Hizi ndio kazi utakazozifanya bila kupenda kama umekwenda Afrika Kusini bila vibali vyao

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
Wanakwambia South Africa ilikuwa ya miaka ile 2005 kushuka chini.

Tanzania ni moja ya nchi kwenda South Africa unapata viza ya siku 90 free, kwa vile wanaokwenda wana mtindo wa kupeleka border kila baada ya siku hizo na kugongewa tena.

Asilimia kubwa wanaoshawishika kwenda huko ni vijana na vijana ndio wimbi kubwa lenye kashikashi kama uhuni, utafutaji na lolote lilopo mbele yao.

Kuna kipindi kama mtakumbuka wale watoto waliokuwa wanajiita panya rodi kutikisa jiji la Dar, baada ya kuzidiwa ikabidi waje kwa Madiba ila walikufa ovyo .

Tuje kwenye mada:
Afrika Kusini kuna kazi unaweza kutofanya nyumbani lakini ukaja kuzifanya huku.

Kazi hizi kama kuuza sigara barabarani, kuuza dawa za kulevya kama bangi, unga na n.k, kuwa kinyozi, kuiba inategemea na kiwango, kununua mali za wizi, kuuza dukani.

Ukiona mtu anakwambia anataka kwenda huko muulize una elimu kwanza halafu vibali unavyo.

Maisha ya huku sio
 
Angalizo murua! Tanzania ni kubwa vijana hawajui nchi yao bado tuna fursa lukuki
 
Wanakwambia south africa ilikuwa ya miaka ile 2005 kushuka chini.
Tanzania ni moja ya nchi kwenda south africa unapata viza ya siku 90 free.kwa vile wanaokwenda wana mtindo wa kupeleka border kila baada ya siku hizo na kugongewa tena.

asilimia kubwa wanaoshawishika kwenda huko ni vijana na vijana ndio wimbi kubwa lenye kashikashi kama uhuni,utafutaji na lolote lilopo mbele yao.

kuna kipindi kama mtakumbuka wale watoto waliokuwa wanajiita panya rodi kutikisa jiji la dar,baada ya kuzidiwa ikabidi waje kwa madiba ila walikufa ovyo .

Tuje kwenye mada:
south africa kuna kazi unaweza kutofanya nyumbani lakini ukaja kuzifanya huku.

kazi hizi kama kuuza sigara barabarani,kuuza madawa ya kulevya kama bangi,unga na n.k,kuwa kinyozi,kuiba inategemea na kiwango,kununua mali za wizi,kuuza dukani.

ukiona mtu anakwambia anataka kwenda huko muulize una elimu kwanza alafu vibali unavyo.

maisha ya huku sio
Ukiwa na elimu Africa kusini utapewa kazi vipi kwa hiyo elimu yako? Hebu nipe ufafanuzi.
 
nikiuza duka hakuna shida

huzuri hakuna tozo
uzuri hakuna mlipuko wa bei
uzuri sitaisikia ccm masikion tena
uzuri nitakuwa salama yaani ni bora tu kuliko kuishi huku nauza genge la nyanya za miatano tano alafu kuna mtu anakuja anataka nilipie kitambulisho cha ujasiria mali mara nilipie banda mara ulinzi.

kiasi kwamba ukitafakari unaona unanyonwa mpk mavi hazarani.
 
Mbona na ile nyingine ya Kuinamishwa na Makaburu wakikuona unarandaranda tu hovyo Barabarani huisemi / hujaisema Ndugu?
 
Ukiwa na elimu Africa kusini utapewa kazi vipi kwa hiyo elimu yako? Hebu nipe ufafanuzi.
Kufundisha nursery schools, kusaidia less mahakamani Kama wakili.

Ila South Africa Kuna njaa hatari.

Mali zote ikiwemo ardhi wamekalia Wazungu.

Wazulu waliambulia Rais mweusi tu.

nikiuza duka hakuna shida

huzuri hakuna tozo
uzuri hakuna mlipuko wa bei
uzuri sitaisikia ccm masikion tena
uzuri nitakuwa salama yaani ni bora tu kuliko kuishi huku nauza genge la nyanya za miatano tano alafu kuna mtu anakuja anataka nilipie kitambulisho cha ujasiria mali mara nilipie banda mara ulinzi.

kiasi kwamba ukitafakari unaona unanyonwa mpk mavi hazarani.
Duuuuh habari za masiku??
 
Kufundisha nursery schools, kusaidia less mahakamani Kama wakili.

Ila South Africa Kuna njaa hatari.

Mali zote ikiwemo ardhi wamekalia Wazungu.

Wazulu waliambulia Rais mweusi tu.

Na kama ni msomi wa kada nyingine? Mbona ni kada chache za wasomi hapo?
 
Ukiwa na elimu Africa kusini utapewa kazi vipi kwa hiyo elimu yako? Hebu nipe ufafanuzi.
Kuna jamaa mmoja alisoma DMI chuo cha bandari hapa kwa ngazi diploma sasa alienda huko sema nasikia alijiendeleza alipata kazi nzuri huko port elizabeth huko saf now
 
Unasikia huna uhakika wala hujamuona, kama ni kazi labda kwenye troller ship meli za uvuvi.
 
Ni wabaguzi bila kificho ni ngumu kupata kazi labda wazungu angalau hii ngozi nyeusi siyo kweli
 
Unasikia huna uhakika wala hujamuona, kama ni kazi labda kwenye troller ship meli za uvuvi.
Anasafiri sana na meli mara yuko italy yaani jamaa ni sailor kazi za mikataba kibao bongo kajenga nyumba mbili
 
Back
Top Bottom