georgemageke
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 325
- 46
Rais wa tanzania afanye naye hivyo,asiwe mzigo kwa wanyonge
Acha wivu kama dadako ww....
Rais wa tanzania afanye naye hivyo,asiwe mzigo kwa wanyonge
jibu hoja mla viroba wewe, vipi leo mhasi wa upadre ushambrashia viatu?Kuna jamaaa kasema ngoja watakuja lumumba wanaotumia matope kufikiri kwao kila kitu ni chadema tu sjui mna laana gani nyie vikalagosi????
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.
KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.
Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.
Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.
Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
mkuu usisahau haya siku hiyo.Usichofahamu ni kwamba Kenya ilishajitangaza nje kwa sababu hiyo nchi ni jimbo (state) tu la Uingereza na Marekani. Na hata Tanzania ilipoweka vikwazo kwa South Afrika wakati Makaburu wanatawala huku, wakiendesha ubaguzi wa rangi kwa ndugu zetu, KENYA ilikuwa inaendelea kama kazi kufanya biashara na kufyata mkia mbele ya Makaburu. Hata walipoingia Somali walitumwa na Baba zao hao. Samahani kwa neno hili lakini ni nukuu toka kwa Idd Amin Dada "Mabwana wa KENYA ni Amerika na Uingereza, kila wanachoambiwa na hao hufanya"
Matunda ya Tanzania kujitangaza Duniani yamezaa matunda, mwaka jana 2013 kwa mara ya kwanza tuliongoza kwa kutembelewa na watalii wengi kuliko nchi yeyote ya Afrika mashariki. Huko nyuma Kenya ilikuwa ni kinara kwa kila mwaka. Hongera uongezi wa Rais Kikwete. Sijachimba ya uhuru wa habari! We acha tu. Itapofika wakati nitatoa mada maalim kuhusu mafanikio ya mbinu za serikali ya JK.
kIJANA FUATILIA HISTORIA UTAELEWA, KWANINI TANZANIA HAIKUFAHAMIKA NJE YA NCHI KAMA KENYA. HATUNA CHA KUNGOJA WAKATI NI HUU TUTATUMIA MBINU ZOTE KUHAKIKISHA KUWA TANZANIA INAKUWA NAMBARI ONE KATIIKA AFRIIKA MASHARIKI. BIG RESULT NOW! Mkereketwa.
Habari ndiyo hiyo . Huku kwetu mgawanyo wa majukumu ni ndoto. Wa kwetu yeye anakaa ofisini kwa mkuu wake kachukua wajibu wa Waziri wa Mambo ya nje. Iko siku alihudhuria kikao cha mawaziri waandaji wakasema na huyo ni waziri wa nchi gani? ikabidi ajitegemee kwa kuwa hakutakiwa katika kikao hicho.Nchi zilizoendelea waziri wa mambo ya nje anaheshimika na anapewa hadhi.
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.
Karithi mail iloyoporwa toka kwa Wakenya. Ukweli unabaki palepale.
Acha kutupeleka peleka na hisia zako. Alikuwa na Magari ya kifahari 40 kutoka Kenya hadi Arusha, Ni usifadi mkubwa sana hasa kwa Wakenya
Angalia Link chini
Awesome Photos:Uhuru Road Trip to Arusha : Diaspora Messenger News Media
Habari ndiyo hiyo . Huku kwetu mgawanyo wa majukumu ni ndoto. Wa kwetu yeye anakaa ofisini kwa mkuu wake kachukua wajibu wa Waziri wa Mambo ya nje. Iko siku alihudhuria kikao cha mawaziri waandaji wakasema na huyo ni waziri wa nchi gani? ikabidi ajitegemee kwa kuwa hakutakiwa katika kikao hicho.
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.
KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.