PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na miili ya wahanga kufichwa
Ikafanye uchunguzi Iran, kufuatilia raia zaidi ya 200 waliouawawa na Serikali ya Amerika ikishirikiana na Israel. Hivi wewe mtoa hoja huoni aibu!
 
Waambieni kwanza wakafanye uchunguzi huru huko Gaza ambako watoto wameuliwa kwa mabomu na waliosalia wanakufa kwa kukosa chakula.

Tanzania ni nchi huru isiyofungamana na upande wowote. Ina Katiba yake ambayo inatoa mamlaka kwa Rais kuunda tume ya kuchunguza jambo lolote.

Tuache kuwashobokea hawa wakoloni wetu. Hata wenyewe mbkna wana shida nyingi tu? Wala sisi hatujawahi kuitwa kwenda kuwachunguza!!
Ukishakua omba omba huwezi kua huru
 
Back
Top Bottom