UHURU: CHADEMA yapasuka

UHURU: CHADEMA yapasuka

Mimi Jana nilitofautiana na mtoto wangu wa kwanza Leo asubuhi tofauti zetu zilikuwa hazipo tena na huenda Leo nikatofautiana na mke wangu vyote hivyo ni sehemu ya maisha . Ohoooo !!!!!!! hata muda huu tumetofautiana na boss wangu
 
Ziara ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mikoa ya Kanda ya Kusini, imehitimishwa kwa viongozi wa juu wa chama hicho, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk.
Willbroad Slaa kutofautiana.

Hali hiyo ilisababisha msuguano mkali ndani ya kikao cha ndani cha tathmini kilichofanyika mjini Ruangwa muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi
Likangara mjini hapa.

Kutibuana huko kulitokana na Mbowe kukataa mpango wa Dk. Slaa kutimua viongozi katika maeneo mbalimbali ambako ziara hiyo imefanyika wakiwemo viongozi karibu wote wa wilaya Ruangwa mkoani Lindi.

Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu (CWT) wilayani Ruangwa, ambapo Mbowe alipinga hatua ya Dk. Slaa kutaka baadhi ya viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya Abdallah Mang'onyola na mlezi wa chama hicho wilayani hapa Juma Lichonyo ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho waachie madaraka.

Kikao hicho kilichoanza majira ya saa 2: 30 usiku hadi saa tano, kilifanyika baada ya kumalizika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali na kupata mafanikio kidogo.

Habari za ndani za uhakika zinasema kuwa mahudhurio hafifu ya watu ndiyo yamemsukima Dk. Slaa kuamuru kufukuzwa kwa baadhi ya viongozi hao akidai wamekisaliti chama hali iliyomfanya Mbowe kupinga, akisema
mpango huo unasababisha chama kulegalega.

Kwa mujibu taarifa za uhakika mkutao huo ulilenga kufanya thathmini baada ya ziara ya viongozi wa Chadema wilayani hapa kukosa watu wengi katika mikutano yao tofauti na matarajio yao hivyo kudai ni hujuma zinafanywa na
viongozi waliowatimua.

CHANZO: NIPASHE

muongo mkubwa

hii kitu ngumu kumeza....
 
Source: Uhuru mnapoteza muda kwenye mambo ambayo siyo ya msingi baadala ya kushughulika na matatizo ya wapiga kura wenu.
time will tell!

mwenye taarifa kaandika nipashe ambayo ni mshirika mzuri tu wa chadema we unahangaika na uhuru,au umevuta bange kwa kujificha
 
Hakuna cha kusoma hap, kuna heading tu.

Source yangu siyo hii bali ni IPP MEDIA.

SAM_2438.JPG

Tatizo lenu magamba akili zimekimbilia kwenye masaburi
 
  • Options

    [h=6]Mwanaharakati Wa Amani
    [/h][h=6]‎,,,,,,,,,MBOWE, DK.SLAA WATOFAUTIANA TIMUATIMU,,,,,,,

    Ziara ya viongoz wa chadema ktk mikoa ya Kusini imehitimishwa kwa Viongozi wa juu wa chama hicho, M/kiti Freemana Mbowe na Katibu Mkuu, Dk.Slaa kutofautiana.

    Hali hiyo ilisababisha msuguano Mkali ndani ya kikao cha ndani cha tathmini kilchofanyika mjini Ruangwa Mkoani Lindi muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika ktk viwanja vya shule ya Msingi Likangara mjini hapa.

    Kutibuana huko kulitokana na Mbowe Kukataa mpango wa Dk.Slaa kutimua viongozi ktk maeneo mbalimbali ambako ziara hiyo imefanyika wakiwemo viongozi karibu wote wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.

    Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa chama cha walimu (CWT) wilyani Ruangwa, ambapo Mbowe alipinga hatua ya Dk.Slaa kutaka baadhi ya viongozi akiwemo M/kiti wa wilaya Abdallah Mang'onyola na mlezi wa chama hicho wilayani hapa Juma Lichonyo ambaye awali alikuwa M/kiti wa mkoa wa chama hicho waachie madaraka.

    Kikao hicho kilichoanza majira ya saa 2:30 usiku hadi saa Tano, kilifanyika baada ya kumalizika kwa mikutano ya hadhara ktk maeneo Mbalimbali na KUPATA MAFANIKIO KIDOGO.

    Habari za ndani za UHAKIKA Zinasema kuwa MAHUDHURIO HAFIFU YA WATU ndiyo yamemsukuma Dk.Slaa kuamuru kufukuzwa kwa baadhi ya viongozi hao akidai wamekisaliti chama hali iliyomfanya Mbowe Kupinga, akisema mpango huo unasababisha chama kulegalega.

    Kwa mujibu taarifa za UHAKIKA mkutano huo ulilenga kufanya tathmini baada ya ziara ya viongozi wa chadema wilayani hapa KUKOSA WATU wengi ktk mikutano yao tofauti na matarajio yao hivyo kudai ni hujuma zinafanywa na viongozi waliowatimua.

    Source; Nipashe, uk. 8, tarehe 11.
    ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

    UKWELI UMEDHIHIRI NA UONGO UMEJITENGA, RUDINI ARUSHA.
    ...................*.......................*..............

    "IPO SIKU ITAKUWA KWELI"
    [/h]iko faceboo,tanuru la fikra

Wewe Ngoromiko nae! Sasa watu wakitofautiana katika maamuzi fulani ndio "kinawaka?" Hiyo heading ya uzi wako imekaa kiushambenga zaidi!

Huyu, Kumbe muongo, kumbe muongo, kama lile gazeti la udaku. Kwanza chama gani kinaweza kuwa na mkutano usio na tufauti ya mawazo, itakuwa hamna haja ya mkutano. Kuwaka moto ndani ya mkutano wa CDM ni kawaida, lakini kwa maslahi ya uma. Ndani ya CDM hakuna unafiki wa zidumu za makamba.
 
Hilo gazeti linapiga propaganda mpaka basi kama waandishi wanaishi nje ya jamii ya kitanzania,lipo jingine lile la ritz one linaitwa jamba leo,redio uhuru na tbc one
 
Mbowe, Dk. Slaa watofautiana timuatimua

BY MWANDISHI WETU

11th June 2012

mboye%281%29.jpg

Freeman Mbowe

Ziara ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mikoa ya Kanda ya Kusini, imehitimishwa kwa viongozi wa juu wa chama hicho, Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk.
Willbroad Slaa kutofautiana.

Hali hiyo ilisababisha msuguano mkali ndani ya kikao cha ndani cha tathmini kilichofanyika mjini Ruangwa muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi
Likangara mjini hapa.

Kutibuana huko kulitokana na Mbowe kukataa mpango wa Dk. Slaa kutimua viongozi katika maeneo mbalimbali ambako ziara hiyo imefanyika wakiwemo viongozi karibu wote wa wilaya Ruangwa mkoani Lindi.

Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chama cha Walimu (CWT) wilayani Ruangwa, ambapo Mbowe alipinga hatua ya Dk. Slaa kutaka baadhi ya viongozi akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya Abdallah Mang'onyola na mlezi wa chama hicho wilayani hapa Juma Lichonyo ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho waachie madaraka.

Kikao hicho kilichoanza majira ya saa 2: 30 usiku hadi saa tano, kilifanyika baada ya kumalizika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali na kupata mafanikio kidogo.

Habari za ndani za uhakika zinasema kuwa mahudhurio hafifu ya watu ndiyo yamemsukima Dk. Slaa kuamuru kufukuzwa kwa baadhi ya viongozi hao akidai wamekisaliti chama hali iliyomfanya Mbowe kupinga, akisema
mpango huo unasababisha chama kulegalega.

Kwa mujibu taarifa za uhakika mkutao huo ulilenga kufanya thathmini baada ya ziara ya viongozi wa Chadema wilayani hapa kukosa watu wengi katika mikutano yao tofauti na matarajio yao hivyo kudai ni hujuma zinafanywa na
viongozi waliowatimua.

SOURCE: NIPASHE

[/QUOTE]

inauma sana habari ya uongo inapogeuzwa na kuaminishwa kuwa ya kweli, na uandishi wa habari wa namna hii kwa kweli si tu unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari lakini pia unakidhalilisha chombo cha habari husika kilichotumika kuripoti habari za uzushi.

kwanza niseme kuwa mimi ni mzaliwa wa ruangwa, nilikuwepo katika ziara ya M4C wilayan ruangwa, nilibahatika kuhudhulia mikutano 3 ya chadema ngazi ya kata (chienjere, makanjiro na likunja) na mkutano mkuu wa viongoz woote uliofanyika jion uwanja wa cwt (sio likangara kama mwandishi alivyoripoti).

katika mkutano huo, si kweli kwamba chadema kilipata idadi ndogo ya wanachi kama ilivyoripotiwa na mwandishi, kama nilivyosema awali mimi nimezaliwa hapa ninapafahamu vizuri, idadi ya wanachi waliofika, katika mkutano huo ni kubwa na inaridhisha.

labda nieleze sababu chache ambazo nadhan mwandishi wa habari hii hakuzifikiria wakati anaandika habari hii:-

kwanza ifahamike kuwa kwa wilaya ya ruangwa chadema haikuwa na nguvu sana kwan wananchi wengi wamekuwa wakiisikia tu kwenye vyombo vya habar, kwa mara ya mwisho chadema walifanya mkutano mkubwa miaka 8 iliyopita, so kwa mazingira haya haiwezi kuvuna watu wengi kama ccm na cuf ambao kila siku wanafanya mikutano hapa ruangwa. katika mkutano huu niliwaona zaidi vijana wasomi, watumishi wa serikali (halmashaur, polis, etc) vijana na akina mama wajasiriamali (waliokuja kusikiliza sera za cdm), wanafunzi wa sekondar, wananchi kutoka mikoa mingine n.k

pili, mwandishi lazima afahamu kuwa, kwa wilaya ya ruangwa yenye wakazi wanaokadiriwa kuwa 150,000 (sawa na kata 3 DSM) tena waliosambaa (scattered) katika kata mbalimbali (zaidi ya 18) si rahisi kujaza watu wengi kama miji mingine.

tatu ifahamike kuwa, chadema walifanya mikutano asubuh kuanzia saa 4 mpaka saa 9 kwenye kata zote wilayan ruangwa, so mkutano wa jion anaousemea mwandish uliwahusu wakaz wa ruangwa mjini tu (kutoka kata 3) ambao hawazidi 20,000, so wananch wengi wa kata za pembezon (zaidi ya kata 15) hawakufika kwenye mkutano wa jion kwan tayar chadema walishapita kwenye maeneo yao.

na mwisho, eneo ambalo mkutano ulifanyika ni ngumu kukadiria idad halis ya walifika kwan ni katikati ya mji (nyuma ya stend kuu ya mabas) hivyo wanach weng walionekana wamekaa kwenye maduka yao, magari yao, makaz yao, sokon, hotelin, gerej, bar n.k na bado wakaendelea kusikia ujumbe wa chadema uliokuwa unaruka kupitia spika zao kubwa.

kuhusu mkutano wa usiku, ukweli ni kwamba mbowe (m/kiti) hata hakushiriki, nilimwona dr. slaa akiendesha mkutano huu akiwa na waitara, na wengine ambao siwajui. na mkutano huu uliwahusu viongoz wa cdm wilayan tu, waandishi hawakuruhusiwa.

huo ndo ukweli.
wito wangu, cdm watoe tamko kupitia tv na magazeti juu ya uzushi huu, kwan uongo ukisemwa sana mwisho waweza kuaminiwa.

by mwana ruangwa.
 
Uzi kama unawagusa CDM kunakuwa na commnt baridiiiiiiiii
Ha!ha!ha! chadema na bado!
 
[h=6]Mariapia Samson
[/h][h=6]CHADEMA INAWENYEWE, MZEE HUYU ANAPOKEA MISHAHARA MIWILI[ UBUNGE NA UKATIBU] ANGALI SI MBUNGE. TUKIWAPA MADARAKA WATAWALIPA HADI WAKE ZAO WALIOWAACHA[/h]
 
sounds too good to be true..ila marumbano ndani ya vikao ni suala la kawaida cha msingi jukwaani viongozi wasirumbane
ni kama ugomvi wa baba na mama ndani ya nyumba ni kitu cha kawaida cha muhimu ndoa iendelee na usifanyike mbele ya watoto
 
Back
Top Bottom