PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Geneva, UN HRC

Mawasilisho wa Uingereza mjini Geneva yalikuwa haya hapa chini kuhusu Tanzania :

UK Human Rights Council 61 : UK Statement for the Item 2 General Debate​

UK Statement for the Item 2 General Debate. Delivered by the UK's Human Rights Ambassador, Eleanor Sanders.
Published2 March 2026

Location:GenevaDelivered on:2 March 2026 (Transcript of the speech, exactly as it was delivered)
Eleanor Sanders

Mr President,

We are grateful for the High Commissioner’s update.

The humanitarian situation in Gaza remains of serious concern. We urge Israel to allow and facilitate rapid and unimpeded passage of humanitarian aid in line with international law. We call on all parties to implement the 20-point peace plan and respect the ceasefire. In the West Bank, rising violence and settlement activity risk instability and undermines prospects for peace.

Tanzania saw shocking violence following its elections in October, including evidence of extra-judicial killings and concealment of dead bodies. There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.

We appreciate your efforts to engage China, including on the findings of his Office’s Xinjiang Assessment from 2022. But we are concerned by continued evidence of China’s transition from using re-education camps to using prisons and labour transfer schemes. We call on China to address reports of forced labour, and restrictions on religious and cultural freedoms; China must release all arbitrarily detained individuals.

Finally, we support unequivocally Ukraine’s sovereignty, independence and territorial integrity. We continue to support the work of UN mechanisms and their reporting - those responsible for violations and abuses of human rights must be held accountable.

Thank you.
Published 2 March 2026
Balozi Possi keshawajibu. 😆😆😆
 
Mtasubiri sana. Tahamaki 2030 hiyo Mama anastaafu

ndiyo hapo mnapojidanganya, mahmoud ahmadnejad alimaliza uraisi wake mwaka 2013, lkn kapigwa missile juzi tu kakoswa koswa kuuwa hivyo kumaliza muda mwaka 2030 hakumsafishi yoyote yule, hata yeye ahmednejad alikuwa na kidomo domo hivyo pia na kejeli …
 
Huyu beberu itabidi arudi tena kutawala Tanganyika.
Inawezekana CCM/TANU wanasema uongo juu ya ukatili wa mkoloni muingereza.
CCM makatili kuliko mkoloni.
 
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua"
Tanzania nayo ifungue kesi kama hii kwa Uingereza na Ujerumani kwa kuwafanyia ukatili na kuwatawala kimabavu pamoja na kuwafanya watumwa .
 

View: https://youtu.be/rVIRbPTWXCc?si=ZdgDPX1w1zPddYtN
Uingereza nayo imemkaba koo Samuya muuaji...

Yataka uchunguzi huru na wazi...

Yarahisisha na kusafisha njia ya Samuya na wahuni wenzake kuelekea ICC..

Kwa ushahidi uliokwisha kuwasilishwa tayari, there's no way kuwa atapona kitanzi...!

Lazima Samuya akutwe na hatia. Ushihidi uko wazi mno..!!!
 
Ni maoni yake yaliyowafurahisha, lakini Tz ni taifa huru kama ilivyo uingereza. kama sisi hatuwezi kuwaagiza wafanye jambo kwaajili ya watu wao hata wao hawawezi kutuagiza jambo kwaajili ya watu wetu. Tumeshavuka huko.
Uingereza ilimuuwa nani, kama sio akili za chizi karogwa tena
 
Hivi kumbe umoja wa mataifa UN bado wapo?
Mbona wapo kimya kuhusu mauaji ya
Gaza
Sudani
Irani
Venezuela
Gaza na Venezuela walizikwa kwenye makaburi ya jumla wapi maana hapa kwetu walipelekwa ndugu zetu waliouwawa kinyama Kwa kondo.
 
ndiyo hapo mnapojidanganya, mahmoud ahmadnejad alimaliza uraisi wake mwaka 2013, lkn kapigwa missile juzi tu kakoswa koswa kuuwa hivyo kumaliza muda mwaka 2030 hakumsafishi yoyote yule, hata yeye ahmednejad alikuwa na kidomo domo hivyo pia na kejeli …
So mshakubali aendelee tu mpk astaafu! Lile la kwamba hatoboi 2030 ndo mshakata tamaa
 
So mshakubali aendelee tu mpk astaafu! Lile la kwamba hatoboi 2030 ndo mshakata tamaa

haha kuanzia leo mpaka 10/2030 bado kuna siku kama 1679 katikati, na kila siku ipitayo ni bora ya jana, kuna mahali mtanasa tu mitego ni mingi sana, waswahili tunasema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu ...
 
haha kuanzia leo mpaka 10/2030 bado kuna siku kama 1679 katikati, na kila siku ipitayo ni bora ya jana, kuna mahali mtanasa tu mitego ni mingi sana, waswahili tunasema ndege mjanja hunaswa na tundu bovu ...
Duh! So tusubiri after 2030 au tuendelee kujipa matumaini kusubiri hiyo mitego?
 
Ni tofauti kabisa na sisi, huku kwetu mlalamikaji ni chadema ya TAL na kule Venezuela na Iran walalamikaji ni Marekani na Israel, tofauti kabisa buana!!!.
nani kakwambia wanaolalamika ni Chadema tu?
kwani nchi nzima ni Chadema na CCm
nyie watu mna akili za kuvukia barabara tu
ndio maana mnakataa watu kutoa maoni juu ya taifa lao
yaani viongozi wa Tanzania wanajiona kama nchi na mali yao, mtu akitoa maoni yake yasipompendeza kiongozi basi huyo mtu ni chadema na nanastahili kufa kwa sababu kamsema vibaya kiongozi
 
Pia waende kumuuliza Trump na Netanyau wale watoto wa kiislamu waliouliwa wakiwa shuleni kule Irani.!
 
Back
Top Bottom