Mie totoz wangu nampenda hasa ila huo muda wa kuchat chat naye sina kabisaI guess it's true....
Doooh maybe I want constant attention.
Labda inawezekana hupendwi yeye ana mtu wake kwaiyo unavyo mpigia aidha wanakuwa pamoja kwaiyo anaona una muaribia! Jambo lingne baadh ya sisi wanaume hatu pend kupigiwa sim kila wakat halaf hatupendi kuonyeshwa tunapendwa sanaa tunaona kelo na usumbufu.Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Hapo huna chako wewe umempenda yeye haja kupenda halaf na nyinyi wanawake mkipenda mnasumbua sanaaaa yani mnapiga sim mpaka keroNikipiga coz alisema yupo njiani kurudi home ..ilikua sa nane..nikawa natuma msg hajibu...nikapiga coz nikitaka kuonana nae...coz anasafiri kesho...anasema kuonana haikua kwenye ratiba yeye hawezi vunja ratiba zake.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...KHAAAAAAAAAAAA
Sasa hapa ndoa Mimi kwakweli itakuwa ngumu kufungwa...Mambo yashakuwa Magumu mwanzo kabisa.
marrage is one form of inslavement..c.kirubi
ndio...dj ckChris Kirubj?
ndio...dj ck
Muda mwingine sisi wanaume tuna kuwa na mawazo meng tunaitaji utuliv kuto sumbuliwa kwaiyo unavyo piga sim tunaona kalaaa....Kweli simu Kuna muda huzidi
Mimi naweza nisimpigie sim mpenz wangu hata siku mbili lakin nakuwa nampenda na nakuwa sina mpenz mwingne zaid yke! kwaiyo inategemea huyo mtu wako yupo kwenye situation gani na sisi wanaume kusema Jambo linatukosesha Aman kwa wapenz wetu ningum sana....Kweli simu Kuna muda huzidi
True .. nimekuelewa sana jaapMimi naweza nisimpigie sim mpenz wangu hata siku mbili lakin nakuwa nampenda na nakuwa sina mpenz mwingne zaid yke! kwaiyo inategemea huyo mtu wako yupo kwenye situation gani na sisi wanaume kusema Jambo linatukosesha Aman kwa wapenz wetu ningum sana
Jamaa angu mmoja yeye hupenda kusema Yajayo yanayo furahisha ni ya Vodacom tu mengine yanasikitisha na kuogofya Sana [emoji41][emoji41][emoji41]ukisikia kauli km hizo, jiandae kisaikojolojia na yajayo ambayo hayafurahishi.
Wazungu wanasema "too much of anything is harmful"Ishu ni usizidshe kujali.
Huu ndio ukweli halisi!Ukitaka uhuru kuwa single, ukishaingia kwenye mahusiano unakuwa umeuza uhuru.
Huwezi kuwa kwenye mahusiano na ukawa huru, huwa haviendi pamoja hivi vitu.
Bado uko naye tu?Namini Nashangaaa...Uhuru upi yaani anautaka..wakufanya Nini..mpaka Mimi Simu zangu zimpunguzie huo Uhuru...
Huyu mwanaume Ni Mgumu Sana...yaani anamisimamo ya Ajabu Sana...hata ukisema nampeleka ndugu yangu hospital..anajibu HAYA....like hata kuuliza anaumwa Nini nalo hawezi...eti kwani Huyu ndugu yako Ni Wewe?
Haya maneno mawili mwisho ndo sahihi.Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..
Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...
Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...
ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...
Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....
Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
I love the CONFIDENCE in the answer.Ndio