Uingereza kweli Choka mbaya 1-100 hakuna Bilionea!

Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!
HAWA MBWA(WAINGEREZA WANA LAANA)
REJEA

UTAJIRI WAO WALIUPATA KWA KUFANYA UHARAMIA NA UJAMBAZI ULIOTUKUKA KATIKA DUNIA HII.
 
anaichukia uk sababu hawatki uchaguzi wa nzanzibar urudiwe huyu jamaa bwana akili yake ni matope sana
 
Uingereza ni kisiwa kidogo, chenye rasilimali finyu, na ushindani wa Muungano wao wa Great Brittain(wales, England, Scotland na North Ireland).Fursa zimeisha Uingereza kwahiyo mitaji mikubwa ya uwekezaji ilihama toka zamani. Marekani ni ya tatu kwa ukubwa na ina fursa nyingi za kufanya ndo maana matajili wengi wana toka huko.Canada, Urusi, China, Mexico, Brazil hizi ni nchi kubwa kiaridhi, kubwa kidadi za watu, pia zina fursa nyingi kwahiyo ni rahisi kutengeneza matajiri. Wanachojivunia uingereza ni population welfare zipo vizuri, hawatengenezi matajili kwahiyo usawa wa kimaisha upo vizuri.

nani alikudanganya kwamba Ungereza ina ralimilamli finyu? Uingereza wana gesi na mafuta ya kufa mtu huko north sea, asikudanganye mtu!
 
inategemeana na maoni tu
kuna wengine ndo wanaona 'ameiokoa'
wangekuwa na hali mbaya zaidi kama wangeendelea vile
binafsi sijui for sure which way was better....
still UK ni one of top two economy za Europe all the time...

Labda tatizo ni decline ya Europe tu yote kwa ujumla

Una maanisha nini unaposema Uingereza top two economy in Europe?
 
Sidhani kama ni sababu kwanza Uingereza ndiyo moja kati ya nchi zenye kodi ndogo Ulaya, kwa mfano nchi za Skandinavia wanafikia mpaka 68% ya mshahara lkn bado wametoa mabilionea kwenye forbes!
kweli kabisa mkuu
 
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!
mkuu mexico,canada na south korea zina mabilionea wengi kuliko UK lakini UK ana uchumi mkubwa kuliko hizi nchi,sometym kuwa na mabilionea wengi haimaanishi kuwa na uchumi mkubwa
 
Juzi raisi wa China kaenda UK, moja ya mambo yaliyojadiliwa ni China kuijengea uwezo UK kuzaliasha energy kwa nyuklia, pia waliomba China wawaletee teknologia ya treni za mwendo kasi 'bullet trains ' maana kwao wanazo treni za mwendo kasi lakini sio hizi bullet trains ambazo kwa sasa teknologia yake ipo China na Japan tu....wakati wa uingereza taifa kubwa umeshapita sasa
 
Kwa Ulaya peke yake UK na German ndo top biggest economy...miaka yote

Unachanganya mambo Uingereza inaonekena ina Uchumi mkubwa Ulaya kwa maana ya namba 2 kwa sababu ya idadi ya watu na siyo ubora ya uchumi, lkn huwezi kulinganisha economic perfomance ya nchi kama Uswisi na Uingereza au Norway na Uingereza!

Ni kama vile useme Nigeria ni tajiri klk AK kwa kuwa tu Nigeria ina Uchumi mkubwa klk AK, lkn Nigeria ina watu zaidi ya milioni 200 wakati AK kama milioni 50 tu lkn unapokuja kwenye efficiency ya uchumi Nigeria iko nyuma sana!
 
Barbarosa mihemuko yako ya kisiasa inakupeleka kubaya. Waulize wabunge wako wanapata wapi pesa za kuendesha bunge kama hawapati over 40% toka UK? Ulizia kati ya nchi zinazofadhii ustawi wa nchi hii nani anaongoza? You joined the 46 group without getting a seminar of what to talk on the shaw! This is a shaw combining or aspects. Jiandae na data ujue unaenda kucheza je. UN nani mfadhli mkuu kwenye miradi je ni Tanzania? Sisi ni wapokeaji. Hata dawa za chanjo mpaka tulipiwe na hao unaosema hawana uchumi. Kwa nini watu wapo Calais hawataki kubaki France wanataka waingie UK wanajua uchumi na prosperity yao itakuwa kubwa wakienda Uk. You do not to be rich to visit places to learn. Jipange uza hata laptop uende hata for 2 days kama ukibahatisha visa ili uone nchi unayoiponda ikoje. Ukitoka hapo nenda US ucompare and contrast.
 
Minaona nijambo zuri
Kuwa NA watu wachache matajiri huku walio wengi wakiwa hoi ni kutokuwa NA usawa
 
usa walizizidi nchi nyingi sana baada ya watu wao kugundua computer na internet.. hapo ndio source ya matajiri mengi kutoka usa.. maana angalia wengi wao wanamiliki nini utakuta google, amazon, facebook, microsoft, etc yaani mambo ya computer tu wengi wao
 
Unachanganya mambo Uingereza inaonekena ina Uchumi mkubwa Ulaya kwa maana ya namba 2 kwa sababu ya idadi ya watu na siyo ubora ya uchumi, lkn huwezi kulinganisha economic perfomance ya nchi kama Uswisi na Uingereza au Norway na Uingereza!

Ni kama vile useme Nigeria ni tajiri klk AK kwa kuwa tu Nigeria ina Uchumi mkubwa klk AK, lkn Nigeria ina watu zaidi ya milioni 200 wakati AK kama milioni 50 tu lkn unapokuja kwenye efficiency ya uchumi Nigeria iko nyuma sana!
Wewe unachekesha.
 
Barbarosa mihemuko yako ya kisiasa inakupeleka kubaya. Waulize wabunge wako wanapata wapi pesa za kuendesha bunge kama hawapati over 40% toka UK? Ulizia kati ya nchi zinazofadhii ustawi wa nchi hii nani anaongoza? You joined the 46 group without getting a seminar of what to talk on the shaw! This is a shaw combining or aspects. Jiandae na data ujue unaenda kucheza je. UN nani mfadhli mkuu kwenye miradi je ni Tanzania? Sisi ni wapokeaji. Hata dawa za chanjo mpaka tulipiwe na hao unaosema hawana uchumi. Kwa nini watu wapo Calais hawataki kubaki France wanataka waingie UK wanajua uchumi na prosperity yao itakuwa kubwa wakienda Uk. You do not to be rich to visit places to learn. Jipange uza hata laptop uende hata for 2 days kama ukibahatisha visa ili uone nchi unayoiponda ikoje. Ukitoka hapo nenda US ucompare and contrast.
Huyo jamaa ni mropokaji tu.
 
Kiukweli Wingereza kashuka sana mimi naamini Mzungu pure hana akili sana kumzidi africans au race zingine kama tulivyoaminishwa. Blacks and jewish are gifted people. Aliko Dangote namuona hamsini na ngapi vile?????
 
inategemeana na maoni tu
kuna wengine ndo wanaona 'ameiokoa'
wangekuwa na hali mbaya zaidi kama wangeendelea vile
binafsi sijui for sure which way was better....
still UK ni one of top two economy za Europe all the time...

Labda tatizo ni decline ya Europe tu yote kwa ujumla

Uchumi wa Uingereza unazidi kudidimia na Bric economies zinazidi kuchanua.

Hadi Brazil wamewapita kwa kuwa na uchumi mkubwa.
 
You cant be serious, yani UK ndio iwe kodi ndogo kwa europe????? Nooooooo!!!!!!
Kuna nchi inaitwa Malta, kuna jamaa yangu anapiga kazi pale, kodi anayokatwa ni 28% while in UK alikua anakatwa 42%!!! In the same salary!!!
Tanganyika na Zanziba kodi zinatofautiana hvyo usishangae UK na Malta jishangae nchi yako ina majimbo mawili na tofauti ya kodi.
 
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!

waingereza hawabahatishi, mambo yao yanakwenda kama mzunguko wa saa...ikianza moja lazima ifuate 2 n.k...kwa taarifa yako Malkia Elizabeth anaweza kuwa tajiri namba moja duniani lakini huwa hajitangazi..anakisiwa kuwa na pesa inayoweza kumaliza umasikini duniani mara 13....marekani pia wapo matajiri ambao hawamo kwenye orodha ya matajiri 100 duniani lakini wana pesa ya kutisha, mfano Rocfellers family hawa ndiyo wanadhiti uchumi wa dunia
 
Back
Top Bottom