Uzi huu bila picha wakuu? Sasa mnadai kuwa mtu akitaka kufa anakutuma maji,hivi mpo wengi huyo mtarajiwa atawatuma maji wote <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji847.png" />?<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji125.png" /> ,Je wanao liwa na Simba wanaomba maji nao, au na mamba wanaamua kunywa Moja kwa Moja <img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji23.png" />, nilishuhudia kifo Cha jamaa yangu hospital tukiwa wanne , tuliongea nae vizuri,gafla akadai suruali zake zipunguzwe kwani alikua amepungua Kisha aletewe, gafla akavuta pumzi Mara tatu ,akatuacha ndugu zake,sikusikia kutumwa maji ,harafu maji ka yapo hapo ,atakutuma Nini Sasa Vocha?<img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji56.png" /><img src="//emoji.tapatalk-cdn.com/emoji56.png" />