Uhuru ni muhimu katika mahusiano

sivyo mkuu...hili ni suala lingine la uwajibikaji..you should be responsible kama mke na kama mume..unapochukua hela na kuzitumia kwa njia zako mwenyewe lazima uwe na njia ya kuregesha zile hela.
 
Mkuu , Nilkuwa najaribu kupata mawazo mbadala kidogo.
 
sivyo mkuu...hili ni suala lingine la uwajibikaji..you should be responsible kama mke na kama mume..unapochukua hela na kuzitumia kwa njia zako mwenyewe lazima uwe na njia ya kuregesha zile hela.
Sawa mkuu, nmekufahamu hapo
 
kuna furaha ya aina fulani unayoipata kama mke unapomuuliza mumeo ruhusa ya kufanya jambo fulani..hivyohivyo,kuna furaha ambayo mwanamume hupata wakati ameulizwa ruhusa na mkewe kabla ya kufanya jambo fulani...

Kweli kabisa huwaga najisikia raha sana kumuomba ruhusa Smart911 though katika mahusiano tu I feel so good
 
i was considering mwanamume mwenye utu..na ndio maana tunazungumzia uhuru wa mwanamke maana kama ni mume katili hata huo uhuru mwanamke kuupata ni balaa
 
If and only "if" ningekuwa na uwezo kwa hakika nisingeoa kabisa.

Sometimes naona kulikuwa na faida nyingi kuishi bila ndoa. Kuliko this kind of life with this "miss perfect" so superior!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…