Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Habari zenu wakuu!
Mwenzenu nina mpenzi ambae tunapendana sana ila kuna jambo moja ambalo silielewi kwa huyu my swt love, tunapokutana huwa anatabia ya kupekua cm yangu sana na wakati mwingine anafuta namba za cm za watu nilio wa save, nikimuuliza jibu analonipa ni moja tu akisema, ''kwani kuna mwingine muhimu wakuasiliana nae zaidi yangu, mama yako na baba yako?''
kwakweli hiyo tabia huwa inanikera sana kwani inanikosesha nisiwe na marafiki na mawasiliano na baadhi ya ndugu pia.
Hebu nisaidieni jamani, nimuambie nini au nimfanyie nini ili anipe uhuru wa cm yangu?