Uhusiano kati ya kiu ya maji na mauti

Uhusiano kati ya kiu ya maji na mauti

na wale WANAOJINYEA??
Mkuu nimekwambia unapata raha ya bandia.

Sasa mambo yote hayo iwe kunya, kukojoa mkojo wa njano au mweupe huwa kuna starehe unaipata.

Sasa kuna moja wapo utajisikia kuifanya unapokufa.

Wakati inakatika hiyo starehe ndiyo 'kantolee mazima' baba.
 
hahaha..... sikubali hii......kufa starehe..
 
Kuna siku nilimsikia shehe akisema kuwa malaika wako
Mlinzi
Anakuwa ameshazunguka duniani kote kukutafutia maji yatakayokufaa lakini yote huwa yanadunda.
 
KIIMANI:
Roho ya mtu inapoacha mwili huwa Mara nyingi haitaki mtu ashuhudie hivyo anapokutuma kalete hiki au kile(Mara nyingi huwa maji) ni njia/janja ya kukutoa ili uhai umtoke. Ndo maana mara nyingi unapokuwa unarud ndio utakuta anamalizikia kukata roho!.
Yesu aliposema "naona kiu" : ilikuwaje?
9Kwa mujibu wa biblia)
 
Kuna siku nilimsikia shehe akisema kuwa malaika wako
Mlinzi
Anakuwa ameshazunguka duniani kote kukutafutia maji yatakayokufaa lakini yote huwa yanadunda.
Riziki.. ikifungwa na mwenyezi mungu.. hata ukitumia mipira.. maji hayaingii... na chakula hakipiti...
 
Back
Top Bottom