Uislamu ni project ya wakatoliki

We mzee tunapojadili achana na maneno haya, "uwezo wako wa kufikiri ni mdogo"

We unajionaje?

Ikiwa unaamini mtu anazaliwa na dini, hapo tuseme nini kuhusu uwezo huo wa kufikiri?

"Atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye" hiyo ni dini? Aaaaaaaagh! Hiyo ni uislam? Hebu eleza vizuri ueleweke.

Hata hivyo anavyozaliwa huyo haimaniishi watu wote wanazaliwa hivyo...

Ikiwa unajiona una akili sana funguka uelewa wako kwenye hiyo Aya acha kurukaruka.
 
Uislamu ni dini ya juzi tu hapa

Quran imetengenezwa juzi tu hapo Al Azhar University mwaka 1924 ,
No, the Quran itself was not created in 1924 at Al-Azhar University. The Quran is the holy book of Islam, which Muslims believe was revealed to the Prophet Muhammad by Allah (God) over a period of around 23 years, starting in 610 CE and continuing until 632 CE.
However, in 1924, Al-Azhar University did play a significant role in a historical event related to the Quran: the standardization of the Quranic text. In that year, under the direction of the Egyptian government, Al-Azhar helped to create the official standardized version of the Quran in Arabic, known as the Cairo Edition.
The purpose of this standardization was to ensure uniformity and consistency in the text of the Quran, which had been transmitted in various handwritten manuscripts over the centuries. The Cairo Edition became the widely accepted version of the Quran, and it was printed and distributed internationally.
This edition is considered authoritative in many parts of the Muslim world and is widely used for printing and reciting the Quran today.
So, while Al-Azhar was involved in this key moment in Quranic history in 1924, it was not the creation of the Quran itself, but rather the preservation and standardization of its text.
 
Kwanini Mfalme Fuad alizichoma Quran zote na kuzitupa mto Nile?

Tuanzie hapo ,zilikuwa na shida gani
 
Kwanini Mfalme Fuad alizichoma Quran zote na kuzitupa mto Nile?

Tuanzie hapo ,zilikuwa na shida gani
Hakuna ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kwamba Mfalme Fuad I wa Misri aliwahi kuchoma Quran zote na kuzitupa kwenye Mto Nile. Hii ni hadithi inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, lakini haithibitishwi na historia ya kweli au vyanzo vya kuaminika vya kihistoria.

Mambo muhimu kuhusu Mfalme Fuad I:​

  • Alitawala Misri kuanzia mwaka 1922 hadi 1936.
  • Alijulikana kuwa mlinzi wa dini ya Kiislamu, na aliheshimu sana Qur’an.
  • Alianzisha Al-Majma‘ Al-Lughawi Al-‘Arabi (Baraza la Lugha ya Kiarabu) mjini Cairo.
  • Hakuna rekodi yoyote ya kihistoria inayosema alichoma nakala za Qur’an.

Chanzo cha hadithi hiyo ni nini?​

Inawezekana hadithi hiyo imechanganywa na tukio la kukusanya na kuhariri Qur’an kwa msahafu mmoja rasmi, kama ilivyofanywa na Khalifa Uthman ibn Affan karne nyingi kabla, ambapo nakala tofauti za Qur’an zilifutwa au kuchomwa ili kuzuia migongano ya kisomo. Hili lilifanyika kwa nia ya kulinda usahihi wa Qur’an, si kuiteketeza.
Pia, inawezekana hadithi hiyo ni uzushi au propaganda, ama kwa lengo la kuchafua jina la mfalme huyo au kwa kutokuelewa vizuri historia.
Je, ulikuwa unasikia hadithi hii kutoka wapi au unahitaji msaada wa kutambua chanzo chake?
 

Chanzo cha Hadithi hii​


Hadithi hii inawezekana inatokana na tukio la kihistoria linalohusiana na toleo la Qur’an la Cairo (Cairo Edition), lililochapishwa mnamo Julai 10, 1924, chini ya udhamini wa Mfalme Fuad I na usimamizi wa wataalamu wa Al-Azhar. Lengo la kuchapisha toleo hili lilikuwa ni kuunda nakala rasmi ya Qur’an inayokubalika na mamlaka za Kiislamu, hasa katika shule za serikali. Katika mchakato huu, baadhi ya nakala za zamani za Qur’an zilichukuliwa na kutupwa kwenye Mto Nile ili kupisha uchapishaji wa toleo jipya. Hata hivyo, hakuna taarifa inayosema kwamba Qur’an zote zilichomwa; badala yake, zilichukuliwa na kutupwa kwa lengo la kuondoa nakala zisizokubalika.


Hadithi ya kuchoma Qur’an na kuzitupa kwenye Mto Nile inaweza kuwa imejengeka kutokana na mchanganyiko wa matukio haya na uenezaji wa taarifa zisizo sahihi. Vyanzo vya kihistoria vinavyothibitisha tukio hili ni pamoja na makala za kihistoria na tafiti za kisomi zinazozungumzia mchakato wa uchapishaji wa Qur’an na athari zake
 
Caliph Uthman vipi maana huyu jamaa yeye kafanya marudio tu. Na inasemekana za North Afrika ni tofauti kidogo ya misri.
 
Unaeenda kuliuliza li CHATGPT,hii ni wazi huna elimu na hii dini yenu


Swali langu lipo pale pale ,

Kwanini zilitengenezwa Quran moja ,na nyingine zikaachwa ?

Maana unadai hazikuchomwa ,je why ziliachwa


Nenda kaliulize li CHATGPT tena
 
Unaeenda kuliuliza li CHATGPT,hii ni wazi huna elimu na hii dini yenu


Swali langu lipo pale pale ,

Kwanini zilitengenezwa Quran moja ,na nyingine zikaachwa ?

Maana unadai hazikuchomwa ,je why ziliachwa


Nenda kaliulize li CHATGPT tena
Ulikuepo mzee mwaka 1924 wewe mana hata nchi kama nchi tulikua hatujitambui wewe umepewa matango pori kama walivyopewa watu wengine tu. Yani unataka kubishana na kitu hata hukuwahi shuhudia kama kweli kilitokea kipindi hicho cha miaka ya GIZA. HIYO NI HISTORY NA INAWEZA KUWA MANIPULATED IN EITHER WAY, KWA MFANO HISTORY INASEMA WW ULIWAHI KUWA NYANI/SOKWE KWAKO WW KWA SASA UNAONA KUNA MANTIKI YA WW KUWA NYANI AU SOKWE KIPINDI HICHO?
 
Caliph Uthman vipi maana huyu jamaa yeye kafanya marudio tu. Na inasemekana za North Afrika ni tofauti kidogo ya misri.
Qur’an ya Misri na zile za nchi nyingine za Afrika Kaskazini zinafanana kabisa katika aya na maana. Tofauti ndogo zipo tu kwenye mtindo wa kisomo na maandishi, na zote zinakubalika katika Uislamu
 
Unaeenda kuliuliza li CHATGPT,hii ni wazi huna elimu na hii dini yenu


Swali langu lipo pale pale ,

Kwanini zilitengenezwa Quran moja ,na nyingine zikaachwa ?

Maana unadai hazikuchomwa ,je why ziliachwa


Nenda kaliulize li CHATGPT tena
Mfalme Fuad I alitaka Qur’an ichapishwe kwa njia ya kisasa kwa mara ya kwanza, kwa qira’at ya Hafs.
Qur’an nyingine hazikufutwa wala kuchomwa, bali hazikuchapishwa kama toleo rasmi.
Uamuzi huu ulilenga umoja wa kitaifa na urahisi wa elimu ya Qur’an.
Katika kipindi cha Mfalme Fuad I, hakukuwa na kuchoma Misahafu kama ilivyofanyika wakati wa Khalifa Uthman. Badala yake, Serikali ya Misri ilitangaza toleo rasmi la Qur’an ya Hafs kwa uchapishaji.
Misahafu mingine ya maandishi ya kale haikuharibiwa, ila haikuchapishwa kwa wingi wala kutumiwa rasmi na serikali.
 
Endelea kuliuliza li Roboti ,maana akili yako ya kujitegemea huna

Tukiwaambia ukweli kuhusu dini yenu mnasema tukaisome ,kumbe hamna elimu mnasubiri maroboti


Haya twende kazi,

1. Kwanini achague Hafs pekee kama ni kwa ajili ya umoja si nyingine ,


2. Kama hakuchoma misahafu mingine, kwa nini isitumike rasmi?


3. Kama kweli kulikuwa na uhuru, mbona qira’at nyingine hazikuchapishwa?


4. Je, huu si mfano wa kuzuia utofauti wa Kiislamu kwa jina la umoja?


5. Kama lengo lilikuwa elimu, kwa nini asiruhusu qira’at nyingine zifundishwe pia?
 
Acha utapeli kijana

Kwanini Kabla ya 1924 , Quran haikuwa moja na mpaka Leo hizo Quran hazikubaliki


Matini ya Uthman zikowapi ili tuthibitishe hii Quran sio ya juzi


Haya kaulize kwa CHATGPT tena
 


Aliyesanifu huu mpango wa kuunda dini ya kiislam ya waarabu, alaaniwe kwa nguvu zote kokote kule aliko
 

Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.

Sasa atajazwa roho mtakatifu tangu akiwa tumboni Kwa mama yake Ili iweje kama sio kuzaliwa na dini?

Yani anazaliwa akiwa tayari ameshawekewa muongozo wa kuufata na huo muongozo ndio dini yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…