Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

Hivyo mama na mtoto mchangawake wakifariki wakati mama anajifungua wote watazikwa kaburi moja?
inategemea mila na desturi....ila hata wakizikwa kaburi moja itakuwa kwenye nafasi tofauti hawawezi eti kumrudisha kichanga tumboni mwa mama wawe kitu kimoja tena.
 
Mkuu haya yote ili mkwepe jibu la swali langu?
Unahisi ntasahau?
Turudi kwako kashasha adhabu ya mwanamke mzinifu katika uislam ni nini?
HUWA SINA TABIA YA KUKWEPA SWALI.
PIA HUWA SINA TABIA YA KUJIBU SWALI ILI KUMRIDHISHA MTU.

JE HUYO MWANAMKE HUJIDHINI MWENYEWE?
KOSA LIMETENDWA NA WAWILI AU MMOJA? KWANINI HUKUMU ZIWE TOFAUTI?
IKI UNAHITAJI JIBU LENYE MLENGO FULANI ILI UJENGE HOJA KWANGU UMEKWAMA
 
Hahah dah
Najua adhabu ni moja kwa wote lakini mimi namuongelea mwanamke kwakuwa mada hapa inahusu wanawake
Kazini wafanyakazi wote hata mkilipwa mshahara mmoja ukirudi home wife hatakuuliza na wenzako wamelipwa shingapi,,yeye atajali ulichopata wewe

Kwahiyo huyo mwanamke aliyezini adhabu yake ni nini??
Usipojibu tena na hapa ukaendelea kunizungusha basi tena sitaendelea kujibizana upumbafu
 
Kumbe nawe umeona ni upumbafu
Unajua adhabu ni moja ila hujui adhabu anayopewa mwanamke!
HUU NI UPUMBAFU WA KIWANGO CHA ANGA
 
Kumbe nawe umeona ni upumbafu
Unajua adhabu ni moja ila hujui adhabu anayopewa mwanamke!
HUU NI UPUMBAFU WA KIWANGO CHA ANGA
Haha sawa Mkuu....hapa tunaelimishana wewe unaleta ligi.
ila tambua nlikuwa namuuliza yule mjumbe kule juu kwa faida ya wanabodi wote sio ya kwangu tu
 
Mkuu umeonyesha jinsi gani ulisivyokuwa na idea jinsi vitu vinavyoendelea katika tamaduni ambazo zinazotilia mkazo mwanamke awe bikra kabla hajaolewa. Hii ni kweli inatokea nchi za Mashariki ya kati hata baadhi za nchi za Afrika mfano Somalia. Labda hujasikia stori za kuwa baadhi ya wasichana wa Kiarabu, kimanga, kisomalia huwa wanatoa nyuma ili watunze ubikra wao hadi siku za kuolewa. Kumbukeni utamaduni wa eneo sio lazima ujali dini ya mtu. Kwa hiyo Waislamu, Wakristo, na wasio na dini huwa wanafuata hivi vitu subconsciously. Mfano kwetu Tanzania uwe mkristo au muislamu tunatumia mkono wa Kulia kulia chakula .
wamanga ndo wapi hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom