Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS

Uhusiano wa Clouds FM na Rostam Aziz wa DOWANS

nshasahau kama kuna clouds fm,hakuna tena kipind kinachonivutia,labda sports xtra
 
Kama mtakumbuka before election kipindi cha Power Break fast walimhoji Dr. Slaa pale kwenye apartment za Victoria.
Mahojiano yalikuwa yanaingiliwa na matangazo ya biashara kila baada ya dakika chache.

Some few days later wakaenda kumhoji JK kwenye makazi yake pale ikulu, kwanza crew ikaongezeka to include Ruge (ambaye si mtangazaji) lakini pia mahojiano yaliendelea bila kukatizwa katizwa kama ilivyokuwa kwa Dr. Slaa

Wenye kufikirisha akili zao walijua hawa wameegamia wapi.

Ukiongelea ufahamu wa watangazaji utaona Gerald yuko more rational, Paul James na Kibonde ni wazee wa kujikomba.
Kibonde anatukana tukana tu kana kwamba wanaosikiliza ni watoto wake. Paul James hata sioni kama ana sifa za utangazaji ukiangalia uwezo wake wa kuchambua maswala mbalimbali.

Watangazaji wengi wa Clouds "wanajua" kila kitu iwe siasa, uchumi, diplomasia, biashara kimataifa n.k wakati ni mambumbumbu.

Nimeongela hawa kwa vile programme zao nabahatika kuzisikiliza wakati naelekea au kutoka kazini
 
kiukweli toka SUGU achakachuliwe PROJECT yake ya MALARIA, na nikasikiliza CLOUDS fm, KIBONDE alivyokuwa anamzihaki SUGU kusema ukweli toka siku hiyo niliacha kusikiliza kipindi cha JAHAZI, nikaendelea na kusikiliza POWER BREAKFAST lakini wakati wa kampeni za uchaguzi 2010 ziliposhika kasi, nikaanza kuwakumbuka FINA na MASOUD walivyokijenga kipindi na kinavyochakachuliwa na WACHUMIA TUMBO. Niwe mkweli hivi sasa mimi sisikilizi hiyo redio CLOUDS fm. Nimemkubali SUGU mle ndani ni MASHOGA na MATEJA ndio wanao tulisha habari za kinajisi chini ya MSAMBAZA NGOMA KIBONDE (Hatumnyanyapai bali tunamkemea na kumlaani kwa nini aue watanzania wenzake kwa makusudi)
 
Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

"Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.
Asante Fareed kwa kunote hilo. Mimi Clouds nilianza kuwashtukia toka Ephraem Kibonde alivyovaa shati la ccm kwenye siku ya kuchangisha pesa za kusaidia ccm pale mlimani city. Hawa akina kusaga hawajajua nguvu ya umma. Maandamano yakianza clouds itakuwa ya kwanza kuchomwa moto
 
Kuna watu kadahaa siwapendi hapa duniani kutokana na unafiki wao. Wafuatao ni top five
1. Ephraim Kibonde
2. Gerard Hando
3. Paul James (PJ)
4. Babra (wa clouds)
5. Regina Mwalekwa

Hawa nawachukia jinsi wanavyopotosha umma. ILA NAAMINI IO SIKU HISTORIA ITAWAHUKUMU TU WAKUMBUKE REDIO MOJA YA RWANDA ILIVYOSHIRIKI KUANGAMIZA TAIFA, WAO PIA watakuwa sehemu ya watuhumiwa baada ya kuing'oa CCM madarakani. Jamani hebu waelezeni ukweli jinsi tunavyowachukia. OOhooooo
 
njaa zinawasumbua hao vibaraka at least gerld hando kidogo nadhani ye hawajamchakachua
 
Jamani mwaka mmoja na nusu hivi uliyopita hakuna redio niliyokua naipenda kama clouds FM, gari yangi ilikua na default setting ya 88.4 lakini sasa hivi hakuna kitu kinanikera kama 88.4 hasa muda ule anapoingia huyu mtu anaayehisi kila jambo analijua bwana Efraim Kibonde. Hata kama mtu ni mwelewa vipi sidhani kama unaweza ukawa unajua kila kitu kama Kibonde afu kwa bahati mbaya wakati mwingine anaongealea taaluma za watu tena kwenye chombo cha habari akiwa live hewani na "Aibu kweli jamani"
Kuhusu Rai kusema mgawo ni kwa sababu Tanesco hawakununua mitambo ya Downs sio kweli hata kama tanesco wangenunua dowans leo hii bado tungekua na mgawo kwasababu moja ya tatizo lililopo sasahivi ni kwamba gesi kutoka songosongo ipo kidogo. Visima vya gesi kule kisiwani vinafanyiwa ukarabati hivyo production inatoka kidogo sana kwenye baadhi tu ya visima.
Kitu ambacho kwa sasa hivi kinachoweza kufanyika ili kuondoa mgawo "kwa siku za usoni" ni kufanya juhudi za kuongeza gesi inayofika Dar na kungalia pia kuzalisha umeme kule mtwara au kuleta bomba la gesi kutoka mtwara mpaka dar.
Artumas pamoja na jumuiya ya watu wenye kumiliki migodi mfano Barrick, Geita gold mine na Estrada wale wa Kabanga nickel walitaka kutengeneza mradi mkubwa sana wa kuzalisha umeme kule mtwara wa MW 300 ambao kabisa ungekua leo umemaliza kitendawili cha mgawo wa umeme tanzani lakini Rostam na Team yake walifanya kila waliloweza kuhujumu mradi ule. Walijua kabisa kama mradi ule ungeendelea then mradi wao wa Richmond/downs usingekua na soko. Walipofanikiwa kumtumia Dr. Idrisa Rahidi na kina Ngeleja kuutupilia mbaya ule mradi wakatunga wimbo eti ule mradi ulikua "Frastruted na World Economic crisis". Hata raisi naye hutumia hayo maneno eti Barrick na wenzao walijito kwa sababu ya World economic crisis" Jamani wadau wakati wa crisis did Gold shake? Did the mines close down, did they stop paying high cost in electricity? Mpaka leo hii their production cost ziko juu kwa sababu wanagenerate kwa kutumia mafuta mazito HFO. Tungeweza kuwauzia umeme wakashuka gharama na serikali ikapata kodi na hela za kuagiza mafuta nje zikabaki ndani! Can't we think jamani!
 
Unajua hawa jamaa wana hulka ya kuendekeza umaskini wao, na kujifanya wanajua kila kitu. Mimi huwa siwasikilizi tena, hasira hunitawala hadi huwa natamani niwafuate studioni nikawape hard time kwa ngumi kavu kavu. Niliwahi kugeuza gari wakati wa kampeni, nikakutana na foleni Morocco hasira ikapoa. Lakini wacha tu, siku inakuja!!
 
wanachokoza nguvu ya Umma kwanza wote Hamnazo, kazi kulamba miguu ya Mawazili hasa kidonde alivyokuwa akijipendekeza kwa Masha, waliposema Clouds ni Redio ya Vijana na Mkuu wetu akaitikia sasa wanaitumia kuwaraghai vijana, dunia ya sasa tupo macho huyo Fisadi Rostam aendelee tu kupambana na Mengi kwa kuwapotosha na Kuwaaamisha watangazaji kwenda Clouds au TBC1, angalia kazi ya RA ndio iliyomtoa TIDO pale TBC1, ilimtoa Jerry Mulo kutoka ITV to TBC1, angalia mabaya ya Jerry alivyofanywa baada ya kutoka pale , ilikuwa njia ya Kudhoofisha kusudi asije akaingilia sakata la DOWANS aliwa ITV alipokwenda TBC 1 wakamumaliza na Kesi angekuwa kwa Mengi ITV wasingempata
 
Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

"Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.

Find out who owns Clouds FM kama hujui.Ukishajua itakuwa rahisi kujua kwa nini wanatetea mafisadi and they behave how they behave.I hope you already knows well Rostam and who runs the government.Kama hujui pole!It would be wrong for you to believe that the government is run by Kikwete and other people you see around you!
 
du! ngoja nilicheki hilo songi la mr sugu... nakumbuka wate tulikuwa maveteran wa hip hop...mwenzetu alidumu zaidi kwenye fani, ...inaonyesha limetulia!
 
Ndo namna ya kuongeza kipato chao mjini, PJ kalivaa jiji la Dar kasahau ndugu zake wanavyohaha huku vijijini kutokana na makali ya maisha yaliyosababishwa na viongizi mafisadi wasio chembe hata kidogo ya huruma na ambao wanashabikiwa na baadhi ya wanahabari ambao bado wanawalamba miguu.

Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

"Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.
 
Kwanini msiache kusikiliza redio ya propaganda? Kuendelea kuwarusha hapa JF mnafanya na sisi tuonekane kama wao!

Sikiliza Wapo Radio, Radio Al-nur, Radio Tumaini, Radio Tanzania, or watch TV!

Kila kukicha Why Clouds FM, Why Kibonde, Why?????????
 
Ya Tunisia...Ya Misri....Yanakaribia SAAAANA Tanzania
Ningekuwa na Uwezo Ningemfukuza ROSTAM na Karamagi Tanzania.....Ni Wahujumu Uchumi na Sasa Clouds FM
Namkumbuka na Kumlilia Sana Baba wa Taifa kwani ilikuwa Fimbo Kwa Wahujumu Uchumi

Maandamano ya Kwanza kabisa nitakayofarijika nayo ni ya Kutoilipa DOWANS ya ROSTAM na ya Pili ni KUTAKA ROSTAM Afukuzwe Nchini, Ameiharibu nchi hii...anaichezea kama Mke Wake
Acha Tulale GIZANI......... tutavumilia tu lakini DOWANS isilipwe
 
Clouds FM, RAI, Mtanzania ni vyombo vya habari ambavyo Watanzania tunatakiwa tuachane navyo kabisa kuvisikiza na kusoma. Ni media za mafisadi, unaposoma magazeti na kusikiliza redio hizi ni kuwaunga mkono mafisadi. Dont waste your time listening to Clouds FM - The Fisadi Station!
 
kiukweli toka SUGU achakachuliwe PROJECT yake ya MALARIA, na nikasikiliza CLOUDS fm, KIBONDE alivyokuwa anamzihaki SUGU kusema ukweli toka siku hiyo niliacha kusikiliza kipindi cha JAHAZI, nikaendelea na kusikiliza POWER BREAKFAST lakini wakati wa kampeni za uchaguzi 2010 ziliposhika kasi, nikaanza kuwakumbuka FINA na MASOUD walivyokijenga kipindi na kinavyochakachuliwa na WACHUMIA TUMBO. Niwe mkweli hivi sasa mimi sisikilizi hiyo redio CLOUDS fm. Nimemkubali SUGU mle ndani ni MASHOGA na MATEJA ndio wanao tulisha habari za kinajisi chini ya MSAMBAZA NGOMA KIBONDE (Hatumnyanyapai bali tunamkemea na kumlaani kwa nini aue watanzania wenzake kwa makusudi)

are you sure 100% jamaa anausambaza kwa dada zetu? Je sheria inayopinga kusambaza ukimwi kwa makusudi haiwezi kutumika kudhibiti hali hiyo?
 
Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania umekuwa unafanywa kwa kushirikiana na Rostam Aziz, mmiliki wa Dowans na Habari Corporation inayochapisha magazeti ya Mtanzania, Rai, na mengineyo.

Gazeti la Rai leo limeandika habari za kifisadi kuwa hali ya umeme mbaya kwa kuwa serikali ilikataa kuinunua Dowans.

"Hawa jamaa (Rai) mara nyingi habari zao ni za uchunguzi. Wanafanya kazi kwa umakini mkubwa," Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James (PJ), akizungumza leo kwenye kipindi cha 'Power Breakfast' akichambua magazeti.

Ni vibaraka wanajipendekeza, si ulisikia jinsi Ruge alivyochukua pesa ya TUMA milioni 100 (chama cha wanamuziki) kutoka serikalini akijifanya kuwa na yeye ni memba wa TUMA wakati si kweli.
 
Back
Top Bottom