Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

Sheria nyingi za ndoa zinatamka mali mlizo chuma pamoja, au yale maendeleo yote yaliopatikana ndani ya ndoa na sio mali mwanandoa alizozikuta kabla ya ndoa, na hata hivyo kuna sheria ya mirathi, kama mwenye mali aliacha wosia kuhusu mgawanyo wa mali zake. Mara nyingi mada huja kwa hisia na sio kwa uhalisia.. ebu jaribu kunishawishi tena, kwani katika nchi yetu tuna mgawayo wakisheria.
 
Dini yenu katika ndoa ni nzuri, lakin angalieni upya suala la ndoa, naona waislamu wengi wanaoa kwa tamaa za ngono na si vinginevyo Kwan mnasababisha ongezeko kubwa la single mothers kila kukicha, kila siku mnaoa na kutaliki.
Sio kweli, huo unaoongea ni uzushi. Hebu jaribu kufatilia ni single mother wengi ni wepi kati ya walioolewa na wanaozalishwa nje ya ndoa? Hata hivyo katika uislam mtu akiachana na mkewe bado anatakiwa aendelee kutoa matunzo ya mtoto. Tukirudi kwenye waliozalishwa nje ya ndoa, ni wanaume wangapi wanawakataa watoto au kuwaachia wanawake walee wenyewe?! Tafakari na ukipata jibu baki nalo.
 
Kwa nini tunaoa?kama sio tamaa ya ngono kwa nini usimuoe mama yako au dada yako au ikiwezekana shangazi yako?
 
UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA...

Umeweka utaratibu katika kila jambo...

mfano:-
NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA KATIKA MALI...yaani ETI KWAKUWA NIMEKUOA TU...BASI MALI ZANGU ZINAKUWA ZAKO...AU MALI ZA MKE ZINAKUWA ZANGU...ETI KWA SABABU YA NDOA...(exception inakuwa kwenye mali ambayo kila mtu baina ya wawili nyie mna jitihada mmeingiza mno)...

Kuna wakati wanandoa wanaogopa kuachana kwa sababu ya kuhofia kugawana mali...hata kama mwanaume alizichuma mali hizo pekee yake au kabla ya kumuoa...

Lakini sheria dhalim zilizotungwa na wendazimu...eti mradi tu mmeoana eti mkiachana mali pasupasu hata kama mwanamke hakutia mkono kwenye mali hiyo...TOFAUTI NA ILE MALI ILIYOTAFUTWA NA MWANAMKE...MWANAUME HAWEZI GAWANA NAE...

ILA UISLAAM UNAJALI HAKI SAHIHI NA MASLAHI YA WATU WOTE...

KAMA MKE ANASTAHILI HURUMA KWAKUWA NI MWANAMKE...BALI MAMA ANASTAHILI HURUMA ZAIDI...

LAKINI SHERIA YA WENDAZIMU HAIANGALII HILO...ETI MFANO MUME AMEKUFA...MKE ANAPEWA MALI NUSU NZIMA...ALAFU WAZAZI NDUGU WA MUME WOTE WANACHUKUA NUSU ILIYOBAKI...

KWELI HIZI SHERIA NI ZA KIPUUZI WALA HAZIJALI HAKI YA PANDE ZOTE...

UISLAAM KILA KITU KATIKA MAISHA KIMEWEKEWA UTARATIBU HATA KAMA NI CHA SIRI...
Kwanini muachane kwanza alichokinganisha MUNGU hakuna wakikiacha nisha hakuna kuachana paka kufa na mnakufa kwa pamoja alafu ilo suala LA Mali ni tamaa tu za kuulimwengu kwani ww ukiwa na Mali ndio kinatokea nini kwaiyo

Point zako bado zipo lege
 
Katika uislam mtoto nje ya ndoa ni haram
Uislam umekamilika katika kila idara
 
Mungu wa waislamu hawezi kujipigania mpaka apiganiwe na waamini wake pia kuuwa na kupiga wasio waislamu ni thawabu hivi utamshawishi vipi mtu aje huko kwa misingi hii?

mangatara
La kukushawishi ww kwanza kabisa
Ni kuipa uhuru akili yako na kuufungua moyo wako katika kuukubali ukweli mahala popote na wakati wowote,hata ukweli huo ukiwa mchungu
 
Kwa nini tunaoa?kama sio tamaa ya ngono kwa nini usimuoe mama yako au dada yako au ikiwezekana shangazi yako?
Tunaoa ili tupate msaidizi sio kwa kusudi la ngono na kama unawaza ngono utachepuka paka ukome maana mwili huwa uridhiki hata kidg kwaiyo inakubidi sasa ww uwe makini na hilo jambo
Ndio MUNGU alimuumba hawa ili awe msaidizi kwanza mengine ndiyo yafuate kama unawaza kuoa ni sababu ya ngono upo wrong
 
La kukushawishi ww kwanza kabisa
Ni kuipa uhuru akili yako na kuufungua moyo wako katika kuukubali ukweli mahala popote na wakati wowote,hata ukweli huo ukiwa mchungu
Nisaidie jambo, Katika Ukristo Mungu wetu Jehovah anatupigania sisi waamini wake tunapopata matatizo anakuwa pamoja nasi kutusaidia katika wakati wowote mgumu au mzuri yuko pamoja nasi kutuongoza.
.
Hatumpiganii ila yeye ndiye anatupigania, hataki tuuwe, hataki tupigane anatuhitaji tuwe wenye upendo, wapole na wakarimu mbele za kila mtu kama tufanyavyo kwake.
.
Ametuagiza kusamehe 7×70 sasa basi utanishawishi vipi mimi au mtu yeyote aje katika Uislamu wakati Mungu wenu hawapiganii ila ninyi ndio mnampigania na anaruhusu kuuwa/kujiuwa au kupiga ili mpate thawabu utanishawishi vipi mkuu?
 
Akili yangu iko wazi kabisa ndio nataka kujifunza mengi zaidi kuhusu Mungu wenu na katika kujifunza kwangu sihitaji kuuwa, kujiuwa wala kupiga ili nipate thawabu au chochote.
 
Rekebisha kauli yako Chief

Hakuna mtt Haraam
Bali jua na fahamu
Uharamu upo kwa wale waliofanya ngono zembe na kusababishwa kuzaliwa

Ila hakuna Mtt wa Haraam katika Dunia hii
Sasa utakua unajipinga tena unawapinga wenzako, kitendo cha haram hakiwez kuzaa kitakatifu

Ni sawa na kusema nguruwe haram lakn mchuz wake sio haram
 
Kwa nini tunaoa?kama sio tamaa ya ngono kwa nini usimuoe mama yako au dada yako au ikiwezekana shangazi yako?
Sababu kuu ya kuoa ni kupata msaidizi na si vingine, kitendo cha kuoa na kutaliki kila unapomchoka ni ishara ya tamaa za ngono.
 
Rekebisha kauli yako Chief

Hakuna mtt Haraam
Bali jua na fahamu
Uharamu upo kwa wale waliofanya ngono zembe na kusababishwa kuzaliwa

Ila hakuna Mtt wa Haraam katika Dunia hii
Hakuna mtoto haram bali kuna mtoto wa nje ya ndoa. Ukharam upo lakini ni kutokana na chakula kilicholiwa na wazazi wa mtoto huyo ikiwa hakikupatikana kwa njia ya halali, chakula ambacho ndicho kilichowapa nguvu wazazi hao na kuingia kwenye jimai.
 
Sababu kuu ya kuoa ni kupata msaidizi na si vingine, kitendo cha kuoa na kutaliki kila unapomchoka ni ishara ya tamaa za ngono.
Kwahiyo nikichukua mfanyakazi wa ndani itakuwa tayari nimeshaoa? Si ni msaidizi! Kuwa mwelewa ndugu. Kitendo cha kuacha vile vile sio tamaa za kingono bali kuna mambo mengi moja wapo ni kutokuendana kitabia au kukosa maelewano.
 
Sio kweli, huo unaoongea ni uzushi. Hebu jaribu kufatilia ni single mother wengi ni wepi kati ya walioolewa na wanaozalishwa nje ya ndoa? Hata hivyo katika uislam mtu akiachana na mkewe bado anatakiwa aendelee kutoa matunzo ya mtoto. Tukirudi kwenye waliozalishwa nje ya ndoa, ni wanaume wangapi wanawakataa watoto au kuwaachia wanawake walee wenyewe?! Tafakari na ukipata jibu baki nalo.
Siyo uzushi ni ukweli mtupu, kutokana na dini ya kiislam kuruhusu mitala na kutaliki kirahisi, baadhi ya waislam wasio waadilifu wamekuwa wakijiolea ovyo ovyo na kuwaacha wake zao ovyo kwa sababu hata za kijingajinga tu na huyo mwanamke kuanza keteseka, liangalieni upya suala hilo mwanamke ni kiumbe cha Mungu pia, siyo gari la kutumia na kuacha vile utakavyoamua wewe tu.
 
Nisaidie jambo, Katika Ukristo Mungu wetu Jehovah anatupigania sisi waamini wake tunapopata matatizo anakuwa pamoja nasi kutusaidia katika wakati wowote mgumu au mzuri yuko pamoja nasi kutuongoza.
.
Hatumpiganii ila yeye ndiye anatupigania, hataki tuuwe, hataki tupigane anatuhitaji tuwe wenye upendo, wapole na wakarimu mbele za kila mtu kama tufanyavyo kwake.
.
Ametuagiza kusamehe 7×70 sasa basi utanishawishi vipi mimi au mtu yeyote aje katika Uislamu wakati Mungu wenu hawapiganii ila ninyi ndio mnampigania na anaruhusu kuuwa/kujiuwa au kupiga ili mpate thawabu utanishawishi vipi mkuu?
Weka ushahidi madhubuti dhidi ya haya uliyoyaandika na isiwe ni kauli tu za kusikia, Imani ni uwanja mpana sana
 
Kila jema hujitangaza lenyewe.HALIJITANGAZI

Back
Top Bottom