Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS

Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS

ndio tatizo la ushoga hilo,radio imejaa mashoga.mwanaume anayependa kuhongwa hongwa kama mwanamke ni sawa na mbwa malaya.mwanaume anayeamua kutumia mlango taka wa nyuma ya mwili wake ili apate hela hata tabia zake zinakuwa za kimbwa mbwa.watangazaji wa clouds ni zaidi ya mashoga.

nadhani wanatamani hata wangekuwa wnatangaza hicho kipindi chao huku wakiwa wamepakatwa na rostam aziz mapajani.
 
Hakika hakuna radio ninayoichukia kama clouds. Kwanza wanapenda kujisifia kupita kiasi.
Na wameshindwa kusoma alama za nyakati kuwa hivi sasa mtu yoyote anayesaport ccm
amelaaniwa duniani hadi ahera. maana ya neno CLOUDS ni - CHIZI LINALOPENDA USHOGA DSM
 
Magic FM na Channel 10 ni mali ya Rostam Aziz na utitili wa hizo FM zina milikiwa na mtandao wa Rostam. Kumbuka ana makampuni 17 ambayo jina lake halipo!!!
 
Kazi ya gazeti la Rai ni kushambulia Watu wanao chafua kundi lao
 
Kuna watu kadahaa siwapendi hapa duniani kutokana na unafiki wao. Wafuatao ni top five
1. Ephraim Kibonde
2. Gerard Hando
3. Paul James (PJ)
4. Babra (wa clouds)
5. Regina Mwalekwa

Hawa nawachukia jinsi wanavyopotosha umma. ILA NAAMINI IO SIKU HISTORIA ITAWAHUKUMU TU WAKUMBUKE REDIO MOJA YA RWANDA ILIVYOSHIRIKI KUANGAMIZA TAIFA, WAO PIA watakuwa sehemu ya watuhumiwa baada ya kuing'oa CCM madarakani. Jamani hebu waelezeni ukweli jinsi tunavyowachukia. OOhooooo

Mkuu GH huwa naona kama hana upande...!!!
Sijui labda sijawa makini naye.... the rest wanatumiwa kuwapa mabosi zao business!!! It's just a matter of time... kitaeleweka na ndo watakapoelewa nguvu ya umma...
 
Hata mimi nimesikia hilo leo nikashangaa hivi kweli Rai ni wachambuzi makini, ni watafiti, sikupata jibu!

Kwangu mimi watangazaji wote nafuu ila KIBONDE ni kama jina lake kwani tangu avamie kipindi cha jahazi anachemka na ndo mana Gadner kasepa! Kibonde hana msimamo kwani nakumbuka wakati suala la katiba mpya limepamba moto alikuwa akiponda sana kuwa watz hawaijui hata iliyopo lakini JK alipokubali mchakato uanze akageuka na kumuunga mkono JK! Jambo lingine ni hotuba ya ovyo kuwahi kutolewa na rais kuhusu wafanyakazi,Kibonde alishambulia wafanyakazi kana kwamba yeye c mfanyakazi bali ni mwajiri ndo nkajua kuwa upstairs hayuko sawa! Nimebaki kusikiliza kipindi cha njia panda na sports round up bas.
 
Kumbe wengi mmewashtukia. Nilidhani peke yangu. Siku hizi nikiwa kwenye gari namwambia mzee marufuku kuwasha clouds nasikia kichefuchefu. They are talking nonsense especially Kibonde. Alafu huwa nasikia sauti kama ya Regina Mwoleka anaendesha kipindi na Kibonde. Ni kweli amehamia clouds? Yaani it is a shame jinsi wanvyojenga hoja ambazo ni so weak na zinaonyesha wazi kuwa wamenunuliwa. Hata wenzao CNN watu wanawatuhumu wako pro US hawaonyeshi wazi hivyo. Kwa kibonde you don't need to go to school to realize he is speaking rubish. Hizi njaa zitatuua. Mbona bado masikini tu pamoja na kuuza uzalendo wao. Radio ambayo iko juu hasa asubuhi ni Passion FM, Namfagilia sana Njenga japo simjuhi. Hana woga. Wewe ngoja ni heri kuwa low profile kuliko kuwa na kiherehere. Future is not certain. Shauri zenu. Uzuri mnawadanganya hao hao CCM wenzenu. watanzania these days hawadanganyiki.


yeah, ni bora umeileta hii thread. Inabidi hawa jamaa wajifunze kutokana na matokeo ya muda mfupi tu wa kujipendekeza kwao. Tunajua hawawezi kuwa perfect kila sehemu lakini wanakela mfano suala la Joseph Mbilinyi na kugombea ubunge, si sasa ni muheshimiwa???? Pia suala la kujikomba linakuwa sawa kama mnasimama kwenye haki lakini CCM na Rostam wao hawatutendei haki Watanzania ...hilo clouds walijue! Nahisi Masoud Kipanya yuko juu zaidi na huru baada ya kujiengua clouds. kaa mkijua, your days are also numbered!
 
Paul James ana elimu ya darasa la 7 asiwasumbue huyo..tuangalie mambo yanayojenga nchi yetu tuachane na wavivu wa fikra!
 
Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

"Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.

hivi clauds efm inashika wap? mi siitambui
 
ukiona mtu anauza utu basi ujue pamoja na uanaume wake anaweza kuolewa vilevile na hao bwana fedha wao.
 
Inavyoelekea nyie Wote mliochangia Thread hii ni Wasikilizaji Maarufu wa Clouds Fm, kwa Jinsi mnavyowajua Watangazaji wake, Vipindi wanavyotangaza na Sifa zao, Msituzuge na Unafiki wenu!
 
jamani kibonde kachoka kifedha,kiakili,na kiafya pia anawatumikia watu ili siku zake za kuishi ziweze kuwa nyingi ila ni hatari watu kama hawa kwani wanapozungumza maneno yao yanasambaa kama moto nyikani naomba watanzania kumpuuza kwani hata IQ yake ni ndogo sana kwa sasa
 
ndio tatizo la ushoga hilo,radio imejaa mashoga.mwanaume anayependa kuhongwa hongwa kama mwanamke ni sawa na mbwa malaya.mwanaume anayeamua kutumia mlango taka wa nyuma ya mwili wake ili apate hela hata tabia zake zinakuwa za kimbwa mbwa.watangazaji wa clouds ni zaidi ya mashoga.

nadhani wanatamani hata wangekuwa wnatangaza hicho kipindi chao huku wakiwa wamepakatwa na rostam aziz mapajani.

Mkuu umetumia maneno makali kuzidi ukali wenyewe, ni busara ungepunguza ukali wa maneno kwani huto onekana great thinker zaidi mtu wa chuki, anyways ni kweli hawa Clauds FM wanaboa na nimepata kuwasikiliza na ukipima wanayoyaongea kwenye programme ya power breakfast ni kama wanatumiwa kwani, kwa ukweli halisi uliopo sasa ni upuuzi kuitetea serikali ya JK na RA ni mmoja wa watu wasio lionea huruma taifa letu!
 
Back
Top Bottom