Uhusiano wa Franco na Mobutu

Mabutu hakuleta maendeleo Congo, yeye alichofanya ni kuua Maendeleo
Mkuu fatilia historia vizuri kwa wacongo watakwambia,,,pia soma articles

Jamaa mwanzoni mwa utawala wake madini ya congo yalikua na thamani kama vile diamond na copper

Wazungu waliwekeza pale congo nchi ikapata pesa,,marekani ilichmba madini ya silaha pale

Pia alipata misaada,,,nenda hata kinshasa uone mjengo aliyojenga,unajua zaire walikua na trading tower kama zile twin towers za marekani ?

Alijenga inga hydroerectric ,hii ina uwezo wa kuzalisha umeme wa afriça nzima sema tu saivi miundombinu imechoka

Alijenga hospitali ya kisasa pale kinshasa,alijenga gbadolite shule ya kisasa yenye mpaka computer lab wakati ule

Alitoa mikopo ya chuo kikuu kwa wanafunxi wote bure(sisi tz hili mpaka leo hatuwezi)

Alijenga recreation centers kuna sehemu inaitwa nsele ,kuna ma swimming poor na kadhalika watu waka enjoy,

Alifanya mengi
 
kaburi la mama yake mobutu,,liliandikwa kwa maandishi ya dhahabu,,baadà ya kupinduliwa wanajeshi walifika hapa ili kuiba mali,

Wakafyatua risasi kwenye kabuli la kaka yake mobutu ili kulibomoa wachukue dhahabu na madini mengine aliyozikwa nayo,risasi ilimrudia aliyefyatua ikamuingia kifuani,wenzie wakakimbia
 
duhh
 
WASIOMJUA MPONG'O LOVE (NDAYA). ALIKUWA KISU, FRANCO HAKUWA WA MCHEZO MCHEZO. ALIAMUA KUCHAGUA ****ALIYENONA HASWAA

 
I see wewe ni mwongo sana. Tabu Ley hakufundishwa muziki na Franco wala hawakuwahi kuimba bendi moja. Tabu Ley alitoka band ya Grand Kalle wakiwa na Dr. Nico Kasanda wakaanzisha African Fiesta. Baadaye walitengana wakigombea hela.

Sanasana Franco na Tabu Ley walitoa album ya zing zong miaka ya 1980.
 
Napenda wimbo wa vewe na azda veweee pia namuona Mobutu kama mvumilivu kwa kiasi flani na mwenye upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…