Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,895
- 19,847
Hayo yote na MENGINE MENGI ZAIDI tunayaelewa hata kabla barua yenyewe haijaandikwa. Lakini sababu kubwa moja ya kuondoshwa kwa mpenda-damu huyo ni uchochezi wa vita vya Ukraine.Unajua kuwa Boris alikuwa anapigiwa ya kura ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inawasilishwa na wabunge wa chama chake? unajua sababu ilikuwa ni nini?
Jana tuu alipogoma kujiuzulu, kuna barua iliwasilishwa wampigie kura tena ambayo hata kwa uchawi asingetoboa
Boris Johnson alipaswa kujiunga na mnafiki Macron ili wamshinikize Marekani amwache Zelensky afuate masharti ya mkataba wa awali. But wao walitenda kibabe wakijua Putin atawapigia magoti.
Wameumbuka!