UHURU: CHADEMA yapasuka

magazeti mengine yameandika hivi:

Chadema yapasuka

-mbowe ,dr slaawazodoana kikaoni
-wazee; hatutaki sera za ukabila na fujo
-mikutano yake yasusiwa na wananchi
 
[h=6]Kimeta Wa Mpui
[/h][h=6]Je Umeiba mali ya Umma?? Je wewe ni Fisadi ?? je umevunja sheria za nchii hii ??
basi usiogope waone vijana hawa ni mawakili maarufu wa kupindisha sheriaa ni watetezi wazuli wa mafisadi mahakamani....

Wakilala wanaota fisadi yupi atokee wamtete wale cha juu!! CCM ikifukuza mafisadi hawa huteteaa ni makaamanda wa chadema

Mabere marando Vs Tundu lissu Iba Pesa waone hawa.......... Upo Huru....[/h]
 
kuna dhambi watu kutofautiana kimtazamo? Nadhani mnapotoka sana, watu wazima wenye akili timamu ni lazima kila mtu awe ana mawazo yake, labda ungetuambia kama walipigana au kunammoja anamwogopa mwenzie kama huko kwenu ambapo hata chakula mnaogopa kula pamoja
 
kuna dhambi watu kutofautiana kimtazamo? Nadhani mnapotoka sana, watu wazima wenye akili timamu ni lazima kila mtu awe ana mawazo yake, labda ungetuambia kama walipigana au kunammoja anamwogopa mwenzie kama huko kwenu ambapo hata chakula mnaogopa kula pamoja
 
Uhuru haliuzi,wanafoji habari za Chama kiongozi CDM,ili walau wapate wateja hawajui wao ni sawa na mwehu.MTAANI HATULITAKI TENA LABDA WATUPE BURE TUSOKOTEE TUMBAKU.

hilo halifai hata kwa kusokotea tumbaku utaugua tb lina sumu ya ki ccm
 
Nani kakuambia kwamba hawa ni malaika? Kwamba hawatofautini? Wewe na dada yako mnakubaliana kila jambo?
 
Kweli kwa 'mrejesho' a.k.a feedback ya nguvu ya umma ikisomwa na katibu wa uenezi wa CCM Ndg Nape, Mwenyekiti Taifa CCM, Kamati Kuu CCM, Mhariri gazeti la Uhuru, Mkurugenzi kituo cha TV TBC na magamba wengine wote kweli sasa hakuna mtu anayedanganyika.

Mambo yote sasa ni M4C na anayesikilizwa na umma ni chama cha ukombozi CDM. Peoples' power kweli imeteka nchi bado kuingia pale Magogoni kuinua hali za wananchi ziwe bora na siyo kwa ahadi hewa zisizotekelezwa na magamba.
 
naona sasa hata magazeti ya udaku,yanayomilikiwa na shigongo kwa udaku hayalifikii hili gazeti la magamba

mimi naona ni vizuri endapo gazeti hili la uhuru likawekwa kwenye maduka ya super markets ili wateja wawe wanapewa bureeee! Kama kinyogeza kwa ajili ya kufutia vioo vya magari na madirisha kule home kwao maana halina hata chembe ya mvuto.
 
Hili gazeti nadhani zaidi ya kuwa la ccm pia mhariri ni nape akisaidiana na gamba mwenzie mkama. So watanzania maposoma akili kichwani mwenu
 
Back
Top Bottom