Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Labda maana sielewi....Mi sioni Kama namyima Uhuru..Simu hua napiga akiwa hayupo kazini...akiwa kazini sipigagi Simu..

Sasa mpnz wako kukupigia simu ndo kumyima Uhuru..Tena penzi jipya? Lakini Simu zangu hapokeagi ...Mara nililala mapema, Mara sikuisikia, saiv ndo anasema hawezi kukaa na Simu muda wote nanyima Uhuru wakufanya Mambo mengine...

Sasa Kama unamambo Mengine unafanya SI unasema Tatizo liko wapi...nipo kwenye kikao...Kutokupokea Simu Mimi naona Kama Dharau...

ukilalamika anakata Simu eti Kama huelewi Basi...jamani Mapenzi yakigumu Hakuna kumbembelezana...Hakuna romantic language...yaani yeye anachoona kinafaa ndo hicho hicho...Mtu anaamini yupo sawa haijalishi Wewe unaumia au la...

Mi sioni Kama huu Ni upendo..Mapenzi Ni mahaba na kuhurumiana...
Mtu unasafiri unaenda mbali huko mkoani utakaa labda wiki mbili...huwezi kumuaga mpnz wako Tena Ni dakika 20 TU a Gari....

Minaamini kwenye Mapenzi furaha ya mpnz wako Ni kipaumbele...Kama mtu hainvest kumfanya mpnz wake afurahi...Basi hapo HAKUNA MAPENZI.
Bad boy in action.... Mshkaji anaspin plates mpaka raha and he has frame.

Hapo huchomoki.
 
Yaan mpaka hapo ushakosea step tayari. Ingekuwa ni movie [emoji688] recording, ungengoja Take 2.Huwezi kuitisha upendo as if ni mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi kujadili hatma za hisa za makampuni yao
Hahahaha mkuu nipe mbinu ili isijirudie tena
 
Huu ndio ukweli.! Mimi mpenzi wangu silalamiki akinipigia ila tunajitahidigi sana tuzungunze kwenye simu at least mara tatu kwa siku, Asubuhi kabla sijaenda Job, Mchana wakati wa Lunch na jioni nikitoka Job. Hapo haiondoi kuchat..! Tunachat muda mwingi ..!
Sasa mnaongea nini mkuu au salamu tu!! umeamkaje, umeshindaje, na usiku mwema
 
Polee Mkuu, Mi ni therapist by professional. Ila pia nina sifa kama zako ilq kitu kingine ninacho labda wewe huna mie nina Wivu aseee daah [emoji3][emoji3][emoji3] hadi sijui nifanyeje kudhibiti hii hali. Kama vipi hebu uje PM tujadili mawili matatu huenda ikakusaidia
Mkuu naomba futa hii tayari mda huu nipo nae pm namambo sio mabaya SAMAHANI lakini.
 
Multiple women... minimum attention to each.

You ladies love that shit
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1].. You never know. It might be true
So Mimi nimeamua kumuangalia tu....Kama aanataka kuwa katika Mahusiano atashow effort na Nia..Kama hataki Siwezi mlazimisha Wala kumforce.

So nimeamua kumuachia hayo maamuzi yeye... Huku Mimi nikiangalia action zake.

Kama ikifika mahala nikaona zero effort... Ntaendelea tu na maisha yangu...bila hata kumbugudhi.

Siwezi weka effort na kupush kutaka matokeo nayoyataka kwa lazima...Lazima itoke kwake...I need him....but he is the one who should need me more.

So Kama he needs me in his life...he will do the right thing....Kama hataki...Mimi ntaendelea na maisha yangu.

And who told you ladies love minimal attention?... You should say "you like it"
 
Okay. Have your way
 
Husipo jua unachotaka,utapata usichotaka....afu utajilaumu kwann umekipata usicho kitaka.
^husipo^ --- usipo
^husipo jua^ --- usipojua
^afu^ --- halafu
^kwann^ --- kwa nini
^usicho kitaka^ --- usichokitaka
^King Sae^ --- King Saeta
 
Back
Top Bottom