MAWEED
Platinum Member
- Oct 11, 2016
- 4,572
- 16,179
Ah kumbe inasemekanaInasemekana Zanzibar inaweza kufanya vizuri zaidi kimichezo kuliko mwenzie.
Ah kumbe inasemekanaInasemekana Zanzibar inaweza kufanya vizuri zaidi kimichezo kuliko mwenzie.
Kina Fei na Bacca unawaonaje migo?Ah kumbe inasemekana
Hata tukitoka tutatokea mbali na mpaka sasa sijaona team yenye kuingia uwanjan ikiwa na 50% za kushnda mechi dhidi ya malikiaEngland wapo vizuri.
Bingwa wa vita.Iran bingwa
Na hawajawahi kuchukuwa kombe la dunia. What a record! (NB: inasaidia nini kama hufungwi lakini pia huwi bingwa?)Hawajawahi kupoteza mchezo wowote World Cup.
What a record!
Nakubal migo ila hata tucheze mechi 100 tanganyika na zanzibar tunawapiga zoteKina Fei na Bacca unawaonaje migo?
ZILLIONAIRE umenifurahisha sana na nimecheka kwa sauti eti bingwa wa vitaBingwa wa vita.
Kwani amewahi kufika hatua ya fainali halafu akapoteza?🤣🤣Na hawajawahi kuchukuwa kombe la dunia. What a record! (NB: inasaidia nini kama hufungwi lakini pia huwi bingwa?)
Mbona Kilimanjaro Stars wamekuwa wakifungwa sana na Zanzibar Heroes?Nakubal migo ila hata tucheze mechi 100 tanganyika na zanzibar tunawapiga zote
Eeh huko World Cup kibonde wake Israel hayupo.ZILLIONAIRE umenifurahisha sana na nimecheka kwa sauti eti bingwa wa vita
Tanganyika vp
Kama Zanzibar wakitoka kwenye muungano nawashauri waungane na Oman.
Itakua jambo zuri kwakweliKama Zanzibar wakitoka kwenye muungano nawashauri waungane na Oman.
SanaItakua jambo zuri kwakweli
Hapo kwa Iran tuache kidogo.Argentina
Morocco
Spain
Iran
Nimemuweka tu kwa mapenzi ila ngumu kubeba, ila hao waliobakia tusubiriHapo kwa Iran tuache kidogo.