Uhuru wa wachunguzi huru

P


Ok Kifyatu basi tusubiri uchunguzi ufanywe na vyombo vya dola vya Tz i.e. mtuhumiwa anajichunguza mwenyewe!! na bado tutapata report saafi kabisa isiyoegemea upande wowote!!

Kuhusu Gadafi kwani ni lini Gadafi alikuwa anawindwa na FBI na CIA?
Kama hukujua kuhusu kuwindwa kwa Gadafi na kushambuliwa mara kadhaa na CIA basi wala sina haja ya kuuendeleza huu mjadala nawe.

M-google Gadafi halafu usome ugonvi wake na mataifa ya mangaribi kwanza ndio utajua ninachokizungumzia. Hii mada haimhusu Gadafi.
 
Sikatai kwamba TL ni maarufu na habari zake zinauza sana magazeti kuliko wale waliouawa kule Kibiti.

Kinachoniboa ni kuona kuwa inafikia hatua kwamba TL anaonekana ndio mtu pekee ambaye amekutwa na yaliyomkuta.

Wakazi zaidi ya 40 wa Kibiti kutokuwa maarufu sio kigezo cha kufikia hatua serikali inakuwa blackmailed kwa sababu tu ya TL kukoswakoswa kuuliwa. Kila mtu anaonekana mdhambi kwa sababu ya TL lakini nobody cares kuhusiana na uhai wa wananchi wengine!!.
 
Mungu huwa hana muda na watu wajinga kama wewe.

Ungejiuliza kwanza ni kwa nini wengine wakifa wanaitwa marehemu na wengine wanaitwa hayati.

Hoja za kipuuzi kama hizi hata last born wangu wa Nursery school anaweza kukujibu. Inshort wewe ni mjinga.
Mkuu Matola punguza povu. Kwa hiyo wale wa Kibiti ni marehemu na huyu mwingine kama mabaya yangemkuta angeitwa Hayati!!.

Yale yale ya waluguru kumsifia marehemu Mkude kwa kusema eti kafa zuri kwa sababu kagongwa na gari ya balozi!!.

Aliyevipiga marufuku viroba alikuwa na nia njema ya kuzikomboa akili za watu kama mkuu Matola.
 
Scotland yard walipochinguza kifo cha Ouko walifadhiliwa na serikali ya Kenya ..walifanya na wakatoa uchunguzi wao..serikali ikaukataa....
 

Cf.

"Public pressure led President Daniel arap Moi to ask British detectives from New Scotland Yard to investigate Ouko's death.[13]. The following investigation by the Kenyan police was supported by the arrival on 21 February of Detective Superintendent John Troon of Scotland Yard's International Organised Crime Branch, accompanied by two other detectives and a Home Office forensic pathologist" - Robert Ouko (politician) - Wikipedia
 
Mkuu bora umemchana ukweli, hakuna kinachomtatiza hapo zaidi ya kupost unafiki mtupu! nyani ni moja kati ya kiumbe ambae ametanguliza uchama mbele na kusahau utu.
 
Mkuu bora umemchana ukweli, hakuna kinachomtatiza hapo zaidi ya kupost unafiki mtupu! nyani ni moja kati ya kiumbe ambae ametanguliza uchama mbele na kusahau utu.
Hana uchama wala siyo ccm huyo, kinachomsumbuwa ni Ukabila tu hakyna kingine. Rais ni wa nyumbani kwao ndio sababu za kurukwa akili kote huko.
 
Kwanini hiyo akili yako inayokwambia kuwa hauoni namna ambavyo hao wachunguzi huru hawawezi kutoa matokeo ambayo ni kinyume na matakwa ya waajiri wao vile vile pia isikwambie hao wachunguzi huru endapo kama watakafanya biased investigation na kubainika, watakuwa wamejipunguzia credibility hivyo basi hili kuepuka hali hiyo isije ikatokea watajitahidi kufanya uchunguzi wa haki na kuja na majibu sahihi?
 
Walikuja kuchunguza mauaji ya padri. Kinachombwa na CDM sasa ni hao wapelele waje wachunguze vyombo vyetu vya usalama kwa sababu ndivyo vinavyoshutumiwa. Can't do that.
Kama hawahusiki tatizo liko wapi?
 
Hivi unaelewa "usalama wa taifa" maana yake ni nini?
Swali gani unauliza?jambo ukilijua sana lielezee si tunaelimishana.haya labda mimi niko nyuma kuhusu usalama wa taifa nieleweshe basi.
 
Swali gani unauliza?jambo ukilijua sana lielezee si tunaelimishana.haya labda mimi niko nyuma kuhusu usalama wa taifa nieleweshe basi.
Usalama wa taifa ndio nguzo kuu ya kuulinda utawala na uongozi wa nchi. Unataka FBI na CIA wauchunguze unavyofanya kazi?
 
Usalama wa taifa ndio nguzo kuu ya kuulinda utawala na uongozi wa nchi. Unataka FBI na CIA wauchunguze unavyofanya kazi?
kwanza ujue ni kwamba wanakuja kuchunguza tukio waliloombwa na kama serikali haihusiki basi haina cha kupoteza.
kama mpaka sasa unafikiri hao FBI na CIA wanasubiri nafasi ya kuombwa kuja ndio watuchunguze basi sawa.
 
kwanza ujue ni kwamba wanakuja kuchunguza tukio waliloombwa na kama serikali haihusiki basi haina cha kupoteza.
kama mpaka sasa unafikiri hao FBI na CIA wanasubiri nafasi ya kuombwa kuja ndio watuchunguze basi sawa.
Una matatizo ya kuelewa.

FBI na CIA ni vyombo vya kijasusi vya Kimarekani. Hawawezi kuichunguza serikali ya Tanzania bila ya kudukua mfumo wetu wa ulinzi na usslama. Wanaweza huchunguza uhalifu mwengine lakini sio vyombo vya ulinzi na usalama wa taifa letu.
 
Waafrika na waarabu bwana! yaani tunafikiri katika njia ileile waliotuchorea wazungu, Sasa hapo kwa UK na US si ndo yale yale.

MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO by nyani ngabu.
 
Unataka kumaanisha nini sasa hasa?kwamba serikali inahusika?
 
Unataka kumaanisha nini sasa hasa?kwamba serikali inahusika?
Hapani. Ninachosema ni kuwa hakuna nchi yoyote ile duniani itakayoruhusu vyombo vya kijasusi vya nchi nyingine vije viichunguze mifumo ya ulinzi na usalama wa nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…