Uingereza kweli Choka mbaya 1-100 hakuna Bilionea!

Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!

Bitch-made bullshit.
 
Sio capitalists systems zote ziko sawa that goes with political view points za nchi; Uingereza/UK kampuni ikifika 20% ya market share 'Competition and Market Authority' lazima wakupigie hodi kulikoni na wanaanza kuangalia matendo yako. Wao wanaamini sana kwenye dhana ya wazalishaji wengi kwa sababu ya faida za ushindani na maslahi ya mlaji ukizidisha share fulani utalazimishwa kuvunja kampuni au kutokukuwa tena labda kama una product advantage kama Microsoft na hakuna mpinzani.

Kuna tofauti kubwa sana na Marekani ambako mabillionaire wengi bado wana practice za 19th century zilizowapa utajiri watu kama akina Rockefeller kutokana na ukubwa wa soko. Mtu anaweza ku-undercut businesses, au anamiliki other complementary services zinazompa advantage sokoni ya bei and so forth upuuzi huo uingereza awataki kusikia kabisa; lakini kwa Marekani hayo bado yanawezekana na ndio maana siasa zao pia wafanyabiashara wanahusika sana kwenye kuchangia campaigns kwa sababu za kuweka influence zao za kibiashara.
 
Weka Marekani pembeni vipi kuhusu nchi za Ulaya Magharibi ambazo ina mfumo kama huwo ulioulelezea wa Uingereza tena unaobana zaidi nchi kama vile Ujerumani, Sweden, Ufaransa, Uswisi hizi zote zimezalisha mabilonea kibao na tena zina social welfare nzuri klk Uingereza, kodi Sweden ni mpaka 68% ya mshahara, nchi kama Ufaransa watun wanafanya kazi masaa 35 tu kwa wiki wakati Uingereza mpak 60 lkn bado wanazalisha mabilionea kibao klk Uingereza!

Hivyo hiyo kwa Uingereza siyo sababu bali sababu ni kwamba wamechoka tu na kinachowaweka juu ya maji ni City of london financial center basi labda na makoloni yaliyojaa watu wajinga kama sisi huku Afrika ambapo mpaka leo hii hata kushona joho la spika bado tunapeleka Uingereza au Kenya wanapeleka kusahihisha mitihani Uingereza lkn vinginevyo Uingereza hamna kitu tena!
 
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!
Unaachaje kutaja Uchina Na we hewa tuu
 
Mgawanyo wa Mali uingereza ni mzuri, kwa hiyo matajiri kule ni wengi lakini ni wa wastani
...nimekuelewa;sio wengine wanatupa burger, wengine wanalala njaa, na USA ndio walivyo mwenye nacho anacho,na asie nacho kweli hana.!!
 
Kwani Richard Branson mmiliki wa Virgin Group ni raia wa nchi gani kama sio Uingereza????
1456991786241.jpg
 
Ktk Ile list mkwere sijamuona, Sina Imani nayo kabisa. Yule kenge akosekane kweli?
 
Hii nchi hata huwa nashangaa iliwezaje kututawala na baadhi ya nchi nyingine Duniani, kwa maana mimi nawaona kama choka mbaya tu nimeangalia orodha ya forbes mabilionea mpaka namba 100 sijaona wa ktk Uingereza hata mmoja, sasa hizo Mali walizokuwa wanaiba kwetu wamepeleka wapi? Au Malikia kachukuwa zote halafu akaunti yake haimo kwenye orodha za forbes!

Kwa maana nchi zote tajiri na zenye uchumi wa uhakika zimo kwenye orodha ya mabilionea lkn Uingereza haimo, halafu ndiyo huko tunaiga kila kitu, kweli sisi tutabakia kuwa masikini miaka yote badala ya kuiga manchi ya ukweli na yenye Uchumi ulikomaa kama USA, Ujapani, Ujerumani, Kanada, Korea, Ufaransa tumekazana kuiga London, ndiyo maana hatutoki!

Imefikia wakati sasa tulidump hili linchi na kuangalia nchi nyingine ambazo ziko vizuri na zenye uchumi uliokomaa na kuwaiga haya mambo ya sijui commonwealth mara sijui madola upuuuzi gani hayatatufikisha kokote, kuna nchi kibao hazina huu upuuzi wa na ziko juu!
Aidha una chuki na hio nchi au ni kipofu! Angalia namba 58,60,68

The World's Billionaires
 
Ndio maana wabeba maboksi wa UK unaona mtu amekaa huko miaka 10 akirudi hana hata moja,choka mbaya na maisha ya kawaida tu sana.
 
KISWAHILI BHANA, NENDA, URUSI KIRUSI UJERUMANI KIJERU TENA UJIFUNZI LUGHA HIYO NDO USOME, INGILISHI YAKO HUKO HAITAMBULIKI.
WACHINA KWETU WAMEJIFUNZA KISWAHL TUNACHAPA NAO KAZI.
 
Weka Marekani pembeni vipi kuhusu nchi za Ulaya Magharibi ambazo ina mfumo kama huwo ulioulelezea wa Uingereza tena unaobana zaidi nchi kama vile Ujerumani, Sweden, Ufaransa, Uswisi hizi zote zimezalisha mabilonea kibao na tena zina social welfare nzuri klk Uingereza, kodi Sweden ni mpaka 68% ya mshahara, nchi kama Ufaransa watun wanafanya kazi masaa 35 tu kwa wiki wakati Uingereza mpak 60 lkn bado wanazalisha mabilionea kibao klk Uingereza!

Hivyo hiyo kwa Uingereza siyo sababu bali sababu ni kwamba wamechoka tu na kinachowaweka juu ya maji ni City of london financial center basi labda na makoloni yaliyojaa watu wajinga kama sisi huku Afrika ambapo mpaka leo hii hata kushona joho la spika bado tunapeleka Uingereza au Kenya wanapeleka kusahihisha mitihani Uingereza lkn vinginevyo Uingereza hamna kitu tena!
True uchumi wao kwa sasa mchango mkubwa ni service sector na finance ndio inaongoza, lakini pia ata huko kwenye uzalishaji wanazuia sana monopoly wameshavunja taasisi nyingi sana za serikari na binafsi au kuzilazimisha kuruhusu wengine kutumia miundo mbinu yao sana sana kwenye communication.

Halafu awapo sana kwenye production thinking kuna mambo mengi ya wages, laws za kazi, na ushindani ndio maana wabunifu wengi sana awana viwanda hila wanamiliki patent nyingi sana kupitia makampuni na duniani nadhani ndio nchi inayoongoza kwa patent zinazozalisha kwa sasa. Kuna swala lingine la utamaduni being filthy rich is not so much kwao wao zaidi ya kuakikisha life security Richard Branson alishawai kataa mamillion kadhaa kuuza radio yake akaamua kumuachia DJ aliyekuwa maarufu kweny vipindi vyake alipe kwa mkopo na yeye alipoiuza alipata karibu £100m.
 
Watu wengi hawajui historia ya Uingereza kabla ya Magret Thatcher ilikuwaje
kila kitu kilikuwa cha serikali
Magret ndie alie kuwa muasisi wa privatization....duniani.....
hivyo waingereza nao hawana tofauti na sisi kwa kutegemea saana serikali...
 
Huyo mama ndiye aliua Uingereza, leo hii hamna kitu kabisa, imebakia kutegemea ujinga wa akina siye makoloni tu na city of London basi!
 
inategemeana na maoni tu
kuna wengine ndo wanaona 'ameiokoa'
wangekuwa na hali mbaya zaidi kama wangeendelea vile
binafsi sijui for sure which way was better....
still UK ni one of top two economy za Europe all the time...

Labda tatizo ni decline ya Europe tu yote kwa ujumla
 
Uingereza ni kisiwa kidogo, chenye rasilimali finyu, na ushindani wa Muungano wao wa Great Brittain(wales, England, Scotland na North Ireland).Fursa zimeisha Uingereza kwahiyo mitaji mikubwa ya uwekezaji ilihama toka zamani. Marekani ni ya tatu kwa ukubwa na ina fursa nyingi za kufanya ndo maana matajili wengi wana toka huko.Canada, Urusi, China, Mexico, Brazil hizi ni nchi kubwa kiaridhi, kubwa kidadi za watu, pia zina fursa nyingi kwahiyo ni rahisi kutengeneza matajiri. Wanachojivunia uingereza ni population welfare zipo vizuri, hawatengenezi matajili kwahiyo usawa wa kimaisha upo vizuri.
 
Mtoa mada kaongopa. Kuna waingereza kadhaa ndani ya top 100 lakini bado amekomaa. Atakuwa ana lake jambo, inawezekana walimdeport huko nyuma.
 
ushajiuriza kwa nini umoja wa ulaya hawataki muingereza ajitoe? usiwe na akili finyu sehemu yeyote inayozalisha matajiri wengi ndipo kuna unyonyaji mkubwa sana jambo hilo limeanza kutokea china
 
Back
Top Bottom