Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Naomba kukuuliza mtu ukiwa single kwa muda mrefu how can you live without doing sex..? Cz binadamu aliyeumbwa akakamilika sex ni kama sehemu ya basic needs.

Au njia gani unaweza kutumia kutofanya hivyo muda wote hisia zikikujia.
Mkuu unafahamu maana ya neno ASEXUAL? Hebu tuanzie hapo kwanza?
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kwamba watu kama hao hawapo duniani au
Hongera sana mama, nina maswali mengi ila ngoja ni-reserve kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana mama, nina maswali mengi ila ngoja ni-reserve kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwee kwani si unajua pa kuyauliza jamani
 
Mpaka hapa nimegundua hupendwi ila umependa ........tafuta
Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
anae kupenda utajikuta hutumii nguvu kuendesha mapenzi
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. You never know. It might be true
So Mimi nimeamua kumuangalia tu....Kama aanataka kuwa katika Mahusiano atashow effort na Nia..Kama hataki Siwezi mlazimisha Wala kumforce.

So nimeamua kumuachia hayo maamuzi yeye... Huku Mimi nikiangalia action zake.

Kama ikifika mahala nikaona zero effort... Ntaendelea tu na maisha yangu...bila hata kumbugudhi.

Siwezi weka effort na kupush kutaka matokeo nayoyataka kwa lazima...Lazima itoke kwake...I need him....but he is the one who should need me more.

So Kama he needs me in his life...he will do the right thing....Kama hataki...Mimi ntaendelea na maisha yangu.


And who told you ladies love minimal attention?... You should say "you like it"
Teh, huyo atakuwa anakutafuta tu akihitaji papuchi
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Innocent
Ndio kipenzi changu, nikisoma comments zako huwa kuna ubaridi unanipiga mwili mzima nasisimka, inakuwa kama nimepita pembeni ya makaburi ya watakatifu.

Upepo wa utakatifu eneo hilo ukavuma ukanipuliza na mimi nikapata msisimko wa ajabu.......

Mtoto so innocent wewe, MUNGU anijalie nipate nafasi japo hata ya kukukumbatia nikutazame usoni kwenye macho yako hayo makubwa kama mwanasesere wa Barbie.......

Dah unanimaliza sana ewe kimwana Karma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom