Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Nakumbuka nilichezewa rafu mbaya sana kwenye mechi wakati nikiwa nalia nimelala chini nilipatwa na kiu ya maji so niliomba maji kabla hawajanipakia kwenye gari kwenda hospital mshikaji wa karibu alihamaki akisisitiza nisipewe
Baada ya hili tukio nikikutana naye huwa ananiambia bila yeye ningekuwa nishakufa [emoji22]
Baada ya hili tukio nikikutana naye huwa ananiambia bila yeye ningekuwa nishakufa [emoji22]