Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson ajiuzulu rasmi

DeepPond

Okay niambie London ipi juzi ilikuwa na maandamano yaliyosababisha Boris kujiuzulu
Angalia Hapa
Screenshot_20220707-175809.jpg
Screenshot_20220707-175651.jpg
 
Makosa Gani hayo tunaomba tuyafahamu
Machache: Kumteua mtu aliyekuwa na scandal ya mapenzi, alikataa kuwa hakuwa anajua, alipobanwa akakubali alikuwa anajua jambo hilo

Wakati nchi nzima ipo kwenye lockdown na restrictions kibao {huruhusiwi hata kumtembelea mgonjwa hospital} yeye na washikaji zake wakawa wanakutana wanafanya party tena Downing Street {Ikulu yao} na kutwanga bia
 
Kuwa challenged na maoni ya mihemko ni jambo la kawaida ila kuna wakati inafika mahala ushabiki unaenda overboard. Kujiudhulu kwa viongozi wakuu inchini uingereza ni jambo la kawaida sana na imetokea mara nyingi. Issue za ukraine sio personal wenzetu hawana huo ujinga lazima bunge likae kujadili kuona kama inafaa. Nenda kupitie maoni ya wahusika wenyewe utajionea utofauti na Sisi tunaojifanya wajuaji.
Waingereza wameona pesa za walipa-kodi zinateketea bure mifukoni mwa wachache, na kwenye uwanja wa vita, ambako nako, badala ya mafanikio, Ukraine inazidi kumegwa kila kukicha.
 
Hamna kitu hapo..watakua wanaona aibu kuwa wawazi tu...maisha yamekuwa magumu, gharama za maisha zimepanda, mafuta hali ngumu, korona yenyewe..halafu yeye yuko bizy na UKRAINE.....wamemla kichwa kistaarabu hao...
Huu ndio ukweli mtupu. Mods embu fungeni huu uzi tukafanye mambo mengine ya kulijenga taifa.

5 Major Causes of Boris Johnson's Downfall:

1. War in Ukraine

2. War in Ukraine

3. War in Ukraine

4. War in Ukraine

5. War in Ukraine
 
Ungesema huuelewi uhusiano, angalau ningekuona bonge la muungwana. Uhusiano huo upo na ni mkubwa na angavu sana kama jua. Wasiouona wana lao jambo.
Unajua kuwa Boris alikuwa anapigiwa ya kura ya kutokuwa na imani naye iliyokuwa inawasilishwa na wabunge wa chama chake? unajua sababu ilikuwa ni nini?

Jana tuu alipogoma kujiuzulu, kuna barua iliwasilishwa wampigie kura tena ambayo hata kwa uchawi asingetoboa
 
Back
Top Bottom