Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

Haha sawa Mkuu....hapa tunaelimishana wewe unaleta ligi.
ila tambua nlikuwa namuuliza yule mjumbe kule juu kwa faida ya wanabodi wote sio ya kwangu tu
Sina haja ya kuleta ligi kwa kitu nisichokimiliki.
Hakuna adhabu ya Mwanamke mzinifu.
Ila kuna adhabu ya mwanaume na mwanamke wazimifu
 
Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra.

Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke.

Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi kuna hatari kubwa ya waislamu kufanya hivyo kimagendo.

Halaleh Taheri, muasisi wa Middle Eastern Women and Society Organisation amemzungumzia mwanafunzi Mmoroko anayejificha uingereza baada ya kusikia baba yake kamuajiri mtu ili amuue baada ya kugundua kwamba binti huyo hana bikra.

Kuna takribani kliniki 22 ndani ya uingereza ambazo zinafanya upasuaji wa kuweka tabaka la ngozi ili mwanamke kurudi kuwa bikra

Inagharimu hadi £3,000 sawa na Tsh milioni 9, kwa upasuaji ambao huchukua takribani lisaa kukamilika.

Wapiganiaji haki za wanawake wanasema kliniki hizo zinafaidika kutokana na uwepo wa waislamu ambao huogopa kuonekana sio wasafi siku ya ndoa.

Katibu wa afya Matt Hancock amesema wanachunguza namna ya kukomesha tukio hili bovu Lakini idara ya afya imekataa shauri hilo kutokana na ugumu wa kutekeleza zuio hilo.

Taheri amesema: "wasichana wanaweza kuishia kufa kama kutakuwa na zuio la kutengeneza bikra kwa kuwa itafanyika kimagendo

Dr Khalid Khan, aliyewahi shuhudia namna upasuaji huo iunafanyika na kusema haitakuwa sahihi kuzuia upasuaji huo

Dr Naomi Crouch, amehofu kuhusu wanawake na wasichana watakao lazimika kufanya tukio hilo ambalo halina manufaa yoyote kiafya
Kwahiyo damu hutoka siku ya kuvunjwa hiyo bikra kama kawaida?
 
Nimeomba link kutoka kwa mleta mada ili tusome chanzo cha habari yake. Naona ana chuki fulani tu za kijinga na Uislam.

Mimi ndiyo nimeyasoma hapa na hayaingii akilini.

Nijuavyo bikra feki zinatengenezwa hata majumbani tu, dakika tano nyingi. Si lazima uende kwa daktari.

Wajinga ndiyo waliwao.
Ni kweli mnaweka limao au ndimu?
 
Ndio zao hawa na dini yao, kwanza kuna wengine huliwa tigo ili wadumishe ubikira wa papuchi.
 
Back
Top Bottom