Ahsante sana na ndio maana hapo juu nimesema kwa mara nyingine Uhuru nimemuogopa zaidi!Kenyans ni alama kamili ya ubeberu, beberu akikuona umenuna yeye anakuchekea, akikuona umefurahi yeye ananuna, wanaenda kwa timing ili wakwapue kwa maslahi yao nyangau hawa
Hapa ndio hua najiuliza sana, hivi inamaana hapa EAC ni Tanzania tu ndio wanapaswa kutunza diplomasia?Kwahiyo unaona Kenya wanafanya Jambo jema kwa Tanzania
Wasaidizi wako ndio wenye matatizo.Uhuru Kenyata yuko vizuri kichwani.
Ni kweli na Tz sio adui wa Kenya isipo kua awamu hi hatuna sere ya kimataifa inayojulikana( foreign policy) tumejikuta kwenye counter reaction tena ya kishamba inayo onyesha kwamba viongozi wetu hawana exprience ya dipulomasia na PR..........ila Kenya na Tz kila mtu anategemea mwenzie sana na watakua majirani siku zote hamna haja ya kuzozana
Ila wao kuzuia raia wetu wasiende kwao ndio wanaakili timamu Ila sisi wendawazimu tulitakiwa tukubali turuhusu ndege na raia kutoka kwao waje tena kwa Uhuru kabisa wafanye mambo yao kisha warudi kwao Ila sisi kuonekana huko ni haramu kabisaa?Uhuru hana shida,tatizo Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwa sasa!View attachment 1524535
Very interesting!!Naunga mkono hoja, kwa maoni yangu Tanzania tume overreact, kulikuwa hakuna sababu, siyo jinsi ambavyo watu matured wanavyopaswa kutatua matatizo, inanikumbusha ex girlfriend wangu, ilikuwa nikikosea kidogo tu hata kama tumepishana kidogo sana hiyo revenge yake unaweza kujiua, alikuwa immature.
Mkuu Paskali haelewi undani wa mioyo ya serikali ya Kenya,kwa ufupi hawatutakii mema.Hakuna maana ya kuendeleza undugu katika EAC yenye watu wasiotutakia Tanzania mema.Kwahiyo unaona Kenya wanafanya Jambo jema kwa Tanzania
Asante mkuu, hili pia nlikua najiuliza maana hvi visa vya Wakenya hua ni vingi sana ukichunguza katika historia ya hzi nchi 2. Mi nadhani in future hawatakua wakituletea ujinga bali watafanya maamuzi ya kujitambua watakapokua wanadili na sisiHapa ndio hua najiuliza sana, hivi inamaana hapa EAC ni Tanzania tu ndio wanapaswa kutunza diplomasia?
Yani kwamba sisi ndio tuwe wanyonge tu wa kulamba watu miguu na kujishusha kwenye kila jambo kisa diplomasia?
Yani wenzetu watufanyie upuuzi kwa makusudi kabisa Ila sisi tusijibu tukae kimya au tukawabembeleze kisa sisi ni wana diplomasia?
Kinacost almost 1.5m kama sikosei.Leo nimekudharau sana jamaa yangu.
Yaani kuturuhusu kuingia Kenya bila ya Passport wewe umeona cha maana sana hujagundua kama huo ni mtego?Unadhani Watanzania watapata fursa gani ya kazi kule Kenya?
Hapo alitaka na sisi tuwaruhusu waingie bila ya passport waje wakamate nafasi za kazi kwetu kawaulize Rwanda kinachoendelea kwa sasa.
Kiufupi baada ya kuwakatalia ardhi yetu kuingizwa katika itifaki ya EAC wamekuja na mbinu nyingi za kutaka kuwa wengi upande wetu.
Kibali cha kufanya kazi Kenya kinatolewa bure kwa Watanzania sasa kaulizie ni Watanzania wangapi wame quality kupata hicho kibali?
hua tunatumia temporary passport mkuu, mara ya mwisho nmetumia mwaka jana septemberKuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti, Kenyatta hutenda tofauti na anachoongea,nenda Kenya ndugu na kitambulisho tu cha taifa pitia namanga ukipita unipigie simu hapo usitoke nije nihakiki, unaongelea Kenya ipi ya kuingia kiholela?
Nilidhani Watanzania wenye akili kama yako tayari wameisha kumbe bado upo! Hatari SanaUhuru Kenyatta ni tofauti sana Baba yake Jomo Kenyatta. Nafikiri tuli-react mapema bila sababu kubwa. Wale wenzetu wamefuata taratibu tulizozikataa za WHO. Sasa tukubali kuingia huko kwa kufuata utaratibu.