara ni Airbus yenye makao makuu yake Leiden Netherlands na imeajiri zaidi ya wafanyakazi 120,000 na gross profit ya kampuni hii ya Airbus kwa mwaka ni zaidi ya $ Bil 10.
Kampuni zingine zinazofuatia kwa ushindani na Boeing ni ya Antonov ya Ukraine na ya Beriev ya Urusi.
Kampuni zote hizo zinatengeneza ndege tofauti zikiwemo za kijeshi, za mizigo na Kwa wingi za abiria.
Ktk Dunia hii ilivyojaa ushindani wa kibiashara ni wazi kwamba kampuni zingine lazima zione wivu Kwa kazidiwa kibiashara na Boeing.
Boeing ndo kampuni pekee inayoaminika Ktk kuunda ndege imara zaidi na za kuaminika kuliko kampuni zote.
Hapa ndo ujasusi unapotumika ili kuizamisha kampuni husika iogopwe na wateja wake.
Ili taifa lolote lisonge mbele kiuchumi ni lazima ujasusi wa kiuchumi ufanye kazi yake ipasavyo.
Kenya imetumia sana ujasusi wa kiuchumi ili kupaa juu na kweli imefanikiwa ktk hilo ,China pia, India, Malaysia na US ndo inaongoza Duniani ku apply ujasusi wa kiuchumi.
Pamoja na uwezo mkubwa wa CIA lakini imeshindwa kubaini mapandikizi ya majasusi walioajiriwa Kipindi kirefu ndani ya Boeing ili kuihujumu kiuchumi, haikuwa rahisi kwa kampuni kubwa Kama Boeing kutengeneza ndege zenye hitilafu kubwa kwenye injini na kisha kuzipeleka sokoni.
Mbaya zaidi hujuma imefanywa kwenye toleo jipya kabisa la ndege ili kuwatisha wateja na Hakika wamefanikiwa.
Ndege za Antonov hazijawahi kuanguka kwa hitilafu kwenye injini mfululizo, mara nyingi zimeanguka Kwa kubeba uzito mkubwa.
Ujasusi ni Hatari sana, linafanywa tukio mnachukulia kawaida Kumbe wazee wa kazi wameshafanya yao.
NITAENDELEA PART -2
Sent using Jamii Forums mobile app
Albadili itasaidiaTufanyaje ili tuweze kumsaidia jiwe katika hili?
unatoa lini mkuu?Mkuu nitaliongea hilo Kwa kina Part 2,hujuma hufanywa popote ambako mlengwa ana maslahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!
Yaap, wenzetu huwa wanaangalia maslai mapana ya nchi hasa ya kiuchumi kwa kulinda viwanda na wawekezaji wao ndani na nje ya nchi yao hivyo kama kuna issue kama hizo lazima wawe makini sana kama ni normal accident au kuna hujuma ndani yake kuepuka fedhea kwenye nchi kubwa kama Marekani. Ingawa lolote linaweza kutokea.Hii ndo tofauti Kati ya tajiri na maskin
Inaweza ikawa kweli au isiwe kweli, tunasubiri marekani si inchi ya kijinga kama nchi za kiafrica kazi kuubwa ya CIA ni kulinda na kutunza maslahi ya marekani hasa ya kuichumi dhidi ya maadui/washindani. Soon itabainika ingawa usitegemee kuanikwa ila wenye akili kubwa tutajua wachunguzi waliounda kamati ni pampoja na FBI na hao CIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!
Kilichoikuta Boeing kwa Max 8 ndicho kiliikuta Samsung kwa Note 7

It's okee it's okeeeeUko sahihi sana. Hata mimi ninaelewa engine za hizo ndege ni za kutoka kampuni ya Rolls Royce.Mkuu tatizo la kuanguka kwa ndege tajwa siyo engine......
Ni kufeli kwa mfumo komputa (computer system)wa kuongozea ndege kwenye ndege husika......
Kingine mshindani mkubwa wa boeng Ni Airbus Kama ulivyo eleza.... Ila wote Airbus na Boeng(wao huwa wananunua engine) wanatumia engine za Rolls Royce ambazo zinatengenezwa UK.....
KWA HIYO KULINGANA NA NADHARIA YAKO KUWA SHIDA BOENG MAX 737 Ni engine basi Hata Airbus haziko safe............
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna mahali hujaelewa vizuri topic yangu ,nimeongelea gross profit ya Boeing na Airbus na siyo net profit, Kama unajua mambo ya uhasibu utakuwa unajua maana ya Gross profit na net profit.Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!
Mkuu usiwe biased Sana Ktk kuamini jambo, usiidharau Airbus na kuiona ni dhaifu eti hadi Russia ndo anaweza ku sabotage,siyo hivyo ndugu, hata taifa dogo usiloweza kulidhania Linaweza kufanya ujasusi dhidi ya taifa kubwa na likafanikiwa.Ulichotuandikia hapa kina ukweli mchache sana, nadhani mshindani wa Boeing ni Airbus sio Antonov ambao sidhani Kama toka Soviet ivunjike wametengeneza ndege hata moja ya abiria. Urusi ndo wanaanza kurudi kwenye sphere ya uundaji ndege za abiria kwa ndege zao za Sukhoi SSJ-100 na MC-21 inayoundwa na UAC ambayo ni muungano wa Ilyushin na Tupolev. Kwa utashi na msimamo wakisiasa nadhani makampuni haya ya Urusi ndo yanaweza kufanya ujasusi wakui subbotage Boeing na sio Airbus inayoundwa na mataifa rafiki na washirika wa Marekani. Na mwisho wa siku kinachoisumbua 737 Max 8 sio engine, so tunahitaji part 1 iliyorekebishwa sio part 2 siisubiri kabisa
Utamfanya jamaa aedit habari yake au aje na story nyingineMkuu tatizo la kuanguka kwa ndege tajwa siyo engine......