Ujana Wako Ulikula Na Nani?

Ujana Wako Ulikula Na Nani?

"Ujana wako ulikula na nani?....Usije ukasumbua watu"
"Pesa zako ulikula na nani.......Usije ukasumbua watu"

Mkuu pengine anawaasa vijana wa sasa kuhakikisha wanayatazama maisha ya baadaye kwa sasa kutotumbua mali...

Yaani waache kutumia ule msemo wa "ponda mali kufa kwaja"...
 
nasikia wazee wa zaman ndio walisema hayo asa cjui ni kweli humu kama kuna wazee wa zaman watupe maana
aafu kweli nanukuu "haya maneno walinena wazee wa zamanii ukiwa mjanja ku...... ni siri ya ndani" sa cjui kuna ukweli hapo!
 
Jipangeee!! Jipangee!! (hicho ndo kiitikio chake)
 
nasikia wazee wa zaman ndio walisema hayo asa cjui ni kweli

humu kama kuna wazee wa zaman watupe maana

wazee wazamani hawasemi hivyo bana.
Kuchapiwa itakuwaje ni siri ya ndani wakati mchapaji(mwizi) ni mtu wa nje?
 
Nimesikia wimbo wa Kizazi kipya leo redioni, sijajua ni nani mtunzi na mwimbaji, lakini kijana huyo amefanikiwa kunitisha sana kwa maneno yake mazito.

Baadhi ya maneno ya wimbo wake yanasema:

"Ujana wako ulikula na nani?....Usije ukasumbua watu"
"Pesa zako ulikula na nani.......Usije ukasumbua watu"

Huo wimbo tokea nimeusikiliza alfajiri nikiamka, hadi saa hii nashitukia unanijia, naimba sehemu hiyo hapo juu tu...sijui mwendelezo wake unasemaje!

Wazee wenzangu nisaidieni, huyu kijana aliyeimba wimbo huu mbona anatutisha wazee namna hii!
Atakuwa hana malezi mazuri huyu kijana!
cc: Asprin, DARKCITY, Mtambuzi, Kaizer

"Ujana wako ulikula na nani?"
Hili swali sio zuri kabisa, kuna mdada 35yrs old aliulizwa hivyo na classmate wake wa highschool alichanganyikiwa. Mdada alikuwa anaulizia ndoa kwa jamaa ambaye mdada alimkataa wakiwa highschool na wakapoteana muda mrefu.
 
Aiseee!
Unamaanisha nini hapa?..mimi naelewa kama mdada alikuwa anaulizia iwapo jamaa ameoa tayari ama bado...au?...sasa hapo ubaya wa kumuulizia mtu kama kaoa au bado linamchanganyaje msichana?
 
Siku hizi sio lazima ifikie stage ya uzee, ujana wa leo na wa zamani unatofautiana sana. Starehe mingi zipo kwa sasa kwa hiyo waweza kula raha one week then next week unagongea za fegi
 
Aiseee!
Unamaanisha nini hapa?..mimi naelewa kama mdada alikuwa anaulizia iwapo jamaa ameoa tayari ama bado...au?...sasa hapo ubaya wa kumuulizia mtu kama kaoa au bado linamchanganyaje msichana?

Mdada baada ya ndoto zake za kuolewa na bilionea kugonga mwamba alikuwa anamchombeza jamaa ili amuoe, jamaa kumbe hajasahau maumivu ya kukataliwa wakiwa highschool.
 
nasema tu PJ, haya mambo haya

Unaweza chapiwa na ukamsindikiza mwenywe gesti

Hawa vijana wa kizazi hiki mi nakwambia hawajatulia...yaani ukichapiwa ukauke, wakati mi najua nikichapiwa-.....NI TIKETI YA SAFARI KWAO...:wave::wave::wave::A S 13::A S 13::A S-frusty::A S-frusty::A S-frusty::A S 114::A S 114:
 
Nimesikia wimbo wa Kizazi kipya leo redioni, sijajua ni nani mtunzi na mwimbaji, lakini kijana huyo amefanikiwa kunitisha sana kwa maneno yake mazito.

Baadhi ya maneno ya wimbo wake yanasema:

"Ujana wako ulikula na nani?....Usije ukasumbua watu"
"Pesa zako ulikula na nani.......Usije ukasumbua watu"

Huo wimbo tokea nimeusikiliza alfajiri nikiamka, hadi saa hii nashitukia unanijia, naimba sehemu hiyo hapo juu tu...sijui mwendelezo wake unasemaje!

Wazee wenzangu nisaidieni, huyu kijana aliyeimba wimbo huu mbona anatutisha wazee namna hii!
Atakuwa hana malezi mazuri huyu kijana!
cc: Asprin, DARKCITY, Mtambuzi, Kaizer

Mzee mwenzangu, hawa vijana watatuua kwa presha. Mi ndo maana nimehamishia mahaba yangu kwenye nyimbo za kiinjili. Leo acha nikudediketie: Nibebe Nibembeleze wa Rose Mhando.

Naamini utakuwa umerudi kundini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom