Ujaji mgumu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujaji mgumu!

Discussion in 'Jamii Photos' started by akajasembamba, Apr 8, 2011.

 1. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  JAJI_(JUDGE)_ENGELA_KILEO-JAJI_DAN_MAPIGANO-MAJAJI-TANZANIA-ISSA_MICHUZI-NYALALI-HAKINGOWI.JPG Ujaji mgumu jamani ukimtazama Mheshmiwa Jaji Mama Angela Kileo hapo hajajiremba kitu chichote hakuna cha kusuka hata twende kilioni, hakuna wanja wala lipshine wala mkufu wala make up ya aina yeyote wala nini sijui perfume! Nadhani hana muda ni kupitia vifungu vya sheria tu. Nenda kwa Wanasihasa sasa!urembo kama wapo ktk kitchen party!
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  huyu jaji he/she mbona aanatisha hivi?
   
 3. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lazima awe serious kazi ya kutamka Mahakama inakutia hatiani na Unahukumiwa KUNYONGWA HADI KUFA!
   
 4. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wewe jamaa uliyeweka hiyo picha humuuuuuuuu, amekupa ridhaa yakeeee lakiniiiiiiiiiii, angalia bwana ooohoooo uta:A S-key: uombe :help:
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  umeshawahi kumuona mhandisi mwanamke???
   
 6. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Siku hizi hata ukienda polisi post utashangaa kuona mamiss wazuuuri wamevaa gwanda za njagu. Utatamani uwe unarudi rudi kituoni japo kuosha macho!

  Sidhani kama huwa wanamaliza depo kihalali!
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  kujiremba ni issue ya matter over mind! Km anaweza kujikubali then it doesn't matter!
   
 8. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hakuna wa kufungwa hapo na yeye ni Jaji mwanasheria anajua kuna FREEDOM OF EXPRESSION na zilizowekwa ni Fair Comment tupu! Picha yake haijachukuliwa from a private place, nyumbani etc, imechukuliwa ktk public ndiyo maana akiwa ktk mavazi ya kazi! Kazi ngumu hii ona urembo wa wanasiasa Waziri na Mkuu wa Wilaya, urembo tele Sophia Simba and Sophia Mjema View attachment 26858 sophia mjema.jpg
   
 9. L

  Leornado JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  :tape:, she might be someones Mom.

  Please stop it.
   
 10. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mbona kama mwanaume kabisa.
   
 11. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Wanaume wengine wana moyo
   
 12. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,994
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  Watu wengine wana choose profession zao kwa kuangalia watu wengine.Kama umesomea kitu ambacho unakipenda kutakuwa hakuna ugumu wowote.
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Hiyo kwenye nyekundu ndio nini? tunaomba tafsiri.
   
 14. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ni uamuzi tu, kama tatizo ni muda mbona kanyoa?

  lakini sio siri, kapendeza sana.
   
 15. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #15
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Maana yake those who deal in POLI-TRICKS, POLITRICKSIANS
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  yes, yule mama aliyekuwa/ambaye ni mkurugenzi wa TCAA
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  pamoja sana mkuuu....nenda oysterbay aluuuu wako busy na bb kwenye facebook utadhani tuko club mwanangu kumbe ni mungande
   
 18. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Daaaaaamn,
  Mie nilifikiri ni Jaji Joseph.............
  Hiyo si sura ya kike, no offense intended.
   
 19. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #19
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio unaweza kutofautisha waliopata kazi kwa "Technics" na waliopata kazi kwa "Profession"

  Si unajuwa siku hizi mdada kama analiweza gwaride mguuu pande, mguuu sawa kwa waheshimiwa makamanda tayari cheo anacho, sasa mguu pande kama havutii kamanda gani atamuona ili amuamrishe? Ndio maana wale ambao hawana taaluma utaona wanapoteza muda mwingi saloon na kwenye Boutique, ili hali wale wataalamu wanapoteza muda mwingi kwenye kusoma na kufanya utafiti.
   
 20. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2011
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Kama ma-biwakubwa kutoka S. Sudan vile. Afadhali yeye kuliko wal wenye kupendelea urembo bandia na nywele fake.
   
Loading...