Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Shikamoo shangazi!Mabwana wa siku hizi hawapendi ujinga kabisaaa
Shikamoo shangazi!Mabwana wa siku hizi hawapendi ujinga kabisaaa
[emoji12]Shikamoo shangazi!
UMESOMEKA VIZURI TU MKUUUkishaijua tafsiri ya PINGU ZA MAISHA.
pamoja na MWILI MMOJA basi utagundua tu makosa ya huyo jamaa.
Wengi wanaitafsiri ndoa kwa aina tofauti kutokana na imani zao.
Lakini kwaujumla ndoa ni Democrasia yenye mgawanyo wa majukumu pamoja na muingiliano wa kiutendaji.
It means kwamba kila mmoja ana majukumu yake, lakini linapokuja suala la kiutendaji basi muingiliano upo tena ndio unaoleta mshikamano.
Sasa ndani ya muingiliano huo ndipo unakutana na mawasiliano pamoja na m'badilishano wa taarifa.
Tuliza kichwa uelewe taratiibu,
as I told you before ndoa ni demokrasia na demokrasia ni usawa.
Sasa popote pale unapofanya jambo lolote mfano kununu bidhaa, ni wajibu wako kumjulisha mwenza wako na endapo hakufurahishwa nacho basi ni mazungumzo ya demokrasia ndio yanachukua nafasi, lakini watu wengi wanatafsiri ndoa kama ni udikteta.
Ukinisalimia wewe nitaitika sio ya huyu tabia mbaya[emoji38] [emoji38]Ebu itikia basi
wew hupend shikamoo ?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1]Ukinisalimia wewe nitaitika sio ya huyu tabia mbaya[emoji38] [emoji38]
Marahabaaa hujambo?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1]
Shikamoo dada jje's
Yako poa kbsa cjui upande wakoThijambo ,
Habari ya mapumziko ya weekend ?
Namshukuru Allah, niko poa kabisaYako poa kbsa cjui upande wako
VipiGuda guda
Nko nae hapa.Vipi
shem kakupa uhuru wa kwenda out leo ?
So kakupa uhuru wa kuendelea ku browse na viumbe wengine , wakati mpo wote karibuNko nae hapa.
Yes anajua haina sumu hiiSo kakupa uhuru wa kuendelea ku browse na viumbe wengine , wakati mpo wote karibu
Uko sawa but ananijua fika siwez fikia mbuyuAiseeeeh
Mbuyu ulianza kama mchicha though
Hayaa dada yangu, nisamehe sirudii tena kukuchokozaIla pia acha uchokoz lete mada ingine cephalocaudo
Asante sanaHayaa dada yangu, nisamehe sirudii tena kukuchokoza