Kirachacha
Member
- Jan 8, 2013
- 67
- 48
Kuwa huru nayo ni sawa, kufuta namba ni u-mburula.
Kwani kuna nini kibaya ambacho hutaki mwenzako akione? Kama hakuna basi hiyo sio ishu.
Hapo bado hujaolewa, ukiolewa si atakuwa anatoka nayo kokote anakokwenda.
Good NN. huwa nashangaa watu mnaoweka passworld kwenye simu zenu ili iweje? Hivi kweli una mume au mke unapassword simu? siku umekufa ghafla kila kitu kinajulikana. Jipepeleleze!
Kuwa na uhuru kwa simu ya mwenzi wako si kosa.Ila hicho anachokifanya mwenzi wako amepitiliza uhuru anaotakiwa kuwa nao, kitendo cha kufuta namba za watu wengine bila ridhaa yako si cha kiungwana.Kaa nae muelimishe asipobadilika achana naye huyo anaweza kuwa moja ya wanaume wanaowakagua wanawake kwenye K.
Samahani kama nitakuboa, ila kwa style hiyo hiyo relationship itavunjika muda si mrefu. Hapo ninachoona ni kuwindana (kama simu anashika daily so hata kosa litapatikana tu). Kama unaipenda rship yako fanya mkae muongee asiwe anashika au hata kufuta namba za simu otherwise mtajikuta hamfikii mnakotaka kufika
Good NN. huwa nashangaa watu mnaoweka passworld kwenye simu zenu ili iweje? Hivi kweli una mume au mke unapassword simu? siku umekufa ghafla kila kitu kinajulikana. Jipepeleleze!
Hii ni tabia ya mtu,ni wivu katika mapenzi,simu ya mkononi imefanikiwa kuwagombanisha wengi.
Liweke mezani,weka msimamo wako kuwa hufurahishwi na tabia yake hiyo,mweleze ukweli,suala la msingi ufanye hivyo kwa nia ya dhati na kwa lengo la kusaidiana,onesha msimamo wako ktk hilo,atakuelewa.
Vile vile,wote muwe huru,msitiliane mashaka kwenye matumizi ya simu zenu.
Nawasilisha!
huo wote ni ushauri tu,jitahidi kufanya atakavyo nae afanye utakavyo,kama kuna watu kwenye hiyo simu hawataki basi anazo sababu,maranyingi mnalalamika ila unakuta we watu wote unaowasiliana nao ni wavulana
we acha tu, cjui mwenzangu ana mzuka gani na cm yangu
siyohivyo mkuu, hata akikuta contact za wasichana anafuta, ingekuwa ni kwa wavulana tu wala nisinge jali sana