Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
Yaani haukuwa mfwatiliaji.serious na nini sasa mkuu""
Yaani haukuwa mfwatiliaji.serious na nini sasa mkuu""
jamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,mkuu lucas mobutu
mm n kijana ila ktk simu yangu nyimbo zangu 90%, n za Franco, aisee Jamaa alikuwa na nyimbo tamu wazee wananishangaa Mimi kijana napendaje nyimbo zao? kiukweli nilizipenda nyimbo za Franco kupitia radio moja ya Kenya iitwayo citizen walikuwa wana zitafsir nilizpenda kweli kweli
Franco alikuwa rafiki wa Mobutu lkn walikuwa wanakosana na kupatana
pia kuna kisa kimoja mwaka 1973 Franco na mdg wake walikuwa wanagombnia demu sasa mdg wa Franco akaamua kusafiri na huyo demu ktk gari mdg wa franco akaamua kuangusha gari maksud ili wafe wote lkn huyo demu alivunjka mguu ila Jamaa akafariki
Franco alipata ukimwi miaka ya 1980's na hawara yake alikuwa mwanamuzk ktk bendi ya okk jazz alieitwa mpongo love
Franco alikuwa anamiliki majumba hko Belgium na France
baada ya kutunga wimbo wa kumpamba Mobutu,Franco alipewa malori 6 kama zawadi
pia Mobutu alikuwa na vituko aliwahi chukua waganga wa kienyeji nchi nzma akasafiri nao na timu ya taifa ili ishinde lkn timu hiyo ilifungwa 7_0
baadhi ya nyimbo za Franco ni
matata ya mwasi
naloba nini
fabrice
Mario
mamuu
muongo na mulozo
cooperation
lisolo ya nzambe na adamu
fc Gabon
colonel bangala
republique du Zaire
azda
masuu
muya
liberte
arzon
1200 leters
kimpa kisangameni
ngungi
attention na sida
Franco alikuwa na albamu 150, na single 1200
aaahggggh kama ndiye huyo basiiii nimeshamjua ila nilikuwaga sijui kama ndiye Franco....basiiii jamaa alikuwa ni talent sanajamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
mkuu lucas mobutu
mm n kijana ila ktk simu yangu nyimbo zangu 90%, n za Franco, aisee Jamaa alikuwa na nyimbo tamu wazee wananishangaa Mimi kijana napendaje nyimbo zao? kiukweli nilizipenda nyimbo za Franco kupitia radio moja ya Kenya iitwayo citizen walikuwa wana zitafsir nilizpenda kweli kweli
Franco alikuwa rafiki wa Mobutu lkn walikuwa wanakosana na kupatana
pia kuna kisa kimoja mwaka 1973 Franco na mdg wake walikuwa wanagombnia demu sasa mdg wa Franco akaamua kusafiri na huyo demu ktk gari mdg wa franco akaamua kuangusha gari maksud ili wafe wote lkn huyo demu alivunjka mguu ila Jamaa akafariki
Franco alipata ukimwi miaka ya 1980's na hawara yake alikuwa mwanamuzk ktk bendi ya okk jazz alieitwa mpongo love
Franco alikuwa anamiliki majumba hko Belgium na France
baada ya kutunga wimbo wa kumpamba Mobutu,Franco alipewa malori 6 kama zawadi
pia Mobutu alikuwa na vituko aliwahi chukua waganga wa kienyeji nchi nzma akasafiri nao na timu ya taifa ili ishinde lkn timu hiyo ilifungwa 7_0
baadhi ya nyimbo za Franco ni
matata ya mwasi
naloba nini
fabrice
Mario
mamuu
muongo na mulozo
cooperation
lisolo ya nzambe na adamu
fc Gabon
colonel bangala
republique du Zaire
azda
masuu
muya
liberte
arzon
1200 leters
kimpa kisangameni
ngungi
attention na sida
Franco alikuwa na albamu 150, na single 1200
labda umesahau,hebu fwatilia historia ya mpongo love,mwaka 1977 Franco alimsajili mpongo ktk band alikaa miaka miwili okk jazz,hata wimbo wake "ndaya"aliutunga kwa msaada wa Franco,hebu fwatiliaFranco hajawahi kutembea na M'pongo Love na isitoshe M'pongo Lov hajawahi kuimbia bendi ya OK Jazz hata siku moja. Franco aliambukizwa ukimwi na demu wake anayetoka nchi ya Haiti, Franco kwa asilimia kubwa sana katika miaka ya 80 kati mpaka kifo chake alikuwa anaishi Ubelgiji.
nyimbo zingine za Franco naaahggggh kama ndiye huyo basiiii nimeshamjua ila nilikuwaga sijui kama ndiye Franco....basiiii jamaa alikuwa ni talent sana
hahaha Franco alifanya hivyo kwa lengo LA kumchuna hela MobutuCandida na mobiso acha kabisaa.. Mobutu kamwagiwa misifa...kama mbwa vile ukimshika kichwa kwa kumkuna anavyotikisa mkia..
wimbo azda awali ulikuwa tangazo LA biashara ambalo kampuni ya kuuza magari ya voxwagen waliipa OK jazz tenda ya tangazojamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
Sante mkuu nitasimulia vzazi vyanguWakuu habarini za muda huu,
View attachment 717548
View attachment 717549
Zimeanzishwa thread nyingi kuhusu Franco na Mobutu, historia ya Mobutu imeelezwa na ya Franco pia, leo naleta historia ya uhusiano wa watu hawa wenye majina makubwa Africa na ulimwenguni, mwanasiasa na gwiji la muziki.
View attachment 717532
View attachment 717529
KUNYONGWA KWA KINA EVARISTE KIMBA
Mnamo mwaka 1965 Mobutu anakua rais wa Zaire na kuagiza kunyongwa kwa watu zaidi ya 6 wengi wao wakiwa mawaziri wa serikali aliyoipindua katika eneo la matonge jijini Leopold Ville (Kinshasa) kwa kosa la uhaini, mamilioni ya watu wanashuhudia hadharani, mmoja wao ni Franco, baada ya hapo Franco akatunga nyimbo iitwayo Luvumbu Ndoki (Luvumbu mchawi) hii ni hadithi ya kikongo kuhusu Mfalme Luvumbu aliyeuwa ndugu zake wa karibu kwa ajili ya kujinufaisha.
Nyimbo hii inaonekana na mamlaka kama dhihaka kwa mobutu kutokana na kitendo chake cha kunyonga mawazili wale Franco anakamatwa na kuachiwa alafu anakimbilia Brazaville kwa miezi 6 mpaka pale mambo yalipokuwa shwari.
AUNTHENTICATION POLICY (Zairenisation)
Mnamo mwaka 1971 mobutu anabadili jina la Congo kuwa Zaire, sarafu kua Zaire, pamoja na miji kuitwa majina ya kiafrika, Leopoldville inakua Kinshasa, Elizabeth Ville inakua Kisangani na kadhalika, kutokana na sera ya uafrika mpaka majina ya watu yanabadilishwa.
Bendi ya Franco, Tp Ok jazz inaandamana na mobutu nchi nzima kueneza sera ya mobutu na kutoa album iitwayo belela unthenticite na congress ya mpira.
MALIPO YA KAZI
Mobutu anampa Franco eneo la ardhi pale Kinshasa, Franco anajenga night club iliyoitwa un Deux trois, pia Mobutu baada ya kubinafsisha kampuni za kigeni anampa Franco kampuni ya muziki iitwayo mazadi.
JACKY NA HELEINE(nyimbo za Franco)
Franco añatoa nyimbo mbili Jacky na heleine ambazo serikali iliziona hazina maadili na kumpa Franco kifungo cha miezi 6 jela, na bar yake kufungwa miezi 2, alivobisha kua hazina maadili mama yake alisikilizishwa, yote haya yalifanywa na Kengo wa Dondo aliyekua attorney general.
Mobutu anamtoa jela Franco baada ya week 3 na kumshusha cheo Kengo wa Dondo kua balozi wa Zaire nchini Ubelgiji, Franco anaimba nyimbo ya kumponda Kengo iitwayo trailleur (anasema fundi nguo akikinyanganya sindano utawachomaje watu? Yaani kengo kaporwa madaraka na Mobutu)
Franco anaimba lettre a mr le directeur general (barua kwa director general) nyimbo ambayo añawaponda viongozi wa serikali kwa rushwa na usimamizi mbovu, hii inachukuliwa na wengi kama diss song kwa Mobutu.
Mwka 1984 anaimba nyimbo ya kumsifu Mobutu iliyoitwa Candida na biso, wakati wa uchaguzi ambapo watu walitakiwa kujibu ndio au apana kama wanamtaka Mobutu, hakukua na wapinzani.
Mobutu alifadhili band nyingi kubwa za muziki nchini Zaire, ikiwemo TP OK JAZZ
KIFO CHA FRANCO
Franco anafariki jijini Ubelgiji mwka 1989, Mobutu akiwa Ufaransa ziarani,
Mobutu anatangaza siku 4 za maombolezo na radio zote kupiga nyimbo za Franco tu, mwili wa Franco unapelekwa Palais du people kuagwa
View attachment 717547
Mobutu aliporudi aliitembelea familia ya Franco pamoja na kaburi.
Kwa kiasi kikubwa Mobutu alimtumia Franco katika ku mobilize watu kwenye siasa zake na pia Franco alinufaika sana kwa kuendesha magari ya kifahari kama mercedes benz na kuishi vizuri, kuliko wanamuziki wengi wa Congo na nje ya Congo
Mkuu ,hata mimi ni kijana pia but namuelewa sana franco,,,,afu huyo mdogo ake aliitwa bavon marie,aliacha mtoto mmja ni pàstor,,,ni vema ukizituma humu nyimbo hizo ulizotaja coz ni vigumu kuzipata mtandaoni ,nyingi hapo sizijui,,mkuu lucas mobutu
mm n kijana ila ktk simu yangu nyimbo zangu 90%, n za Franco, aisee Jamaa alikuwa na nyimbo tamu wazee wananishangaa Mimi kijana napendaje nyimbo zao? kiukweli nilizipenda nyimbo za Franco kupitia radio moja ya Kenya iitwayo citizen walikuwa wana zitafsir nilizpenda kweli kweli
Franco alikuwa rafiki wa Mobutu lkn walikuwa wanakosana na kupatana
pia kuna kisa kimoja mwaka 1973 Franco na mdg wake walikuwa wanagombnia demu sasa mdg wa Franco akaamua kusafiri na huyo demu ktk gari mdg wa franco akaamua kuangusha gari maksud ili wafe wote lkn huyo demu alivunjka mguu ila Jamaa akafariki
Franco alipata ukimwi miaka ya 1980's na hawara yake alikuwa mwanamuzk ktk bendi ya okk jazz alieitwa mpongo love
Franco alikuwa anamiliki majumba hko Belgium na France
baada ya kutunga wimbo wa kumpamba Mobutu,Franco alipewa malori 6 kama zawadi
pia Mobutu alikuwa na vituko aliwahi chukua waganga wa kienyeji nchi nzma akasafiri nao na timu ya taifa ili ishinde lkn timu hiyo ilifungwa 7_0
baadhi ya nyimbo za Franco ni
matata ya mwasi
naloba nini
fabrice
Mario
mamuu
muongo na mulozo
cooperation
lisolo ya nzambe na adamu
fc Gabon
colonel bangala
republique du Zaire
azda
masuu
muya
liberte
arzon
1200 leters
kimpa kisangameni
ngungi
attention na sida
Franco alikuwa na albamu 150, na single 1200
Franco huwezi mjua kama husikilizi nyimbo za kikongo,hao wengine tunawajua sababu ni wanasiasa mkuu,daaahhhh Franco mbona kama alikuwa ana ng'ata nakupuliza hivi ""
ila mimi sijawahi kumjua huyo Jamaa kabisaaaa ...sijui kwaajili ya utoto enzi hizo...lakini mbona nawajua watu kama kina "" Thomas ..Sankara .Mobutu mwenyewe ''na kina Thom mboya''' huyo ilikuwaje mpka nikashindwa kumfahamu huyo Franco ""!!?
Pole sana mkuuNyimbozake Marehem Mama yangu alikuwa anazipenda sana enzi hizo dah nimekumbuka sana aisee
Mkuu,nimejalibu kutuma zinagoma,Hainogi kama hutatupia picha za gwiji Yule Franco!!!
Haswa,hajawahi tokea mwanamuziki ka yeyeMimi pamoja na udogo wangu lakini niliposikia nyibo zake nikazipenda hadi leo ninazo liveshow zake....alijaaliwa kipaji haswa.
Ahsante kwa maarifa mkuujamaa alkuwa noma sana,amefariki kabla sijazaliwa lkn kazi zake baadhi nazijua,
Azda ni jina la mfanyabiashara mkubwa Congo enzi hizo jamaa alimtungia wimbo ,alkuwa anauza magari ndio maana kweny huo wimbo unasikia anasema Vewe Vewe Vewe maana yake ni VW VW VW ( Volkswagen)
mkuu ..huniambii kitu ..kuhusu yondo sister'' pepe kale"" kanda bongo man "" bileku mupasi "" na ile album ya muungano wote wa soul stars""Franco huwezi mjua kama husikilizi nyimbo za kikongo,hao wengine tunawajua sababu ni wanasiasa mkuu,
Hawa ni generation ya baada ya franco,enzi zake alikua na upinzani na tabu ley,mkuu ..huniambii kitu ..kuhusu yondo sister'' pepe kale"" kanda bongo man "" bileku mupasi "" na ile album ya muungano wote wa soul stars""
naipenda mnooo nyimbo ya hidaya"" ukitaka nisitike kwenye radio ni pigie old school zote za nyimbo za Congo "" zoote yaaani ""
okay ...tabu ley huyo nimeshawahi kumsikia ""Hawa ni generation ya baada ya franco,enzi zake alikua na upinzani na tabu ley,