Uhusiano kati ya kiu ya maji na mauti

Uhusiano kati ya kiu ya maji na mauti

Mbona km umehemka.Unaamini au umekaririshwa na hivyo vitabu? Mtu mvivu wa kufikiri siku zote yeye majibu yake ni biblia na kuran.
Haya wewe usiye mvivu wa kufikiria hebu tupe majibu ya kisayansi.
 
Tunataka ushahidi wa kusayansi.achana na mambo ya dini, ni mambo ya kudumaza ubongo kupokea bila kuhoji wala kuthibitisha ukweli wa jambo.
Hapa umenilazimisha mimi nitumie sayansi kukujibu hali ya kiwa tayar mimi nimetumia dini kule imani yangu ipo. Ukimtaka mtu akujibu kwa njia unayoona wewe inafaa hali kwake si kitu basi umemlazimisha mkuu.
 
Just dehydration process, ukimpa maji huwa cell zimekauka, endapo akipata maji kwa gafla cell hujaa na kupasuka,
 
Though hatuwezi kuwa na jibu kulingana na experience but we can think about it kufwatana na uelewa, imani n.k, kama kichwa kinavyoeleza si kitu kigeni masikioni mwako au pengine umewahi kushuhudia mwenyewe baadhi ya wagonjwa dakika za mwisho kabla ya umauti kuwafika huwatuma watu wanaowauguza kuwachukulia maji ya kunywa though wengi wao huwa hata hawafanikiwi kuyanywa yale maji, process ya mpaka mtu kutokwa na roho inaambatana na energy kubwa ambayo pengine hupelekea hadi mtu kuhisi kiu; najaribu tu kuwaza je mwenzangu unawaza nini??
Katika hili itakubidi uwatafute walowahi kufa na kufufuka .. watakupa majibu sahihi. Kama sikosei hata Yesu alipokuwa msalabani aliomba maji ...
 
Though hatuwezi kuwa na jibu kulingana na experience but we can think about it kufwatana na uelewa, imani n.k, kama kichwa kinavyoeleza si kitu kigeni masikioni mwako au pengine umewahi kushuhudia mwenyewe baadhi ya wagonjwa dakika za mwisho kabla ya umauti kuwafika huwatuma watu wanaowauguza kuwachukulia maji ya kunywa though wengi wao huwa hata hawafanikiwi kuyanywa yale maji, process ya mpaka mtu kutokwa na roho inaambatana na energy kubwa ambayo pengine hupelekea hadi mtu kuhisi kiu; najaribu tu kuwaza je mwenzangu unawaza nini??
Katika hili itakubidi uwatafute walowahi kufa na kufufuka .. watakupa majibu sahihi. Kama sikosei hata Yesu alipokuwa msalabani aliomba maji ...
 
Kiumbe yeyote anapokufa mwili unakua katika hali ya mshituko (shock) hivyo hupelekea living tissues kufeli metabolically na mwili kupoteza Uwezo wa provide oxygen for survival na hupelekea damu isiweze kufikia kwenye organs kama moyo, ubongo na mapafu huku organ zingne kama figo zikizid kupata metabolic failure, ambapo figo itasense reduction of blood flow and excessive concentration and reduction in amount of urine na kusababisha kiu.

Pia kufeli kwa tissues hupelekea upungufu wa maji mwilini (state of dehydration) due to shunting of blood and homeostatic response (to set everything normal again) hupelekea hali ya kuhisi kiu.

Upungufu wa maji mwilini pia hupelekea kuhisi kiu katika koo hiyo hupelekea mtu kutaka kunywa maji ili kukabiliana na kiu as a part of homeostatic response
 
Al' insaan ni hili jumba la mwili ni mwili wenyewe yaani. Roho elimu yake ipo kwa Mungu ila kuvishwa ndani ya mwili wa binadamu elimu hiyo tumepewa. Katika haya matabaka ya ngozi ya mwili wa binadamu ndipo roho ilipovikwa. Leta taswira katika hilo utokaji wake( roho) utakuaje?! Inavutwa kwa kunyofolewa, inachunwa katika hizo tabaka za ngozi hali ya kuwa upo hai katika hali ya kukielekea kifo.

Kwa mja mwema, bila shaka ni suratul nnaziati aya ya i na ii inaelezea jinsi Malaika wanaotoa roho za waja wema na Malaika wanaotoa roho za waja wasiyo wema. Ila sakaratul maut ni haki kwa kila mtu kuionja licha ya watu kufa kwa vifo vya namna tofauti tofauti na kuchunwa roho ni kwa kila mtu aliye mwema na asiye mwema utofauti unakuja katika hali ile ya uchunwaji na utolewaji wake.



Waallahu Aalam.

ipo hivyo,na sura ya IZRAEL... inatisha kupita maelezo... Mtume wetu mpendwa aliomba kuiona sura ya izrael... ila hakuweza kustahimili na kuzimia.. sasa hapo alikuwa Izrael ametabasamu... na alilegeza nyuso yake kwa mtume aliyetukuka.. je kwa siye Wafanya maovu... anatuwekea sura gani??
 
Nafikiri kiu wanayokuwa nayo ni sawa na ile anayoisikia mgonjwa aliyetoka kufanyiwa operation hasa kubwa

Niliwahi kufanyiwa ya namna hiyo ile nimezinduka ile kiu niliyoisikia siyo ya mchezo ni kali sana nilikuwa naomba maji ila hawakunipa mpk baada ya muda kidogo ndiyo nikapewa tena kwenye kifuniko cha maji ya Kilimanjaro tena baada ya kulalamika sana baada ya hapo sikupewa tena na wauguzi wakawapiga biti ndugu hakuna kunipa ni kiu ya hatari hata mate yanakuwa yamekauka kabisa
Inamaana wangekupa ungekufa?? Bado niko gizani jamani juu ya dhana ya kiu na kifo
 
Huwa wanaagiza maji ili usione anavyoukata,,kumbuka kifo ni siri.
 
Back
Top Bottom