Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru anaotaka nje ya wewe ni uhuru gani?
relationship is about kujitoa, kutokuwa mbinafsi etc,
ukishaona mtu anajijali yeye na mambo yake, muda wake hapo kuna walakini. probably hapo mmepangwa.
shituka!!!
Namini nashangaa Huyu anamuuliza mbona mbinafsi..Anakujibu ndo nilivyo...Tena anakuuliza unaweza ishi na mtu mbinafsi?...yaani anataka Mahusiano yaende atakavyo yeye...yaani Simu apige yeye akiamua..text atume yeye akiamua..
Kuhusu hisia zakO YEYE HAZIMUHUSU
 
Nilikwambia unipe mimi ukaona sifai, na baaadooo!
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa jamaa ana mapenzi na huyu dada hadi ana mjibu majibu ya kero hivyo?!

Sawa tufanye ana wivu, ndio awe busy na kumpuuza mwenzake ambae anaonyesha jitihada kumpenda?!
 
Mkuu mbona kama umefurahia Sana
Nimecheka sana
Nimekumbuka ile story ya kusema "Anataka nimfulie nguo zake ila hajanioa" huyu mwanamama alikuja kwa mbwembwe sana humu jukwaani mwishowe akadai kuwa yeye sio type hio ya kumfulia mtu akidai kwamba yupo tayari kujiengua katika mahusiano hayo, inaonesha jamaa alikuwa na nia njema nae ila bibie akamuona koro
 
Mmmmmmhmn, natazama unavyolalamika ila huwa najiuliza inakuwaje unamkosa mtu wa vigezo hivi mbona kama wapo wengi sana....?!
 
Hawa wanahitaji kunyenyekewa mnooo, na wanaamini HAWAKOSEI, kuwakosoa ni kosa kubwa mno, ili mwende Sana inabidi uwe na maneno machache NDIO, SAWA, NISAMEHE
Ndugu yangu...hayo Sio Mapenzi...mtu anakwambia NIPE Uhuru wangu Acha kunipigia pigia..unasema Nisamehe?..
Looooh ....

Upumbafu Ni kuomba msamaha bila ya kosa...Nayeye atakuona mpumbafu atazidi kukuumiza na sijali Unajisikiaje na Wewe utaendelea KUOMBA MSAMaha kwa kutokujali kwake
 
Mmmmmmhmn, natazama unavyolalamika ila huwa najiuliza inakuwaje unamkosa mtu wa vigezo hivi mbona kama wapo wengi sana....?!
Mkuuu...Huyu TU ndo anashida.. wanaume wengi Ni wazuri...wazuri wapo na Wenye kujali Sana...
Huyu alikuja na gia hiyo lakini ALIKUA MUIGIZAJI TU
 
Kabisa yaani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Ungejua nyuma za pazia...Wala usingeongea Sana...
Sio kila kitu JF Ni ukweli jamani khaaaa
 
Binafsi mi pia napendaga kuwa huru,huwa nataman npate mke ambaye ataishi kwenye nyumba nyingne na Mimi nyingine,na sm sipendeleag sana kuchat au kuongea muda mrefu,Mara nying nikiwa free napenda kutumia sm kwenye maswala ya kutembelea jamiiforum,mkekabet,Facebook,na vingne ila sio kuchat.
Sipendi kuzuiliwa kwenda mahali Fulani,yaan kfupi spendag kuingiliwa kwenye ratiba.
Kuna wakati moyo unawiwa kumsaidia mtu Fulani kipesa lakin mwanamke ananizuia,sipendag Haya mambo lakini wanawake n wagumu wa kuelewa(Kuna watu tupo hvyo kama umenipenda nivumilie hivyo hivyo)
 

Mkuu tatizo lako unatunza sana kumbukumbu, humu wengi hushindana kwa ubunifu tu na utunzi wa stori.... tuendelee kufurahi tu kijiwe kimechangamka.
 
Aiseee.... Noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…