Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,811
- 2,483
Yes.Kwaiyo Muhammad alikuwa na tamaa ya ngono akamuoa mtoto wa miaka Tisa eeenh
Yes.Kwaiyo Muhammad alikuwa na tamaa ya ngono akamuoa mtoto wa miaka Tisa eeenh
Sheria ya Biblia inamyina kabisa mke urithi. Soma halafu tujuze mke yuko wapi hapa?...Ndoa ni nini? Unatenganishaje ndoa na Mali? Dhuluma peke yake ndio inaweza kutenganisha Ndoa na Mali.
Dhana ya kuwa mwili mmoja na pana na ni halisi, ndio maana katika ndoa ni 1+1=1
Barakallahu Fyka!UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...
Umeweka utaratibu katika kila jambo...
mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...
Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...
Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...
ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...
KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...
LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...
KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...
UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...
Yesu hakuoa alikuwa anapiga punyeto eeeh?Kwaiyo Muhammad alikuwa na tamaa ya ngono akamuoa mtoto wa miaka Tisa eeenh
Ni ngono hata upinge vipi.Au tendo la ndoa wanafirana?Tendo la ndoa sio ngono[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Muislamu akifa huku anaipigania dini yake mfano wewe leo hii ukifa huku unapigania Tanzania iwe taifa la kiislamu badi uko peponi wewe utaenda hii ni kwa mujibu wa uislamu.Sasa nakupa maelezo :
Kipindi mtume Muhammad (S.A.W) analingania Uislam Makka alikuwa anapata tabu na mateso sana kutoka kwa jamaa zake wa Kikureishi, na aliendelea kulingania hadi akafanya hijra kuondoka Makka na kuelekea Madina, kufika huko wale wenyeji waliowakuta huko wengi wao waliupokea Uislam. Lakini Makureishi wa Makka bado hawakuacha hila zao na mateso dhidi ya waislam. Sio kwamba waislam hawakuwa na uwezo wa kupambana nao bali waliondoka kuelekea Madina ili kujitenga nao. Sasa mbali ya kujitenga nao bado Makureishi waliendelea na hujuma zao. Waislam waliendelea kuvumilia hadi pale mtume aliposhushiwa wahyi juu ya kupambana na wanaowapiga. Na ndio hapo vita nyingi zilianzwa kupiganwa baina ya Waislam na Makureish wa Makka. Lengo la ile quote aliyoweka ndugu yangu kule ni kuwa tumeagizwa kupigana na wanaotupiga. Sasa hii ina tatizo gani? Kwa maana mtu kama hakusumbui hakufanyii lolote baya kama kukupiga huwezi kupigana nae ila kama aavkuadhibu na kukupiga bila kosa pambana nae. Na pia kisasi ni haki lakini pia kinatakiwa kiwe sawa. Mtu akikutoa jicho nawe mtoe jicho hiyo ndio maana ya usawa. Hata hivyo yale maneno ameongea mtu na wala sio ushahidi madhubuti kutoka kwenye kitabu tunachokiamini Quran
UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...
Umeweka utaratibu katika kila jambo...
mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...
Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...
Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...
ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...
KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...
LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...
KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...
UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...
1.Ni kweli Mungu wetu hawezi kujigipania lakini hakuna upande wowote wa imani ambao Mungu alisimama mwenyewe na kupigana na watu wasio na imani yake bali wafuasi wenye imani hiyo ndio waliosimama na kuipigania imani yao (refer Crusader war). Je kwenye vita ya Crusader alisimama Mungu mwenyewe kupigana au wenye imani yao ndio walipiigania?Muislamu akifa huku anaipigania dini yake mfano wewe leo hii ukifa huku unapigania Tanzania iwe taifa la kiislamu badi uko peponi wewe utaenda hii ni kwa mujibu wa uislamu.
.
Swali langu la msingi lilikuwa (kwa jamaa aliye ni_quote si wewe) atanishawishi vipi kuingia katika Uislamu ilihali Mungu wenu hawezi kujipigania, si Mungu wa upendo, ni Mungu anayeruhusu visasi kama wewe ulivyokiri hapa, ni Mungu anayetaka muuwe, mjiuwe kwa ajili ya dini yani atanishawishi vipi? Kaingia mitini.
.
Quran inasema mpigane na mtuuwe tusioamini katika Allah au tusio uheshimu like seriously??
Pia inasema msiwafanye marafiki Wakristo na Wayahudi kwa maana hiyo Allah ni Mungu wa utengano?
Mkuu hii vita haikuhusisha imani dhidi ya imani, The conflict was generally fought between European Crusaders and the Seljuk Turks and their vassals. The Muslim Syrian emirates occasionally allied themselves with the Christians against rival states.1.Ni kweli Mungu wetu hawezi kujigipania lakini hakuna upande wowote wa imani ambao Mungu alisimama mwenyewe na kupigana na watu wasio na imani yake bali wafuasi wenye imani hiyo ndio waliosimama na kuipigania imani yao (refer Crusader war). Je kwenye vita ya Crusader alisimama Mungu mwenyewe kupigana au wenye imani yao ndio walipiigania?
Kwenye Ukristo tunatakiwa kumpenda kila mtu, ukimuona Mkristo anamchukia mwenzake huyo ni Mkristo jina na hafuati mafundisho ya Kristo amri iliyo kuu kwenye Ukristo ni UPENDO muulize yeyote.2.Ndio Quran inasema wapigeni na wauweni wanaokupigeni kwenye njia ya Mwenyezi Mungu kwasababu yeye Mungu mwenyewe ndio mjuzi wa vilivyomo katika siri na dhahir, watu wanahubiri upendo lakini mioyoni hakuna upendo bali ni chuki kwahiyo yeye tu ndio anawajua viumbe wake na laiti kama kweli watu wangekuwa wanahubiri huo upendo basi vita ya Crusader zisingetokea bali wenye imani yao wangelikwenda tu na kuwahubiria wasio na imani hiyo ili nao waingie kwenye imani hiyo. Hapo inaonesha wazi kuwa upendo unaohubiriwa ni wa mdomoni tu.
Kwanini muwauwe wanaowakosoa na hata kueafanyia mambo ya ajabu kama kumtusi Allah wenu n.k3. Qurani haijasema tuwapige na tuwauwe wasiokuwa waislam bali imesema tupigane na tuwauwe wanaotupiga na kutuuwa katika njia ya Allah. Allah sio Mungu wa utengano na Qurani imeweka wazi ni nini cha kufanya dhidi ya wale ambao wanatupiga na kutuua katika njia ya Allah, uislam unahubiri amani na upendo lakini pia ipo wazi ni nini cha kufanya kwa ambao watatupiga na kutuua katika njia ya Allah. Pia Quran imeweka wazi kuwa tusiwafanye wayahudi na wakristo kuwa ni marafiki zetu kwasababu sahihi ni kuwa uhasama wa mayahudi na washirikina katika Uislam unatokana na mgongano baina ya mwito wa kiislam na tabia iliyokuwa imeshi- ka kasi katika Bara arabu mwanzo wa utume. Tabia hiyo ilikua ni mashindano ya kupora mali na watumwa. Vilevile riba, ghushi na mengineyo ya kutumia nguvu na utapeli. Tabia hii iliambukiza wafanyibiashara wa kigeni, kama walivyoambukizwa viongozi wa kiyahudi waliokuwa wakimiliki viwanda na biashara ya ndani. Ukaja mwito wa Muhammad (S.A.W) unaohimiza uadilifu na kukataa dhuluma na unyonyaji wa aina zote, na kuzuia unyonyaji wa mayahudi na washirikina. Kutokana na hali hiyo ndipo pande zote mbili zikakutana na kukubaliana kwa pamoja kujiepusha na dini na itikadi na kuungana mkono kupigana na Muhammad (saw), adui wa wote wawili.
Kwa ufafanuzi zaidi ni kuwa uadui wa mayahudi na washirikina kwa waislam, ulikuwa ni kwa msukumo wa kidunia na wala sio wa kidini, lakini mayahudi walijificha nyuma ya pazia la dini kwa kujionyesha na unafiki; sawa na wafanyavyo leo watu wanaotafuta chumo la haramu. Zaidi ya hayo ni kuwa mayahudi na washirikina wanashirikiana katika ubaguzi. Lakini washirikina pamoja na ujahili wao walikuwa na moyo usiokuwa mgumu, wakarimu na wenye fikra huru zaidi ya mayahudi. Ndio maana wengi wao wakamwamini Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na ni mayahudi wachache tu ndio waliomwamini Muhammad.
Hakipo na hakiwezi kuwepo kwa sababu Uislamu umekuja baada ya Ukristo yani ni sawa na uulize kwanini Nyerere hakuwahi kumpa uwaziri MagufuliNi kweli uislam umesema tusiwafanye wayahudi na wakristo kuwa marafiki zetu. Je kuna kifungu chochote kwenye Bible kinachosema wafanyeni Waislam kuwa marafiki zenu? Si mnahubiri upendo? Nioneshe hicho kifungu.
Kwenye mauwaji yanayoendelea ya magaidi sehemu mbalimbali duniani mfano mzuri ni Garisa Kenya walitoa Quran aliyeshindwa kusoma au aliyekuwa Mkristo walipigwa risasi na wengi walikufa hii ina maana mnalazimisha watu wawe Waislamu.4. Mtu hashawishiwi kuja kwenye uislam bali ni yeye mwenyewe na maamuzi yake, maana yote anayokuwa na mashaka nayo juu ya uislam anawekewa wazi hivyo ni khiari yake kuamini au kutoamini. Hivyo hakuna cha kukushawishi kuja kwenye uislam zaidi ya maamuzi yako kwa kila ukweli utakaoambiwa aidha kuukubali au kuukataa
1.Ni kweli Mungu wetu hawezi kujigipania lakini hakuna upande wowote wa imani ambao Mungu alisimama mwenyewe na kupigana na watu wasio na imani yake bali wafuasi wenye imani hiyo ndio waliosimama na kuipigania imani yao (refer Crusader war). Je kwenye vita ya Crusader alisimama Mungu mwenyewe kupigana au wenye imani yao ndio walipiigania?
2.Ndio Quran inasema wapigeni na wauweni wanaokupigeni kwenye njia ya Mwenyezi Mungu kwasababu yeye Mungu mwenyewe ndio mjuzi wa vilivyomo katika siri na dhahir, watu wanahubiri upendo lakini mioyoni hakuna upendo bali ni chuki kwahiyo yeye tu ndio anawajua viumbe wake na laiti kama kweli watu wangekuwa wanahubiri huo upendo basi vita ya Crusader zisingetokea bali wenye imani yao wangelikwenda tu na kuwahubiria wasio na imani hiyo ili nao waingie kwenye imani hiyo. Hapo inaonesha wazi kuwa upendo unaohubiriwa ni wa mdomoni tu.
3. Qurani haijasema tuwapige na tuwauwe wasiokuwa waislam bali imesema tupigane na tuwauwe wanaotupiga na kutuuwa katika njia ya Allah. Allah sio Mungu wa utengano na Qurani imeweka wazi ni nini cha kufanya dhidi ya wale ambao wanatupiga na kutuua katika njia ya Allah, uislam unahubiri amani na upendo lakini pia ipo wazi ni nini cha kufanya kwa ambao watatupiga na kutuua katika njia ya Allah. Pia Quran imeweka wazi kuwa tusiwafanye wayahudi na wakristo kuwa ni marafiki zetu kwasababu sahihi ni kuwa uhasama wa mayahudi na washirikina katika Uislam unatokana na mgongano baina ya mwito wa kiislam na tabia iliyokuwa imeshi- ka kasi katika Bara arabu mwanzo wa utume. Tabia hiyo ilikua ni mashindano ya kupora mali na watumwa. Vilevile riba, ghushi na mengineyo ya kutumia nguvu na utapeli. Tabia hii iliambukiza wafanyibiashara wa kigeni, kama walivyoambukizwa viongozi wa kiyahudi waliokuwa wakimiliki viwanda na biashara ya ndani. Ukaja mwito wa Muhammad (S.A.W) unaohimiza uadilifu na kukataa dhuluma na unyonyaji wa aina zote, na kuzuia unyonyaji wa mayahudi na washirikina. Kutokana na hali hiyo ndipo pande zote mbili zikakutana na kukubaliana kwa pamoja kujiepusha na dini na itikadi na kuungana mkono kupigana na Muhammad (saw), adui wa wote wawili.
Kwa ufafanuzi zaidi ni kuwa uadui wa mayahudi na washirikina kwa waislam, ulikuwa ni kwa msukumo wa kidunia na wala sio wa kidini, lakini mayahudi walijificha nyuma ya pazia la dini kwa kujionyesha na unafiki; sawa na wafanyavyo leo watu wanaotafuta chumo la haramu. Zaidi ya hayo ni kuwa mayahudi na washirikina wanashirikiana katika ubaguzi. Lakini washirikina pamoja na ujahili wao walikuwa na moyo usiokuwa mgumu, wakarimu na wenye fikra huru zaidi ya mayahudi. Ndio maana wengi wao wakamwamini Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na ni mayahudi wachache tu ndio waliomwamini Muhammad.
Ni kweli uislam umesema tusiwafanye wayahudi na wakristo kuwa marafiki zetu. Je kuna kifungu chochote kwenye Bible kinachosema wafanyeni Waislam kuwa marafiki zenu? Si mnahubiri upendo? Nioneshe hicho kifungu.
4. Mtu hashawishiwi kuja kwenye uislam bali ni yeye mwenyewe na maamuzi yake, maana yote anayokuwa na mashaka nayo juu ya uislam anawekewa wazi hivyo ni khiari yake kuamini au kutoamini. Hivyo hakuna cha kukushawishi kuja kwenye uislam zaidi ya maamuzi yako kwa kila ukweli utakaoambiwa aidha kuukubali au kuukataa
Lol...uliza wanasheria wakwambia mirathi ngumu ni zipi kama si za kiislam? Waislam wengi wanauchu sana wa mali, ndiyo maana muislam akioa akiwa tajiri ndoa itakuwa ya shida sababu ya ndugu,akifa ndiyo kabisa hata watoto wa marehemu hawawatambui.....UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...
Umeweka utaratibu katika kila jambo...
mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...
Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...
Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...
ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...
KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...
LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...
KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...
UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...
Tunaoa ili tupate msaidizi sio kwa kusudi la ngono na kama unawaza ngono utachepuka paka ukome maana mwili huwa uridhiki hata kidg kwaiyo inakubidi sasa ww uwe makini na hilo jambo
Ndio MUNGU alimuumba hawa ili awe msaidizi kwanza mengine ndiyo yafuate kama unawaza kuoa ni sababu ya ngono upo wrong
Umenipa maujanja ngoja nijaribu kwa demu wangu anasumbua niwe MuislamuNina demu wakiislamu nabahati mbaya nimeshazaa nae. Sasa nilimuuliza achague mimi au yeye nani abadilishe dini, nikamwambia mimi nipo tayari kumfata kwenye dini yake ila lazima nitaoa mke zaidi yammoja kwasababu dini yao inaruhusu. Aliruka huyo nampaka Sasa kaona bora abadilishe yeye ili ale neema yamke mmoko.
Hivi unafikiri tukilipizana kisasi ni lini tutaishi kwa amani? Maana akianza kufanya dhambi mmoja wote mtafuata njia moja amekutoa jicho nawe utamtoa jicho naye atahitaji kulipa kisasi maanake atakutoa la pili nawe utalipa kisasi hilo litaendelea vizazi na vizazi mpaka pale mmoja atakaposamehe na ndo maana biblia inatuhitaji kusameheSasa nakupa maelezo :
Kipindi mtume Muhammad (S.A.W) analingania Uislam Makka alikuwa anapata tabu na mateso sana kutoka kwa jamaa zake wa Kikureishi, na aliendelea kulingania hadi akafanya hijra kuondoka Makka na kuelekea Madina, kufika huko wale wenyeji waliowakuta huko wengi wao waliupokea Uislam. Lakini Makureishi wa Makka bado hawakuacha hila zao na mateso dhidi ya waislam. Sio kwamba waislam hawakuwa na uwezo wa kupambana nao bali waliondoka kuelekea Madina ili kujitenga nao. Sasa mbali ya kujitenga nao bado Makureishi waliendelea na hujuma zao. Waislam waliendelea kuvumilia hadi pale mtume aliposhushiwa wahyi juu ya kupambana na wanaowapiga. Na ndio hapo vita nyingi zilianzwa kupiganwa baina ya Waislam na Makureish wa Makka. Lengo la ile quote aliyoweka ndugu yangu kule ni kuwa tumeagizwa kupigana na wanaotupiga. Sasa hii ina tatizo gani? Kwa maana mtu kama hakusumbui hakufanyii lolote baya kama kukupiga huwezi kupigana nae ila kama aavkuadhibu na kukupiga bila kosa pambana nae. Na pia kisasi ni haki lakini pia kinatakiwa kiwe sawa. Mtu akikutoa jicho nawe mtoe jicho hiyo ndio maana ya usawa. Hata hivyo yale maneno ameongea mtu na wala sio ushahidi madhubuti kutoka kwenye kitabu tunachokiamini Quran
Chukua zawadi yako hiyo. Maana niliyem-quote naamini amenielewa.Hivi mkuu unategemea vipi kukuta habari za uislam kwenye biblia ili hali Uislam umekuja baada ya ukristo kuwepo kwa mamia ya miaka!!
Ukristo unahubiri Upendo kwa watu wote bila kujali Dini, umri, utaifa au jinsia .