Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Vita ya chini ni ngumu sana especially pale ambapo askari wengi hawana morale ya kupigana kwa kuwa hawaelewi hata sababu ya wao kuingizwa vitani

Russia yeye abaki tu kwenye long range missiles. Huko ground anachezea kipondo
Ndo akome
 
Unajua CIA wamepiga kambi Ukraine toka lini?
Putin anafahamu fika kwamba ukraine anasaidiwa.

Mpaka wewe mtanzania umejua kuwa CIA wwmepiga kambi ukraine unadhani putin hajajua bado kwa sababu ana intelijensia hafifu kuliko yako ?

Putin kafanyaje baada ya kujua kwwmba CIA katia kambi muda mrefu hapo ?

Putin aliwahi kusema kwwmba taifa lolote litakalojaribu kuisaidia ukraine basi anawaburuza

,kwa maana alisema hivyo Akijua fika kwwmba anao iwezo wa kumpiga yoyote atakayemsaidia ukraine awe atakayekuwa.

Lakini siku zinavyoenda Tunaona kwwmba kuna mataifa kwa uwazi yamemsaidia ukraine silaha.

Mbona putin hajapeleka kipigo kwa mataifa hayo kama ambavyo aliahidi na kutuaminisha mwanzo ?

Tupo ambao hatuna ushabiki na hii vita.
Wengi mnaiangalia hii vita kishabiki sana!
Mkuu wewe ndio unaiangalia hii vita kishabiki kwa sababu zifuatazo.

1.kuwepo kwa CIA ukraine lazima putin atajua tu kama ambavyo wewe umejua.

Lakini pia ina maana huo msaada wanaoutoa hao CIA ndio unamkwamisha putin kwa unavyoona ?

Putin akawamba kwenye hii vita kwa sababu kuna CIA hapo ukraine ?

Au putin bado anaendelea kuupiga mwingi bila kujali uwepo wa CIA hapo ukraine ?

Kama ukisema kwamba putin anaendelea kuupiga mwingi bila kujali uwepo wa CIA BASI swali langu ni KWA NINI SASA ULETE HOJA YA KUWEPO CIA WAKATI HAWAMKWAMISHI CHWA CHOCHOTE NDUGU PUTIN ?
 
KUWEKA KUMBUKUMBU SAWA

Kombola lililoizamisha Meli ya Kivita ya Urusi,Moskva sio Msaada wa Nchi yoyote ile kwa Ukraine. Kombola Hilo linaitwa "NEPTUNE ANTI-SHIP MISSILE SYSTEM". Kombola hili Ni MADE in UKRAINE na lilifanyiwa FINAL TEST mwaka 2021.

Kwahiyo lengo la DEMILLITIZATION OF UKRAINE la Urusi halijatimia kwasababu Kama Bado Ukraine ina ANTI-SHIP MISSILES Bado yupo Gado.

Udhaifu wa Neptune ANTI-SHIP MISSILES Ni Low Range (Only 15Km) kwahiyo Urusi imesogeza Meli zake Umbali wa 60Km kutoka bandari ya Odesa.

Kama Ukraine akipenyezewa LONG RANGE ANTI-SHIP MISSILES Kama LMC za Marekani zenye Range ya 500 Miles (800Km) Basi Meli zote za Urusi ndani ya Black Sea zitakuwa Within the Range,Kwa Usalama,Urusi atalazimika kuziondoa black Sea kwa Sasa. Hata Kuziondoa itakuwa Shida kwasababu Tangu Machi 7 Uturuki alishafunga Mlango bahari wa Kuingia Black Sea.
Ndo akome America, perekeni izo long range missiles ili jamaa akome
 
WaTaz bana! Yani Ukraine anavozidi kuchakazwa,Nchi nzima idadi ya magofu ya kale yakizidi kuongezeka, idadi yawanaikimbia nchi ikiongezeka nk nk uku maelfu ya Wanajeshi wake wakisalimu amri kwa majeshi ya Russia alafu anakuja mTZ anasema Urusi anachakazwa dah! Kuzamishwa kwa meli ni kitu cha kawaida ukiwa vitani... Na ikumbukwe Ukraine sio Irak wala Syria au Libya Ukraine inakila Teknoloji aliyonayo Mrusi... Anatengeneza makombora yake mwenyewe, anatengeneza ndege tena za kisasa mwenyewe nk nk... Kombora lililozamisha Moskova ni Neptune anti ship missile lililotengenezwa na Ukraine yenyewe lina kwenda umbali wa 300KM sawa na la Iran au C802 ambalo Hezbollah walimgonga nalo melivita ya Israel 2006... Kilichotokea kwenye Moskova ilikua imepaki na radar zote zikiwa off ivo isingeweza kujilinda na kumbuka Moskova ilikua na silaha nyingi ndani hivo secondary explosion caused by ammunition au silaha ambazo ilikua Nazi ndo chanzo cha kuzama maana baada ya kulipukiwa na Neptune haikuzama Russia waliikokota hiyo Moskova lakini kulingana na milipuko ya silaha zake yenyewe ilizama baharini ikiwa inapelekwa Russia... Hii Vita Russia hapigani pekee ake anapigana na US na NATO na nchi kadhaa lakini bado atashinda... RUssia anajipanga na anapeleka majeshi yake aneo jingine lengo ni kuigawa Ukraine same scenario ya Korea tutegemee East Ukraine Pro Russia na West Ukraine Pro Western countries.. Ukraine itachoka muda sio mrefu ata angekua US pekeake bado angepata shida kwa nchi km Ukraine... US/NATO zimekaa miaka mingapi Afghanistan?
ATA hueleweki kwahyo Russia akijipanga Ukrein wanalala, na iyo meli eti ilikuwa imepaki rada zilikuwa off,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na hivyo vimeli vingine wavipaki sasa
 
Silaha gani tena wakati sasa kilichobaki kwa dikteta Putin tunaona ni nyuklia tu ndio anayoiongelea.

Ameshasukumwa hadi kwenye kona na ameishiwa kabisa mbinu na hamna tena silaha aliyobakiza tofauti na nyuklia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akome Marekani na UK kupitia Ukrein wamemuweza huyo mjinga
 
Putin anafahamu fika kwamba ukraine anasaidiwa.

Mpaka wewe mtanzania umejua kuwa CIA wwmepiga kambi ukraine unadhani putin hajajua bado kwa sababu ana intelijensia hafifu kuliko yako ?

Putin kafanyaje baada ya kujua kwwmba CIA katia kambi muda mrefu hapo ?

Putin aliwahi kusema kwwmba taifa lolote litakalojaribu kuisaidia ukraine basi anawaburuza

,kwa maana alisema hivyo Akijua fika kwwmba anao iwezo wa kumpiga yoyote atakayemsaidia ukraine awe atakayekuwa.

Lakini siku zinavyoenda Tunaona kwwmba kuna mataifa kwa uwazi yamemsaidia ukraine silaha.

Mbona putin hajapeleka kipigo kwa mataifa hayo kama ambavyo aliahidi na kutuaminisha mwanzo ?

Tupo ambao hatuna ushabiki na hii vita.

Mkuu wewe ndio unaiangalia hii vita kishabiki kwa sababu zifuatazo.

1.kuwepo kwa CIA ukraine lazima putin atajua tu kama ambavyo wewe umejua.

Lakini pia ina maana huo msaada wanaoutoa hao CIA ndio unamkwamisha putin kwa unavyoona ?

Putin akawamba kwenye hii vita kwa sababu kuna CIA hapo ukraine ?

Au putin bado anaendelea kuupiga mwingi bila kujali uwepo wa CIA hapo ukraine ?

Kama ukisema kwamba putin anaendelea kuupiga mwingi bila kujali uwepo wa CIA BASI swali langu ni KWA NINI SASA ULETE HOJA YA KUWEPO CIA WAKATI HAWAMKWAMISHI CHWA CHOCHOTE NDUGU PUTIN ?
Shida umeandika as if comment yangu niliiandika kwa Rais Putin. Labda kama ulimaanisha Putin wa kwa Mtogole.
Otherwise Putin alijua kuwa kuna CIA wapo na ilikuwa kwenye vyombo vya habari. So nadhani umeandika information sahihi lakini ambazo zimeelekezwa kwenye wrong comment!
 
Ulimaanisha nini mkuu ulipomuuliza mdau k2wba "Unajua CIA wamepiga kambi Ukraine toka lini?

Mbona ulimuuliza hivyo yule jamaa mkuu ?
 
Mwandishi anaongea as if msaada wa UK ndio umempa wakati mgumu Urusi na sio kweli. Na ndio essence ya swali.
 
WaTaz bana! Yani Ukraine anavozidi kuchakazwa,Nchi nzima idadi ya magofu ya kale yakizidi kuongezeka, idadi yawanaikimbia nchi ikiongezeka nk nk uku maelfu ya Wanajeshi wake wakisalimu amri kwa majeshi ya Russia alafu anakuja mTZ anasema Urusi anachakazwa dah! Kuzamishwa kwa meli ni kitu cha kawaida ukiwa vitani... Na ikumbukwe Ukraine sio Irak wala Syria au Libya Ukraine inakila Teknoloji aliyonayo Mrusi... Anatengeneza makombora yake mwenyewe, anatengeneza ndege tena za kisasa mwenyewe nk nk... Kombora lililozamisha Moskova ni Neptune anti ship missile lililotengenezwa na Ukraine yenyewe lina kwenda umbali wa 300KM sawa na la Iran au C802 ambalo Hezbollah walimgonga nalo melivita ya Israel 2006... Kilichotokea kwenye Moskova ilikua imepaki na radar zote zikiwa off ivo isingeweza kujilinda na kumbuka Moskova ilikua na silaha nyingi ndani hivo secondary explosion caused by ammunition au silaha ambazo ilikua Nazi ndo chanzo cha kuzama maana baada ya kulipukiwa na Neptune haikuzama Russia waliikokota hiyo Moskova lakini kulingana na milipuko ya silaha zake yenyewe ilizama baharini ikiwa inapelekwa Russia... Hii Vita Russia hapigani pekee ake anapigana na US na NATO na nchi kadhaa lakini bado atashinda... RUssia anajipanga na anapeleka majeshi yake aneo jingine lengo ni kuigawa Ukraine same scenario ya Korea tutegemee East Ukraine Pro Russia na West Ukraine Pro Western countries.. Ukraine itachoka muda sio mrefu ata angekua US pekeake bado angepata shida kwa nchi km Ukraine... US/NATO zimekaa miaka mingapi Afghanistan?
Humu wanatoa nyuzi za kujifariji sana[emoji1787][emoji1787], yaani nikiangalia huko tweeter alaf nikienda telegram kujionea hali halisi ilivyo thn nikija humu nikisoma nyuzi zao eti Ukrain kashinda huwaga nacheka sana, yaani mpaka Urusi kuekewa vikwazo aina vyote kila siku, Rais wao kingwendu kukimbia nchi kusikojulikana, askari wa Ukraine kila siku wanajisalimisha maelfu, baadhi ya majimbo kujitangazia uhuru wao kujitenga na Ukraine, mamilioni ya raia kuwa wakimbizi, Usiku mchana mashambulizi alafu inatokea ng'ombe humu inadai eti Ukraine kashinda [emoji1787][emoji23][emoji23], Putin katoa kichapo mpaka kafanya watu mazezeta humu jf
 
WaTaz bana! Yani Ukraine anavozidi kuchakazwa,Nchi nzima idadi ya magofu ya kale yakizidi kuongezeka, idadi yawanaikimbia nchi ikiongezeka nk nk uku maelfu ya Wanajeshi wake wakisalimu amri kwa majeshi ya Russia alafu anakuja mTZ anasema Urusi anachakazwa dah! Kuzamishwa kwa meli ni kitu cha kawaida ukiwa vitani... Na ikumbukwe Ukraine sio Irak wala Syria au Libya Ukraine inakila Teknoloji aliyonayo Mrusi... Anatengeneza makombora yake mwenyewe, anatengeneza ndege tena za kisasa mwenyewe nk nk... Kombora lililozamisha Moskova ni Neptune anti ship missile lililotengenezwa na Ukraine yenyewe lina kwenda umbali wa 300KM sawa na la Iran au C802 ambalo Hezbollah walimgonga nalo melivita ya Israel 2006... Kilichotokea kwenye Moskova ilikua imepaki na radar zote zikiwa off ivo isingeweza kujilinda na kumbuka Moskova ilikua na silaha nyingi ndani hivo secondary explosion caused by ammunition au silaha ambazo ilikua Nazi ndo chanzo cha kuzama maana baada ya kulipukiwa na Neptune haikuzama Russia waliikokota hiyo Moskova lakini kulingana na milipuko ya silaha zake yenyewe ilizama baharini ikiwa inapelekwa Russia... Hii Vita Russia hapigani pekee ake anapigana na US na NATO na nchi kadhaa lakini bado atashinda... RUssia anajipanga na anapeleka majeshi yake aneo jingine lengo ni kuigawa Ukraine same scenario ya Korea tutegemee East Ukraine Pro Russia na West Ukraine Pro Western countries.. Ukraine itachoka muda sio mrefu ata angekua US pekeake bado angepata shida kwa nchi km Ukraine... US/NATO zimekaa miaka mingapi Afghanistan?
Comments ndefu kama hizi unatakiwa uwe unamtetea Ukraine.
 
Urusi ni Kanyaboya[emoji38]
JamiiForums-1228594613.jpg
 
Utetezi dhaifu sana huu bora ungepita kimyakimya.
 
Back
Top Bottom