Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
Kiongozi, mtenda mema hayamkuti hayo, yeye hujiwa na malaika wengi wazuri wakiwa na mavazi mazuri na wao humwandaa kabla hajaja mwenyewe malakul maut, yeye akija huitoa roho hiyo na kuwakabidhi malaika wengine nao huipeleka mahala husika.
kumbuka uchungu lazima kila mtu aupate... tunatofautiana na Matendo (AMALI) zako... ikiwa ni ya hali ya juu lazima maumivu uyapate ila kwa uchache.. tofauti na wale walio na MA'ASI ya kutisha