Uingereza kweli Choka mbaya 1-100 hakuna Bilionea!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!
 
Hawa jamaa walipopoteza kuwa dola kubwa ya dunia walipotea kabisa katika mambo ya msingi

Pamoja na ku industrialize mapema lkn leo wapo tu, hata English leo ukitaka kuinstall OS au application yeyote utaona ENGLISH USA na wengi tunatumia hiyo, United Kingdom kwisha kabisa hadi kiteknolojia
 
Tatizo ni mikodi yao ya kingesengese, wewe kodi mpaka 45%????lol!

Sidhani kama ni sababu kwanza Uingereza ndiyo moja kati ya nchi zenye kodi ndogo Ulaya, kwa mfano nchi za Skandinavia wanafikia mpaka 68% ya mshahara lkn bado wametoa mabilionea kwenye forbes!
 
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!
Tutatoka siku maccm yakitolewa madarakani
 
Mgawanyo wa Mali uingereza ni mzuri, kwa hiyo matajiri kule ni wengi lakini ni wa wastani

Hiyo sifa nchi nyingi za Ulaya Magharibi kama siyo zote inazo kwanza tofauti ya matajiri na masikini Uingereza ni kubwa kuliko nchi zote tajiri za Ulaya Magharibi lkn bado nchi za Ulaya zinazalisha mabilionea kibao !
 
You cant be serious, yani UK ndio iwe kodi ndogo kwa europe????? Nooooooo!!!!!!
Kuna nchi inaitwa Malta, kuna jamaa yangu anapiga kazi pale, kodi anayokatwa ni 28% while in UK alikua anakatwa 42%!!! In the same salary!!!
Sidhani kama ni sababu kwanza Uingereza ndiyo moja kati ya nchi zenye kodi ndogo Ulaya, kwa mfano nchi za Skandinavia wanafikia mpaka 68% ya mshahara lkn bado wametoa mabilionea kwenye forbes!
 
Hiyo sifa nchi nyingi za Ulaya Magharibi kama siyo zote inazo kwanza tofauti ya matajiri na masikini Uingereza ni kubwa kuliko nchi zote tajiri za Ulaya Magharibi lkn bado nchi za Ulaya zinazalisha mabilionea kibao !
Mkuu weka data
 
You cant be serious, yani UK ndio iwe kodi ndogo kwa europe????? Nooooooo!!!!!!
Kuna nchi inaitwa Malta, kuna jamaa yangu anapiga kazi pale, kodi anayokatwa ni 28% while in UK alikua anakatwa 42%!!! In the same salary!!!

Soma vizuri nilichoandika nimesema moja kati ya nchi zenye kodi ndogo Ulaya, sasa Malta kwanza ni kakisiwa tu kana watu laki 4 tu, lkn nchi nyingine karibia zote za Ulaya Magharibi kodi ni zaidi ya 50% lk bado zinatoa mabilionea!
 
Kwani Richard Branson mmiliki wa Virgin Group ni raia wa nchi gani kama sio Uingereza????
 
Mtajadili ya Uingereza na dunia ya kwanza wakati yenu yanawashinda..matajiri wenu hapo ndo mabingwa wa kukwepa kodi..hii ngozi nyeusi hiii ina makoyee gete geteee!
 
Mimi sajaelewa Sasa hii ngozi nyeusi Ina uhusiano gani Na wakwepa kodi?
Kama unalako la undani si sema tu.
Au unaona Mauza uza?
 
Commonwealth na UK umezichukia baada ya kuona zimekomalia inshu ya zanzibar, hujawah kua na akili kwenye mambo kiuchumi. We ni siasa majitaka tu ndo unazo ziweza
 
Back
Top Bottom