Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
- Thread starter
- #41
Nshawahi kuwa kwenye this kind of relationship inakera kwa kweli mtu anakufatilia ka polis umepanda daladala mtu anatumwa kwa toyo akufatilie utashuka wap' nikampiga chini.
nikweli inakera sana, kwa upande wangu nikigusia maswala ya kila mtu achukue 50 zake huwa anachanganyikiwa sana hadi namuonea huruma lakini hakomi, ndio maana naomba ushauri kama kuna njia mbadala ambayo naweza kutumia kuondoa hii kero ninayopata kutoka kwahuyu mwenzangu.