Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Nikipiga coz alisema yupo njiani kurudi home ..ilikua sa nane..nikawa natuma msg hajibu...nikapiga coz nikitaka kuonana nae...coz anasafiri kesho...anasema kuonana haikua kwenye ratiba yeye hawezi vunja ratiba zake.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]...KHAAAAAAAAAAAA

Sasa hapa ndoa Mimi kwakweli itakuwa ngumu kufungwa...Mambo yashakuwa Magumu mwanzo kabisa.
Na hapa ndo UMEKOSEA.

MAHUSIANO MAPYA, PENZI JIPYA


UNAANZAJE KULIPA MAWAZO YA NDOA?
ENJOY THE MOMENT.
mwenzio anakuona tu ni partner we ushawaza ndoa.
Relax, chill.
Enjoy the ride while it lasts.
 
Na hapa ndo UMEKOSEA.

MAHUSIANO MAPYA, PENZI JIPYA


UNAANZAJE KULIPA MAWAZO YA NDOA?
ENJOY THE MOMENT.
mwenzio anakuona tu ni partner we ushawaza ndoa.
Relax, chill.
Enjoy the ride while it lasts.
It's a lasting relationship my dear.....
It's Real.
 
Real kiaje with all of these complaints and kuwa umeshashindwa.

Anyways.
Sawa
Nlikua tu emotional...mydear
Nlikua sijaelewa Ratiba yake...so we spoke what we expect from each other and the like
 
Mara nyingi ukiona mtu anadai uhuru ujue kakuchoka/hakuhitaji tena.
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini? Kumpigia mpenzi wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea ni kumnyima Uhuru? Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwa kweli nishaurini sielewi
Kashakuchoka njoo utafunwe nami, Ni Pm tutakuwa bega kwa bega mda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom