Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...

Umeweka utaratibu katika kila jambo...

mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...

Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...

Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...

ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...

KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...

LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...

KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...

UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...
Wauaji Bokoharam, Alshabab na Alkaida ni hao hao pia
 
Weka ushahidi madhubuti dhidi ya haya uliyoyaandika na isiwe ni kauli tu za kusikia, Imani ni uwanja mpana sana
Naku tag nilipoyatoa kwa muislamu mwenzio kabla sijakupa aya za Quran maana nazifahamu zinazotaka muuwe ili mpate kheri na msitufanye kuwa marafiki sisi na Wayahudi means mtuchukie
 
Naku tag nilipoyatoa kwa muislamu mwenzio kabla sijakupa aya za Quran maana nazifahamu zinazotaka muuwe ili mpate kheri na msitufanye kuwa marafiki sisi na Wayahudi means mtuchukie
Nipo nasubiria hapa
 
MIMI NI MVIVU SANA KUANDIKA MAMBO MENGI PASIPO ULAZIMA...SEMA LABDA UNGEPENDA UZURI WA UISLAAM KWENYE NYANJA GANI nikueleze...?

MAANA MIMI NIMECHAGUA MOJA LEO KUELEZA...LAKINI NYANJA ZOTE UISLAAM UMEKAMILIKA...
Mkuu hata hilo moja ulilolichagua limekushinda kulielezea vizuri tukakuelewa. Sasa hayo maswali mengine tena mazito ndio utayaweza?
 
Dini yenu katika ndoa ni nzuri, lakin angalieni upya suala la ndoa, naona waislamu wengi wanaoa kwa tamaa za ngono na si vinginevyo Kwan mnasababisha ongezeko kubwa la single mothers kila kukicha, kila siku mnaoa na kutaliki.
Pia watoto wamitaani hili Swala linachangia mnooo
 
Kwahiyo nikichukua mfanyakazi wa ndani itakuwa tayari nimeshaoa? Si ni msaidizi! Kuwa mwelewa ndugu. Kitendo cha kuacha vile vile sio tamaa za kingono bali kuna mambo mengi moja wapo ni kutokuendana kitabia au kukosa maelewano.
Basi wee si mwislam ila unataka kujifanya mwislam, hujui hata tofauti ya msadizi na mfanyakazi(mjakazi).
 
Nina demu wakiislamu nabahati mbaya nimeshazaa nae. Sasa nilimuuliza achague mimi au yeye nani abadilishe dini, nikamwambia mimi nipo tayari kumfata kwenye dini yake ila lazima nitaoa mke zaidi yammoja kwasababu dini yao inaruhusu. Aliruka huyo nampaka Sasa kaona bora abadilishe yeye ili ale neema yamke mmoko.
 
Tunaoa ili tupate msaidizi sio kwa kusudi la ngono na kama unawaza ngono utachepuka paka ukome maana mwili huwa uridhiki hata kidg kwaiyo inakubidi sasa ww uwe makini na hilo jambo
Ndio MUNGU alimuumba hawa ili awe msaidizi kwanza mengine ndiyo yafuate kama unawaza kuoa ni sababu ya ngono upo wrong
Dada yako hawezi kukusaidia?Mkuu acha ujinga we oa mwnamke kisha usimtyombe kama atakaa.Ngono ni ingredient namba moja kwenye ndoa.Jaribu kumuambia mwanamke nataka tufunge ndoa lakini boloz halifanyi kazi usikie majibu yake.Ngono ni lazima kwenye ndoa ndio maan mtu hawezi kumuoa mam yake au dada ke,.Inarembwa tunasema tendo la ndoa lakini in short ni ngono
 
Kwahiyo hapa unazungumzia ndoa ya kislam na sheria za kislam vs mahakama na ndoa za kiserikali?
 
Siyo uzushi ni ukweli mtupu, kutokana na dini ya kiislam kuruhusu mitala na kutaliki kirahisi, baadhi ya waislam wasio waadilifu wamekuwa wakijiolea ovyo ovyo na kuwaacha wake zao ovyo kwa sababu hata za kijingajinga tu na huyo mwanamke kuanza keteseka, liangalieni upya suala hilo mwanamke ni kiumbe cha Mungu pia, siyo gari la kutumia na kuacha vile utakavyoamua wewe tu.
Ndio tayari umeshasema wasio waadilifu. Hapo huongelei uislam bali unaongelea waislam.
 
Basi wee si mwislam ila unataka kujifanya mwislam, hujui hata tofauti ya msadizi na mfanyakazi(mjakazi).
Mfanyakazi wa ndani = msaidizi wa kazi yupo kwako kwa ajili ya kukusaidia kazi ili nae apate maslahi yake. Ana uhuru wake na hummiliki na anaweza kuonfoka kwako akiamua.
Mjakazi = Ni mtumishi wa mtu ambae hana uhuru (slave) na umemmiliki hawezi kuondoka kwako.
 
Mfanyakazi wa ndani = msaidizi wa kazi yupo kwako kwa ajili ya kukusaidia kazi ili nae apate maslahi yake. Ana uhuru wake na hummiliki na anaweza kuonfoka kwako akiamua.
Mjakazi = Ni mtumishi wa mtu ambae hana uhuru (slave) na umemmiliki hawezi kuondoka kwako.
Well said!
 
Nimekwisha kutag kule
Sasa nakupa maelezo :
Kipindi mtume Muhammad (S.A.W) analingania Uislam Makka alikuwa anapata tabu na mateso sana kutoka kwa jamaa zake wa Kikureishi, na aliendelea kulingania hadi akafanya hijra kuondoka Makka na kuelekea Madina, kufika huko wale wenyeji waliowakuta huko wengi wao waliupokea Uislam. Lakini Makureishi wa Makka bado hawakuacha hila zao na mateso dhidi ya waislam. Sio kwamba waislam hawakuwa na uwezo wa kupambana nao bali waliondoka kuelekea Madina ili kujitenga nao. Sasa mbali ya kujitenga nao bado Makureishi waliendelea na hujuma zao. Waislam waliendelea kuvumilia hadi pale mtume aliposhushiwa wahyi juu ya kupambana na wanaowapiga. Na ndio hapo vita nyingi zilianzwa kupiganwa baina ya Waislam na Makureish wa Makka. Lengo la ile quote aliyoweka ndugu yangu kule ni kuwa tumeagizwa kupigana na wanaotupiga. Sasa hii ina tatizo gani? Kwa maana mtu kama hakusumbui hakufanyii lolote baya kama kukupiga huwezi kupigana nae ila kama aavkuadhibu na kukupiga bila kosa pambana nae. Na pia kisasi ni haki lakini pia kinatakiwa kiwe sawa. Mtu akikutoa jicho nawe mtoe jicho hiyo ndio maana ya usawa. Hata hivyo yale maneno ameongea mtu na wala sio ushahidi madhubuti kutoka kwenye kitabu tunachokiamini Quran
 
Nawakumbusha tu

WENDAZIMU wanaotajwa hapo na DsmicSound ni wakristo/kristu
Ndio ni wakristo ambao ni makafiri.
Dini ya kislamu wao hawaabudu tu bali huwekewa chuki nakufundishwa kuhusu sisi na dini yetu mwatuonea gere tuko sehemu stahiki.
Na bado maisha yetu yanabarikiwa kutokana na mikono yetu tukija kwenye biblia inaeleweka yenu imetungwa kwa mfano wetu eti YESU WETU mnaimwita Isa acheni kuiga bhana eti mnaandika kiarabu kiarabu ni lugha kama zingine tu.
ALLA ni Mungu sasa mpo acheni fitina.
 
Tendo la ndoa sio ngono[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Dada yako hawezi kukusaidia?Mkuu acha ujinga we oa mwnamke kisha usimtyombe kama atakaa.Ngono ni ingredient namba moja kwenye ndoa.Jaribu kumuambia mwanamke nataka tufunge ndoa lakini boloz halifanyi kazi usikie majibu yake.Ngono ni lazima kwenye ndoa ndio maan mtu hawezi kumuoa mam yake au dada ke,.Inarembwa tunasema tendo la ndoa lakini in short ni ngono
 
Back
Top Bottom