Mkuu hii vita haikuhusisha imani dhidi ya imani, The conflict was generally fought between European Crusaders and the Seljuk Turks and their vassals. The Muslim Syrian emirates occasionally allied themselves with the Christians against rival states.
Kwenye Ukristo tunatakiwa kumpenda kila mtu, ukimuona Mkristo anamchukia mwenzake huyo ni Mkristo jina na hafuati mafundisho ya Kristo amri iliyo kuu kwenye Ukristo ni UPENDO muulize yeyote.
Kwanini muwauwe wanaowakosoa na hata kueafanyia mambo ya ajabu kama kumtusi Allah wenu n.k
Ina maana nyinyi mmepewa haki ya kuuwa wanadamu wenzenu?
Hakipo na hakiwezi kuwepo kwa sababu Uislamu umekuja baada ya Ukristo yani ni sawa na uulize kwanini Nyerere hakuwahi kumpa uwaziri Magufuli
Kwenye mauwaji yanayoendelea ya magaidi sehemu mbalimbali duniani mfano mzuri ni Garisa Kenya walitoa Quran aliyeshindwa kusoma au aliyekuwa Mkristo walipigwa risasi na wengi walikufa hii ina maana mnalazimisha watu wawe Waislamu.
.
Jambo jingine mnatuita Makafiri hii yote ni kutufanya tujione sisi tuliko siko kwamba ninyi ndio mko mahala sahihi vilevile mna mpango wa kuitawala Dunia yani hii ni adhma kuu ya Uislamu utawale Dunia huoni kuwa Uislamu unalazimisha watu waamini hiyo imani kwa lazima?