Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Kununua karanga au kuwa peke yake inawasaidia nn wakenya?
Amepunguza bajeti ya serikali kwa kuto kuwa na msululu wa walinzi. Pia nafikiri kutokana na kujiamini hana waandika hotuba kama huyu wa kwetu aliyeajiri waandika hotuba
 
Nadhani ulimaanisha kikao hiki. Ilikuwa shughuli pevu kupata pa kukaa ikabidi ajichanganye tuu sasa afanyeje? He he he
View attachment 147041

Sent from my iPad using JamiiForums

Nashukuru sana mtaalamu kwa kutuwekea ushahidi wa jambo hilo. Kodi za wabongo zinatumika tu hata kujua zinatumikaje hilo hawaulizi. Vikao hata ambavyo watu wengine hawahusiki mtu anajichoma ndani tu. Ilimradi kodi za walala hoi zimetumika. Tutafika kweli kwa mtindo huo!
 
Anatafuta huruma toka kwa wananchi baada ya kushtakiwa kwenye mahakama ya kimataifa.
 
vijana wa ufipa simulipeleka jeshi la ardhini kumnadi Odinga!!! na kulikoni leo hii huyu mnamuona tunu wakati mnapiga vita Ridh1 kugombea charinze? au kenya mtoto wa rais kugombea ruksa ila tanzania hamtaki! hili ndo linafanya muonekane kwa jamii kuwa wala hamjui munafanya nini na tatizo ni viroba ambavyo babu yenu anaviabudu.

Kwani huyu wa kenya aligombea wakati baba yake akiwa madarakani? Au na wewe viroba vimekuzidi?
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
Acha uongo. Hii habari niliiona jana kwenye tv ya Citizen, msafara ulikuwa na Magari 40
 
Namkubali sana uhuru
 
Kamanda acha uongo kuhusu msafara. Jana nimeshuhudia CITIZEN TV ya Kenya wakionyesha msafara wa Kenyatta toka Kenya kuja Tanzania ukiwa na Magari zaidi ya 40 yametapakaa barabara nzima.

Kibaya zaidi alisindikizwa na Makamo wake yaani Ruto hadi mpakani na magari lukuki. Jana Wakenya wamepiga mayowe wakisema kwa nini asingekuja kwa ndege. Angalia hapa Kamanda

President Kenyatta's Road Trip to Arusha - YouTube

Mkuu nipo Arusha, magari yenye presidency identification nimeyaona nane so far. Mkuu usifuatilie propaganda. Mkuu wa arusha alikuja na msafara mkubwa kuliko wa kenyata
 
Rais wa tanzania afanye naye hivyo,asiwe mzigo kwa wanyonge
Mbona tayari ni mzigo?
Kupeleka vimada ulaya na marekani
Kuteua baraza kubwa
Kushirikiana na mafisadi kuifisidi nchi
Kwenda kurekebisha afya yake mara kwa mara.......HUU NI MZIGO MKUBWA SANA KWA WANYONGE
 
Fanyeni kazi vijana kuleni kwa jasho lenu ustegemee porojo za jf ndio zitasomesha watoto weny hivyo ni vihela vya kununulia vitumbua na poda ya siku moja tu
jibu hoja mla viroba wewe, vipi leo mhasi wa upadre ushambrashia viatu?
 
Attachments

  • JK IN CHINA.jpg
    JK IN CHINA.jpg
    11.7 KB · Views: 157
sidhani kama marais huishi kwa mshahara maana kila kitu burrrrrreeeeee
 
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.

Mkuu kumbuka mdaharo wa Kenya kipindi cha kugombea Urais! Alipoulizwa hili akasema asihukumiwe kwa Historia ya Familia yake, na pia Raila mwenyewe akakazia kwa kusema, Msimuhukumu kaka yangu kwa uatajiri wa kurithi!

Wewe ungekuwa umetoka familia tajiri ungetaka tukulaumu??
 
sio hapendi kuzurura, hakuna wakumualika. nakumbuka alienda Urusi wala rais Putin hakuhangaika nae, na baada ya hapo akajipeleka China nako akapokelewa kwa kusuasua tu. Tofauti na Vasco Da gama wetu. mara kaalikwa Ufaransa, mara Obama kamualika, Mara kaitwa Yemen mara Rais wa china kaja, mara kaalikwa kwenye Economic forum conference and so on......
kwa kifupi ni watu wawili tofauti.

'Sasa akialikwa umeambiwa analipiwa na nauli
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic 8lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
Uhuru Kenyatta ni tajiri wa kwanza nchini Kenya. Hana ulimbukeni kama jamaa wanaoingia maskini madarakani. Hawa ukwapua rasilimali za taifa na kujilimbikizia ili waondokapo madarakani wawe matajiri kwa jasho la wananchi! Ref: JMK
 
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???

Mbavu zanguuuu!!!
 
Uhuru hajawahi kupora ardhi ya mtu, hajawahi kujiongezea ardhi zaidi ya ile aliyorithi kwa baba yake. Na kila mwana ana haki kidini, kimila na kisheria kurithi mali au sehemu ya mali anapofariki baba/mazazi.

Zaidi zaidi aliwapatia ardhi bure wananchi kule Mombasa (kabla ya uchaguzi). Ardhi aliyoigawa ilikuwa ni sehemu ya ardhi ya familia walioachiwa na Baba yao.

Tiba
 
Back
Top Bottom