Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Feb 3, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

  Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

  "Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  Hapo ndipo utakapoiona link ya Kikwete na DOWANS maana hawa Clouds ni maswahiba na Kikwete,..obviously kwa ujasiri huo watakuwa wametumwa na Kikwete....jamaa ni wasaliti wa umma we are praying for their quick downfall,..kwa hiyo habari corporation wamejitanua kibiashara kwa kuiongeza Clouds FM kwenye pool yao
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo mtajua kuna nguvu ya pesa kwa wakina Kibonde, ndo baba lao
   
 4. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Tusali radio yao ife kabisa na watapotea katika anga za habari watz ni weledi kwa sasa, wasipoteze muda, kwanza mimi nilishabadili kabisa sitaki hata kusikia kibonde
   
 5. M

  Mindi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha jinsi neo-conservatives walivyojijenga kule USA, kwa kuandaa think tanks, TV stations, na watu wa kada mbalimbali wanaotetea misimamo yao, na taratibu kuilisha jamii falsafa yao. baada ya jamii kushiba falsafa hiyo ndio wakajiimarisha zaidi na kumweka Bush madarakani na kuendelea na hizo project za Afghanistan na Iraq.

  Rostam Aziz naona anafuata nyayo hizo. kuna taasisi mbalimbali vikiwemo vyombo vya habari na watu maarufu, ambao wanaimba wimbo wa Rostam. kuna wanaofanya hivyo bila kujua, lakini wengi wanafanya kwa sababu ya fedha tu. inaonekana mtanzania ukimpa fedha ya kutosha, anaweza kumsaliti hata mama yake mzazi. hilo Rostam analijua sana. na mbaya zaidi amejikita na kujiimarisha katika utawala wa nchi. atatugharimu sana huyu jamaa.

  lakini sipendi kufikiria kwamba Rostam Aziz ndie pekee shetani wetu. nadhani huyu jamaa ana-represent the physical manifestation of some evil iliyoko katika nchi yetu. hatuwezi kupambana na Rostam moja kwa moja na kufaulu, hiyo ni sawa na kuona kivuli cha jambazi, ukashambulia kivuli hicho. we must attack the evil itself. maana, kwa nini Rostam anafaulu hivyo? kuna mazingira fulani, mbolea fulani iliyopo hapa Tz, ambayo inafanya astawi. bila kuiondoa mbolea hiyo, ataibuka Rostam mwingine, pengine mbaya zaidi ya huyu.
   
 6. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  spoken loud and clear!what a elaboration!and that evil is kikwete and his partners in crime,..
   
 7. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  "....Watangazaji wanaliwa kama ubwabwa..radio imejaa MASHOGA...kibonde anatuka watu ovyo redioni, hatari iliyombeleni wala haoni.., anasambasa ukimwi ovyo mitaani. Ruge bonge la sniich (mtumia/mtumia unga)....eti THT kituo cha kukuza vibaji..mbona sasa mnawala kwanza uroda. kila kitu ohoo Rais kwani Rais ni Rais wa Clouds tuu!!??....dame! ..i wana kill some1 right now..." - SUGU

  YouTube - antivirus song-song of MR. Two a.k.a sugu.wmv
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hata unafiki ni ajira kwa baadhi ya watu hapa mjini
   
 9. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  Clouds Medtia Bendera fuata upepo, wanaangalia wapi sasa upepo unaelekea na wao huko huko na kusahau maadili ya na nature ya kazi yao. wao wapo after cash na ndio maana wakati wa deal ya malaria walimzunguka Joseph Mbilinyi "Sugu" na Deal hiyo ikachukuliwa na January makamba na Ruge mutahaba ambaye ni GM wa Clouds media. Kutoka ndani yao walijitapa kwa kusema mzee "JK" hapindui pale coz hata MP3 za Bongo flava mkuu wa nchi hupelekewa kutoka Clouds!!!

  Rejea nyimbo za kampeni ya Uchaguzi wa uraisi na wabunge, Clouds ndo wali-initiate nyimbo zile kubadilishwa orignal message na kuifagilia Chichiem!!

  Kuna wimbo unaitwa Anti virus Sugu amewachana Live Clouds kwa huo ulimbukeni wao!!
   
 10. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu nilimsikia PJ akisifia rai leo nilishangaa sana......halafu ukifuatilia wakati wa kusoma magazeti utasikia mtanzania,rai,habari leo,majira na uhuru....,hawa jamaa ful wasaliti.......,i hate kibonde anajiona kama mteule wa kuponda watu,then anajiona yuko very right and very critical.
   
 11. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,142
  Likes Received: 869
  Trophy Points: 280
  iyo

  Nimeipenda hiyo!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Joint Venture Media Coverage Rai ni ya Habari Corporation na hiyo radio imekuwa ni wapiga debe wa CCM
   
 13. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  radio kufa haifi,ila wakumbuke kuwa ccm hawatatawala milele hivyo wajihadhari na upeo wa kuona leo badala kesho,
   
 14. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  SIKILIZA HII YA SUGU ALIWAPONDA SANA
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Naipenda hii ngoma ,huwa naisikiliza kila mara kwenye gari yangu hasa nikishajimwagia Kilimanjaro na Kitimoto
   
 16. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tangu Masoud na Fina Mango watoke Clouds imekuwa kituko na jukwaa la kutetea uonevu na serikali iliyoko madarakani. Ni aibu kwa akina PJ, Kibonde, na wenzao kujishusha kiasi hicho kisa pesa!
   
 17. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  yeah, ni bora umeileta hii thread. Inabidi hawa jamaa wajifunze kutokana na matokeo ya muda mfupi tu wa kujipendekeza kwao. Tunajua hawawezi kuwa perfect kila sehemu lakini wanakela mfano suala la Joseph Mbilinyi na kugombea ubunge, si sasa ni muheshimiwa???? Pia suala la kujikomba linakuwa sawa kama mnasimama kwenye haki lakini CCM na Rostam wao hawatutendei haki Watanzania ...hilo clouds walijue! Nahisi Masoud Kipanya yuko juu zaidi na huru baada ya kujiengua clouds. kaa mkijua, your days are also numbered!
   
 18. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hayo mambo yapo bwana. si unaona hata Mubarak amechakachua maandamano ya wanaompinga ili dunia ione kwamba wanaompinga ni vibaka wachache? Uzuri watz wameshajua sasa namna ya kutambua habari ya ukweli na ya kumsafisha mtu
   
 19. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi nimesikia hilo leo nikashangaa hivi kweli Rai ni wachambuzi makini, ni watafiti, sikupata jibu!
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Jamani si muashe kuwasikiliza kama mimi.... na hayo magazeti kwanini mna yanunua....
   
Loading...