sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,454
uwongo.
Huu hata sio uwongo ni umbea!.....mleta mada kama ni mwanaume tutamvalisha dera mda sio mrefu!....na kama ni mwanamke atasutwa na majivu!
uwongo.
kingewaka wangekuwa hapa leo?
![]()
veka link veve...Hakuna cha kusoma hap, kuna heading tu.
Source yangu iyo hii bali ni IPP MEDIA.
Una maana NIPASHE ni waongo?
Wakuu mmebishana sana kuhusu hilo suala kiasi cha kumshambulia MOD. Sasa naomba kila mmoja wenu asome HAPA halafu kila mmoja atulie kimya..!
Hili gazeti nadhani zaidi ya kuwa la ccm pia mhariri ni nape akisaidiana na gamba mwenzie mkama. So watanzania maposoma akili kichwani mwenu
Yaani nitoke hela yangu mfukoni ninunue gazati la Uhuru! Halina hata kitu cha maana, tunaliweka kwenye categori ya magazeti ya udaku.
Gazeti la CCM Uhuru linaongoza kwa habari kwamba CDM imepasuka na Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa wamerushiana maneno makali katika kikao cha siri mwandishi anachodai amenasa habari zake zote.
Pia gazeti limeendelea kudai kwamba mikutano ya CDM mikoa ya kusini imekosa wahudhuriaji na wazee wamekikataa chama hicho kwa madai ya ukabila uliokithiri.
![]()
My Take:
Mimi ninadhani ni bora CCM ikahangaika kutekeleza ilani yake ya uchaguzi kuliko kupika propaganda ambazo hazina mashiko tena kwa Watanzania.
Pia wanapaswa kujua kwamba watanzania wanakiamini CDM kama chama na sio kwa ajili ya Personalities za watu.
Hivi utamdanganya nani kwamba mikutano ya CDM inasusiwa wakati kila siku watu wanaona umati wa watu kwenye mikutano yake kupitia taarifa za habari ITV?