Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Tuwaache na nchi yao, wanampigania shujaa wao
Ni funzo kubwa saanaTuwaache na nchi yao, wanampigania shujaa wao
War in the East,War in the West
Chant down babylon
We mpuuzi hukusikia miaka mitatu iliyopita aliyekuwa Rais wa Israel alitupwa jela? Hujui mmoja wa waliokuwa Marais wa Ufarasa yuko lupango sasa.Katiba gani ya kumfunga raisi mstaafu bana! Yaani hao maraisi wazungu hawafanyagi makosa au!
Tiwaachie wasouth wenyewe hilo